Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,648
Ningekuwa karibu ningekukaribisha japo nkuone tu..Ha ha ha ha uuuh bana eeeh umalaya ni tabia ya mtu tu
mi nawapenda sana madaktaree sifa zingine zangu moyoni
Ningekuwa karibu ningekukaribisha japo nkuone tu..Ha ha ha ha uuuh bana eeeh umalaya ni tabia ya mtu tu
mi nawapenda sana madaktaree sifa zingine zangu moyoni
Mkuu shift za usiku wakati mwingine mambo kichwa inavyouma na maemergency utapiga saa ngapi kakaİla hawa wamezidi, wakiwa shifti za usiku wanapigana miti ile mbaya. Nna ushahidi staki maswali
Baada ya muda mreeeefu....naopoa leo! Maana kila tangazo huwa sina vigezo...leo nnavyo!
Ha ha ha..mkuu umenifanya ncheke kwa nguvu sana... umeongea kama babu yangu anavyoongeaga hasa akiwa anakiamini anachokisema..wahuni hawakosekani ila si wengi..Wako smart kichwani hawa madaktari ila ni wahuni kweli
Uwiiiiiii same thing!!yaan mm nikiona mkaka doc ata awe mbaya vp yaan ,hua namkubali sana am real crazy over them kwakwel,nawapenda mno mno hua naassum vitu vingi sana km nikiwa na mme doc like wtt wangu watakua safe all the tym!!!nawapenda kwakwel ila cjabahatika ata ckumoja Kupata ata doc wa kunikonyeza mpk nimekata tamaaaa yaan!!!
Ningekuwa karibu ningekukaribisha japo nkuone tu..
Uwiiiiiii same thing!!yaan mm nikiona mkaka doc ata awe mbaya vp yaan ,hua namkubali sana am real crazy over them kwakwel,nawapenda mno mno hua naassum vitu vingi sana km nikiwa na mme doc like wtt wangu watakua safe all the tym!!!nawapenda kwakwel ila cjabahatika ata ckumoja Kupata ata doc wa kunikonyeza mpk nimekata tamaaaa yaan!!!
Nakushauri utupende sisi makuli. Tukishabeba mizigo ya watu, moja kwa moja tunarudi nyumbani kubeba mizigo ya home.
Hahahaha hongera sana.Baada ya muda mreeeefu....naopoa leo! Maana kila tangazo huwa sina vigezo...leo nnavyo!
hahahahahaaisee tuko tofauti, dr hanistui kabisa, bora mwanajeshi, tena kama ana nyota au komando mie hoi.
au injinia full mafiziksi na mamshimba mie ON kabisa, dr kutwa nzima sampo.zake K? Njawahi kabisa kutamani.
Wako smart kichwani hawa madaktari ila ni wahuni kweli
Uwiiiiiii same thing!!yaan mm nikiona mkaka doc ata awe mbaya vp yaan ,hua namkubali sana am real crazy over them kwakwel,nawapenda mno mno hua naassum vitu vingi sana km nikiwa na mme doc like wtt wangu watakua safe all the tym!!!nawapenda kwakwel ila cjabahatika ata ckumoja Kupata ata doc wa kunikonyeza mpk nimekata tamaaaa yaan!!!
aaaaj hawa wanaolala na manesi wao? wapite kushoto tu
Wako smart kichwani hawa madaktari ila ni wahuni kweli
Nyie mbona mnashikishana masinki ya chooni hayasemwi? Hii ni tabia ya MTU kama ni kicheche hata apelekwe kwenye office yenye ufuatiliaji mkali atalambwa Miti tuu!!
Sijapenda ku-quote hii post, lakini imenilazimu. Nakuunga mkono, ukweli pia mwanamke huwezi kutumia mambo yako eti kumpata doktareee, maana kwao ni za kawaida na wala haziwachanganyi (maadili) na pia naamini huwa wanaziona mara kwa mara, hvyo hawawezi kuona yako ni special. Cha msingi tu ni pale anapotaka mwenza wa kuoa bac, lakini kutishiwa kwamba watapata njaa ya ile mambo hilo sahau. Mi nadhani wanaamua tu, ile mambo wanaipata.