Elevenn
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 9,775
- 19,442
Mara nyingi ukitokea kwenye disfunctional family huwa kuna mawili...
1: Unakuwa beast...
2: Unakuwa people pleaser..
Upande wangu niligeuka kuwa pleaser... Na aisee my whole childhood was gone to waste... Iwe home iwe shule sikuwahi kuishi kwa raha maana I was a doormat.
Kinachotokea ni kuwa side effects hazionekani utotoni. Ukiwa mchanga unakuwa mzuri sana kumezea discomfort, unakaa kimya, unafuata maelekezo hata kama hupendi.
Ila ukiwa pleaser na baadae ukaja kujua ukwelii... Unageuka kuwa beast mbaya sana.
Maana unakuwa unajua yaliyo tokea si fault yako ila maumivu yana geuka kuwa chuki kwa dunia... Unaanza kuwa dhuru hata watu wasio na hatia. Na usipo kaa vizuri unakuwa ni mtu wa kusambaza maumivu kwa wengine.
Sasa nimejuwa kuwa kuwa beast au pleaser ni sawa tuu...
Maana beast huumiza wengine akiji please yeye mwenyewe
na pleaser hujiuumiza yeye mwenyewe aki please wengine
I've not seen my Dad for 4 full years and it's been the happiest season of my life. I don't hate him but we've got none in common.
It's funny that people see your worth when they can't access you anymore, but they already done showin you who they truly are.
Na huwa kuna zile dhana makabila na miiko ya ukoo ukiwa mzembe unarudishwa kwenye loop ile ile.