Doctors

Dogo tulia, ntakuviringisha usome miaka saba?? Ujue nakufahamu! Tutakutana mwaisela dermatology cube nikupe case ngumu mpaka uombe pooo!
Umpe case ya kaposis sacorma chief..alafu mnyonyo wa hatari..kumbe badala ya ku-crack wodini yeye anashinda jf..ila usimle kichwa..
 
Npo mbali mamy..nahangaika na maisha..ila heshima kwako sana Evelyn Salt..mambo mengine ntakupm..

huko kwenye PM huko ndo mipango mikakati inapoanzia. Mi nakuangalia tu bwana Daktari. Evelyn Salt akianza kutapika hovyo na kutafuna udongo usije ukakimbia jukwaa. Ushahidi ninao.
 
Last edited by a moderator:

WENGI malaya tu na walevi saaaanaa

huko kwenye PM huko ndo mipango mikakati inapoanzia. Mi nakuangalia tu bwana Daktari. Evelyn Salt akianza kutapika hovyo na kutafuna udongo usije ukakimbia jukwaa. Ushahidi ninao.
Ha ha ha ha ha...Mkuu Aspirin ..umenichekesha sana dah nmecheka mno..siwezi fanya hivyo..nipo mbali kidogo..nlitaka tu kumjua Evelyn Salt kwa undani kidogo na hata kumuunganisha na network za kimatibabu bongo hapo na vitu ka hivyo na kama akipata dharura(nmemwaga mchele kwenye kuku wengi) ..siwezi fanza hivyo..mtoto mwenyewe pia namuonaga mjanja sana..!! si unamjua..?!
 
aisee tuko tofauti, dr hanistui kabisa, bora mwanajeshi, tena kama ana nyota au komando mie hoi.

au injinia full mafiziksi na mamshimba mie ON kabisa, dr kutwa nzima sampo.zake K? Njawahi kabisa kutamani.

"mamshimba" umenikumbosha prof. Mshimba.
 
he he he sisemi mengi.....yeah we got true love and we know how to care...on the other side most of us are players.kuwa mwangalifu
 
Tell me about divorced drs! Huyu mtoa mada hiyo issue yake wazungu wanaisolve kwa fantasy dressing. Na deep inside alitamani kuwa dr alipokuwa mdogo and it just didnt work out

Anunue white coat,stetoscope,thermometer etc yaani it wont cost her more than 50 thousand.awe anamvisha mtu wake wakati wa majamboz
 
İla hawa wamezidi, wakiwa shifti za usiku wanapigana miti ile mbaya. Nna ushahidi staki maswali

Sidhani kama ni kweli kiihivyo, shift za siku usiku zina stress sana, labda uwe kijijini. Hospital kama za muhimbili unaweza ukakesha umesimama rafiki yangu
 
Uwiiiiiii same thing!!yaan mm nikiona mkaka doc ata awe mbaya vp yaan ,hua namkubali sana am real crazy over them kwakwel,nawapenda mno mno hua naassum vitu vingi sana km nikiwa na mme doc like wtt wangu watakua safe all the tym!!!nawapenda kwakwel ila cjabahatika ata ckumoja Kupata ata doc wa kunikonyeza mpk nimekata tamaaaa yaan!!!

Naona umeamua ufunguke....wapo wengi humu jaribu bahati yako
 
Umpe case ya kaposis sacorma chief..alafu mnyonyo wa hatari..kumbe badala ya ku-crack wodini yeye anashinda jf..ila usimle kichwa..

Mambo gani ya kutishiana maisha bana, af nyie physicians taaluma yenu haina shukrani. Pale Mwaisela 3 n 4 duh sijui kama patients wenu wana matarajio. Bora ya surgeons, kazi inapigika na inaonekana. Sasa kama ni kupeana kesi ngumu aanza kuvitibu kwanza vibibi vya Mwaisela ward4 na vipone, huo ndo umwamba, then ndo utoe mnyonyo wako wa what else,
 
Back
Top Bottom