Doctors

Doctors

Mama wee mmepotea sana kutana na Dr. Kifimbo , huwa yeye anatoka na walembo tu. Nafikiri wote mnamjua anafanana na singasinga hila yeye aqqnUpara anapatikana sana kwenye magazeti ya ijumaa na sani naye huyu mseme anajua kupenda. Mwingine yupo mhimbili alikuwapo mwananyamara.
 
Medical Dr kwenye sani na ijumaa? Loh! Sio kila anayejiita Dr ni daktari anayezungumziwa humu. Watu wanajipachika tu baada ya kuona these people are admired by the society. Huoni wanasiasa wanavyoenda kuhonga vyuo vya uchochoroni viwape 'udr' wa kunyanyasia wasioelewa?
 
Yule ambaye aliwahi kudate na baby madaha amedate sana na mamiss mwingine alikuwa na Gari hilux nyekundu open aloof alikuwa akijaza vimwana na wote ana do nao yupo pale muhimbili karibu na ward ya wazazi , siwezi taja jina.
 
Duh! Am speechless, siyo kwamba drs hawaruki na vimwana ila ni mpaka uwe m.boo mkononi mpaka kuandikwa kwenye magazeti ya udaku! Drs who date different women, date them in a respectable way. I can't imagine medical Dr anakimbizana na kina baby madaha mpaka kuwa hot kwenye magazeti!! Akili yangu imegoma kukubali, huyo kajipachika tu jina la dr!!
 
Yaani kuna kitu about this people, hata sielewi ni nini ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession. Hawa watu they got true love na wanajua kujali.

true love in which area? Wale wanaochoropoa mimba unawaweka kundi lipi?
 
ma engineer wakoje? Naomba unielezee na wahandisi kwenye masuala ya mapenzi wakoje?
 
Nimesikia kuna uzi mpya huku mmu
unachosema ni kweli hasa wa sikuhizi..na ni kutokana na mazingira tunayokutana nayo... Ukipendwa na daktari akikuacha huwezi dumu na mtu mwingine(ushahidi nnao) ni wavumilivu mno..

to some extent
 
Aisee pole mamy..muombe mungu atakusaidia utakunana na mkapendana..najua unachomaanisha na unavyosema ...ila leo hapa najifunza kitu kikubwa sana..na nadhani sifa nyingine inategemea na mtu, ila hiyo ya uvumilivu i can asure u wengi ni wavumilivu sana

afu wewe nshakujua, beby dokta kumbe umo humu??! uwahikurudi nyumbani leo nna homa mwenzio lol
 
Ni prof mashimba ama mshimba?

kuna prof wa udsm aliwahi kusema 'ng'ombe wa maskini hazai, akizaa atazaa dume, dume yenyewe inakuwa shoga'
Prof Mshimba, alinifundisha UDSM "complex analysis" miaka ya 2003/2004/2005. Yupo Nzanzibar siku hizi.
 
Back
Top Bottom