Do You Remember?

Do You Remember?

Mie nikisikia dushelele popote pale basi shughuli zasimama kwa muda!



............lol....... Jina lako kweli la jieleza... Huko aliko Ally Kiba atakua proud of you.....
 
last week,nilikuwa tottoparty kitaa wacha nisasambue na abha bhaaa bhaaa abhhaaaaa
 
hapa ndo huwa nammisi Bubu Ataka Kusema, lol
Umenikumbusha mbali... nasikitika tu hakuna wataalam wa ku upload hapa.... Ngoja tumjaribu VOR kama ni mtaalam wa Segere atufanyie mambo...
<br />
<br />
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ulikosea illibidi utumie ya EMT: Don't think outside of the box, smash it and resurrect monuments.... lol

Ha ha ha...hii kali zaidi..nimeingiza ile sentensi yako kwenye hii formula ndio naona mambo yanaenda halijojo zaidi...
 
You sang to Me by Marc Antony na one more Night by Phil Collins.
 
Kama wewe mtaalam wa Kiduku kuna wadau humu sio chini ya watatu (me inclusive) tunataka kujifunza.... Hongera bana kwa kujipa raha...
AshaDii,
Unataka kujifunza kiduku cha aina gani? Kuna vidugu vingi kipo kile cha kuendesha bajaji, kuna cha kuchana nywele.
Nataka kusahau kuna kingine cha kujitazama na kioo huku unaenda mbele..teh teh teh
 
Was last wkend dancing Bamboleo wa Julio Iglesias! Was alone in my room tryn to overthrow my lonelines. After there i take a veery long shower...nkajickia mpya!
 
Ningependa kujifunza kucheza Tango na waltz km ktk muv za banderas take the lead na ile ya shall we dance mr. Smith...km kuna EXPERT HUMU AJITOKEZE KUNIFUNDISHA, I'L PAY..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom