leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,714
hivi huu mtazamo wako nani kakukaririsha?
Stereotype effects!
hivi huu mtazamo wako nani kakukaririsha?
Ha ha ha ha ha...Mkuu Aspirin ..umenichekesha sana dah nmecheka mno..siwezi fanya hivyo..nipo mbali kidogo..nlitaka tu kumjua Evelyn Salt kwa undani kidogo na hata kumuunganisha na network za kimatibabu bongo hapo na vitu ka hivyo na kama akipata dharura(nmemwaga mchele kwenye kuku wengi) ..siwezi fanza hivyo..mtoto mwenyewe pia namuonaga mjanja sana..!! si unamjua..?!
Ha ha ha ha ha...Mkuu Aspirin ..umenichekesha sana dah nmecheka mno..siwezi fanya hivyo..nipo mbali kidogo..nlitaka tu kumjua Evelyn Salt kwa undani kidogo na hata kumuunganisha na network za kimatibabu bongo hapo na vitu ka hivyo na kama akipata dharura(nmemwaga mchele kwenye kuku wengi) ..siwezi fanza hivyo..mtoto mwenyewe pia namuonaga mjanja sana..!! si unamjua..?!
Usijali my dia Doctor babu Asprin kapata kijiwivu kisa ye kuli
nami nimesema nazimika na madoctor
Npo mbali mamy..nahangaika na maisha..ila heshima kwako sana Evelyn Salt..mambo mengine ntakupm..
Ha ha ha madoctor wanatambulika tu hata kwa maneno yao...Babu haupo hapo subiri zamu yenu nawe utapata huwezi juaHakyamama acha nicheki na mods wamadilishe İD yangu iwe Dr. Asprin. haya mazali yanayowaangukia kina Dr. Mo si ya kuchekea.Mpaka tunaenda mitamboni huyu daktari kashalengeshewa michepuko mitatu. Najuta kuendekeza hisabati badala ya baiolojia.
Hamna bana labda umefananisha na wanajeshi....Ila wana roho ngumu kweli, siku ukichepuka tegemea kung'olewa koromeo lako!!
Naona unaendeleza harakati za kuniharibia, ungejua tulikofikia huku pm ha ha haWe daktari acha janjajanja. Unataka kujıfanya Rais wa Vatican kumbe mfalme wa Swaziland. İla una bahati ka Evelyn Salt kamekudondokea. Nakushauri ukiwa unakafanyia ile tiba yenu pendwa uvae kondom mbili na mbili umeze kwa ajili ya kinga thabiti ya nje na ndani. Kabinti kana michepuko Wema Sepetu anapakaziwa tu.
Kwa hiyo sisi "Walugaluga" imekula kwetu, poa kuna akina Havijawa na akina Semeni, wanatu-mind mbaya!.Naona unaendeleza harakati za kuniharibia, ungejua tulikofikia huku pm ha ha ha
Acha niseme tu doctors are very sweet....
Hebu waambie bhana, mhandisi akiifanyia pamyuteshen na kombineshen K lazima ikubali kuwa intagretedi tena bila kujali limits. Sasa daktari kila siku anashika K mpaka anakosa apetaiti ya kuipa haki yake.
ooh
really?
oh yeah, just be my good patient
Ila wana roho ngumu kweli, siku ukichepuka tegemea kung'olewa koromeo lako!!
am suffering from dengue fever doc,
hebu ukuje huku pm nikufanyie Dx kabla sijakuandikia dawa
huko pm ni sirini..mi nataka matibabu hapa hapa
nimekula kiapo cha usiri,
mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa wake yatabaki kuwa confidencial
labda pale yatakapohitajika kama ushahidi kwenye vyombo vya sheria,
hapa hapafai