Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,252
- 10,497

Halali mtu hapa. Ashadii hajalala mi ntalalaje nimwache peke yake?..

ama kweli sweetlady mlinzi wa kimasai.

Halali mtu hapa. Ashadii hajalala mi ntalalaje nimwache peke yake?..
Sitalala mpaka u Upload... Am waiting!SweetLady ..bado upo ...muda wa kulala ukifika ... niambie ... Nita Upload ...!!
Its was last friday me na hubby we went this club,waooo n then they played this song 'lady in red'by chris de burge,n the way i like this song so i dance with him.it was fun coz the people in club was jus looking at us.

Mwendabure Thank you for sharing..... ila tu ONE thing..... aaaisee mbona mbali saaana??? Inabidi uandae mazingira ya wewe kufurahi na kucheza karibuni.... How is your family you are so proud of??
Exactly... I like watching people dance (hivo unialike niku watch)... Have you ever watched the Legend of Zorro ya Banderas?? Ina Tango mle ndani kati ya Zetta Jones na Antonio Banderras mwenyewe.... I Love that part of the movie....
lol... AD umeniandama!... Nimeandikisha jina kwa Husninyo kucheza kiduku, ntakuja na maexperience ya kufa mtu, we endelea kusubiri. Ila vipi umemsamehe AJ bila kunishirikisha??..Hey AJ, mbona wanisingizia?? lol... Hapa King kaja kakutetea na nimelegeza kamba (thou you still have to answer to Sweetlady - Hivi umenotice she has not said her experience??) Mie nimekusamehe maana umenibania....
Kabla sijasahau, VOR, sweetlady, ashadii na saranga, kama una matege hutakiwi kucheza kiduku.
Source: mwalimu.

Mbona mie ni atege kama la Denzel Washington na kidumu ni master vile vile...
Niite bodyguard bana, mlinzi unanshushia hadhi...

ama kweli sweetlady mlinzi wa kimasai.
Noted with thanks!...Sweetlady... That is so sweet of you.... basi nitapoondoka lazima niage kwako....lol

Ndo hivyo AD! Familia haijambo! Majukumu yameniweka mbali kidogo na burudani, ukizingatia siku hizi burudani zimechakachuliwa mno na hawa vijana wa vyama vingi ati! Nakumbuka mi na mai waifu wangu tulikuwa na karatiba ketu.
IJUMAA- City Ambasador (zamani Gogo Hotel) hapo kulikuwa na WanaNjenje au Police Oficers Mess, Osterbay huko kulikuwa na Wazee Sugu (King Kikii)na Le Capitale.
JUMAMOSI- Mango Garden K'ndoni Hapo kulikuwa na Twanga Pepeta enzi za Rogat Hega (katapila) Adolph Mbinga nk.
JUMAPILI- MSASANI CLUB (Drive Inn) hapo kulikuwa na Bonanza la wiki na FM Academia (Wajelajela Gwa enzi hizo) wakati fulani walikuwa wakifanya onyesho la pamoja na Chuchu Sound, hapo utawapata Yusuf Chuchu, Mao Santiago, Omar Mkali, Jonico Flawa bila kusahau tumba za Gaby Katanga (Yero Masai) ilikuwa raha sambamba na umri saizi yake. Kwa sasa kilichobaki ni kulea watoto na kuhakikisha tunawanunulia elimu! (si kuwanunulia mitihani) teh teh teh!
hahahaha! Husni umepinda... Mwambie mwalimu aache unyanyapaa, hapa najaribu kumtetea Saranga manake yeye ndo mwenye matege kati yetu sote....
Hahahaha! Na alokwambia segere linaenda na matege ni kloro au??

mwanafunzi mmoja nishakupoteza. Hebu muone shantel mjaribu segere.

khaaaa! Saranga wa mkuranga ana matege! Hii sredi isije ikapelekwa jf doctor tukatibiane matege.

Hahahaha! Na alokwambia segere linaenda na matege ni kloro au??
Very true Tango ni nzuri sana kuangalia na nimeangalia hio ya Banderras na nyingine nyingi hata moja ya kwenye Never Say Never Again Sean Connery...., na kuongelea dance movies..., vipi ...., "Save the Last Dance yule Mwanadada alivyochanganya dancing moves including ballet dancing.... so good
Best Dance Scene - Save The Last Dance - YouTube
lol... AD umeniandama!... Nimeandikisha jina kwa Husninyo kucheza kiduku, ntakuja na maexperience ya kufa mtu, we endelea kusubiri. Ila vipi umemsamehe AJ bila kunishirikisha??..