Do You Remember?

Do You Remember?

Si nilikua na hasira baridi dhidi yako.... baada ya post hii na jinsi ulivojipanga kujitetea.... nakusamehe na naungana na wewe kuhusu AJ... Mpaka kieleweke!!!! lol
Good and mi penda wewe sana... AJ atakuwa kalala ila tunae mpaka kieleweke...labda ahamie facebook.
..
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
hehehe! Kloro na tege lake akicheza segere lazima utafute expire date kwenye cheti chako cha ndoa.
Heee! Jaman Kloro, where are you?.. Njoo ujitetee!..
 
hahaha! Hilo sasa kwa kiduku ndo lenyewe! Namshangaa Husni anavyojidai kukunyanyapaa.. Njoo tuanzishe kiduku chetu...

Naja na baada ya kumaliza itabidi tukamuoneshe Husninyo kuwa tege sio sababu ya kutokucheza kiduku...
 
Aisee ngoja mi nalale. Sweetlady atakayechakachua hii yuziful sredi hakikisha unamvunja nyusi.
 
Aisee ngoja mi nalale. Sweetlady atakayechakachua hii yuziful sredi hakikisha unamvunja nyusi.
Sleep tyt baby gal... Uniote nimeokota pochi yenye yuro... Ole wako uote nimepoteza, walah tena utanilipa kesho asubuhi...
 
Now time to sleep SweetLady ..ulisema tu ukiusikia ...loooh sleeeppp ...so Nite!! <a href="http://www.youtube.com/watch?v=8hq9hzJhj9M" target="_blank">Scar deeper than love - saxophone (Dave Koz &amp; Danny Jung) - YouTube</a>
hahaha... Thanx nw naeza lala kwa amani ya bwana!.
 
Mie nikisikia dushelele popote pale basi shughuli zasimama kwa muda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom