Do You Remember?

Do You Remember?

Mbona nilijaribu majibu yakaniboa!!! Nikasema siirudi tena ile mahali for jibu nilopata... hata below average haiqualify....lol

Ha ha ha ha ha...mie nilijaribu majina matano...nilipost score zote...sasa inaleta shida aliepata nyingi ndio haniamini...lol!

Mbona nilijaribu majibu yakaniboa!!! Nikasema siirudi tena ile mahali for jibu nilopata... hata below average haiqualify....lol
Ongeza na jina la bibi na babu!.. Ikishindikana weka na majina ya majirani zako...lol..

Hahahaha... Kumbe AD alitupiga bao kwenye kalikuleta?.. Hebu jaribu tena kuweka majina yangu yote matatu...ntampita Ad!..

Nime calculate na haya ndio majibu niliyopata...
na Shantel=41%
Husninyo=42
Ashadii=86%
Bebii=75
Sweetlady=43%
Hayo ndiyo matokeo...waambieni wenyewe wasijeninyonga...its mere a joke...

Nime calculate na haya ndio majibu niliyopata...

na Shantel=41%

Husninyo=42

Ashadii=86%

Bebii=75

Sweetlady=43%

Hayo ndiyo matokeo...waambieni wenyewe wasijeninyonga...its mere a joke...
hahahaha!... Na Ad ndo keshagoma kukuamini.. Husni hatakufundisha tena kiduku...

Ha ha ha ha ha...mie nilijaribu majina matano...nilipost score zote...sasa inaleta shida aliepata nyingi ndio haniamini...lol!

Nime calculate na haya ndio majibu niliyopata...
na Shantel=41%
Husninyo=42
Ashadii=86%
Bebii=75
Sweetlady=43%
Hayo ndiyo matokeo...waambieni wenyewe wasijeninyonga...its mere a joke... !

aaaaiiiiseeee!!!! Nimeishiwa pose.....

SADE-NO ORDINARY LOVE, SOLDIER OF LOVE.
LIONEL RICHIE- DEEP RIVER WOMAN
Hizi selections ni kwa kusikiliza tu, siyo kucheza

hahahaha!... Na Ad ndo keshagoma kukuamini.. Husni hatakufundisha tena kiduku...

Tatizo Husninyo hapendi tege kama la denzel...ila nadhani akinifundisha score itaongezeka...l\
Huyu AD mie namtazama tu...ananimind utadhani mie ndio nimeikolokochoa saa.

SADE-NO ORDINARY LOVE, SOLDIER OF LOVE.
LIONEL RICHIE- DEEP RIVER WOMAN
Hizi selections ni kwa kusikiliza tu, siyo kucheza

Habdavi.... your Avatar says it all.... naona ni mzee wa ku observe na some slow moves eeeh?? lol Nice selection... I love SADE...

Tatizo Husninyo hapendi tege kama la denzel...ila nadhani akinifundisha score itaongezeka...Huyu AD mie namtazama tu...ananimind utadhani mie ndio nimeikolokochoa saa.

Taratiiibu Sangara..lol... Sema tu my MAN leo kachoka nimemuamuru NO JF for nawakilisha mimi.... Ningemleta ujue ni kwanini nimeredhika hapo....

OMG!!! Mie nilijua kiduku ni kiduku tu.... So typical wabongo mpaka waweke na Sub-viduku.... Niambie basi tofauti zake ili nijue kipi nijifunze...
Ha ha ha ha!! Ngoja tuanze na cha Bajaji, unafanya kama unataka kuchutama umenipata! Then mikono unanyoosha mbele kama unaendesha Bajaji, huku unahakikisha visigino vyako avigusi chini, unawasha Bajaji, yako unaondoka AshaDii. Ha ha ha! Kama nakuona vile, ukitaka kukata kona unalaza kichwa begani ha ha ha! kiduku cha Bajaji

Bora wewe umeishiwa pose... Mi hapa sina mbavu kwa kicheko... Walah namfuata Sangara anipeleke kwa daktari zikaunganishwe...

Hamu ya kicheko hamna.... Mie siku zoote najua mimi na Sangara thou wa hiari.. yaani KAKANGU... Wee Sweet L kakako akifanya hivo kwenye calculator hata kama kaka wa hiari.... utakua na nguvu za kucheka.....lol

Ha ha ha ha!! Ngoja tuanze na cha Bajaji, unafanya kama unataka kuchutama umenipata! Then mikono unanyoosha mbele kama unaendesha Bajaji, huku unahakikisha visigino vyako avigusi chini, unawasha Bajaji, yako unaondoka AshaDii. Ha ha ha! Kama nakuona vile, ukitaka kukata kona unalaza kichwa begani ha ha ha! kiduku cha Bajaji
Hahahaha... Nimeshindwa kuzuia kicheko, yani kama nakuona vile....lol

Similar Discussions

Back
Top Bottom