Do You Remember?

Do You Remember?

Ha ha ha...hii kali zaidi..nimeingiza ile sentensi yako kwenye hii formula ndio naona mambo yanaenda halijojo zaidi...

.........lol........... Hio hapo juu ndio nini Sangara??
 
Ndahani bana.....lol
Kuna jamaa yangu alikuwa ame dedicate huo wimbo kwa mpenzi wake miaka ileee. So I still remember walivyokuwa wanacheza cheza na mimi nikiiga style zao kwa pembeni
 
You sang to Me by Marc Antony na one more Night by Phil Collins.

Mzee bana nilifikiri utataja wimbo wa Bob... Alafu umebadili jina ama mwafanana Avatar na jamaa??
 
AshaDii,
Unataka kujifunza kiduku cha aina gani? Kuna vidugu vingi kipo kile cha kuendesha bajaji, kuna cha kuchana nywele.
Nataka kusahau kuna kingine cha kujitazama na kioo huku unaenda mbele..teh teh teh

OMG!!! Mie nilijua kiduku ni kiduku tu.... So typical wabongo mpaka waweke na Sub-viduku.... Niambie basi tofauti zake ili nijue kipi nijifunze...
 
Was last wkend dancing Bamboleo wa Julio Iglesias! Was alone in my room tryn to overthrow my lonelines. After there i take a veery long shower...nkajickia mpya!

ha ha ha.... Sabry i feel you man... I get exactly what you mean.... In most cases mie pia hucheza peke yangu room, mara nyingi sina guts za audience...lol
 
Ningependa kujifunza kucheza Tango na waltz km ktk muv za banderas take the lead na ile ya shall we dance mr. Smith...km kuna EXPERT HUMU AJITOKEZE KUNIFUNDISHA, I'L PAY..

Inabidi uelekeze kwanza kama wewe na a guy or gal.... Si unajua haya mambo haya....lol
 
Kuna jamaa yangu alikuwa ame dedicate huo wimbo kwa mpenzi wake miaka ileee. So I still remember walivyokuwa wanacheza cheza na mimi nikiiga style zao kwa pembeni

Ndahani... where you in love with his gal?? What was so speacial??
 
Hii lugha yetu adhimu ina misemo maradufu...lol...itabidi tuchunguze uraia wako...

Dah!! Hiii kali....lol... Hebu uliza kama kuna mwingine anajua... kama ujashangaa woote ukakuta sio raia kwa kipimo hicho....
 
\

Toka unisingizie meaning by reading out of the box na kusema sio raia..... I have my doubts....lol

Kufikiri nje ya box yashauriwa sana tu...na la kujua misamiati ya kiswahili halikwepeki...anyways hata kama huniamini wewe ndio ulie score zaidi kwenye ile calculator ya jana usiku...tena kwa landslide kubwa...Husninyo na Sweetlady scored below average..lol.
 
Mbona nilijaribu majibu yakaniboa!!! Nikasema siirudi tena ile mahali for jibu nilopata... hata below average haiqualify....lol
 
Kufikiri nje ya box yashauriwa sana tu...na la kujua misamiati ya kiswahili halikwepeki...anyways hata kama huniamini wewe ndio ulie score zaidi kwenye ile calculator ya jana usiku...tena kwa landslide kubwa...Husninyo na Sweetlady scored below average..lol.
Hahahaha... Kumbe AD alitupiga bao kwenye kalikuleta?.. Hebu jaribu tena kuweka majina yangu yote matatu...ntampita Ad!..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom