Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,215
- 165,817
Hivi kumbe na wewe pia?Baada ya muda mreeeefu....naopoa leo! Maana kila tangazo huwa sina vigezo...leo nnavyo!
Jameni hata kama tunatumia fake names tuwe tuna andika kazi zetu kwa profile
tunakoseshana mengi, ni ushauri tu....