Do You Remember?

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,994
Habari wana JF….

Lini mara ya mwisho ulicheza mziki kwa kujiachia na
kufurahia kabisa huo Musiki ulikua unacheza?? Haijalishi
ulikua wapi... Ilikua Chumbani kwako?? Sherehe?? Club??
Mtaani?? ama Kijijini?? Na if you don't mind ni wimbo gani
huo ulikukuna mpaka ukakunyanya kucheza... Naomba tafadhali
saana Ushee na Sie... KIKUBWA... Do you Remember???

P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
 
Yes .. I remember ... just n my room ... real sweet and relaxing ... Deeper Than Love ... Dave KOZ !!mmmmh! AJ huo wimbo mbona hauchezeki na ni wakusikiliza kama umekaa, umerelax na kuvuta hisia.... You have gat to be kidding me...
 
aisee, i dragged meself back to elimu ya watu wazima last year, after easter this year tukapatana tufanye faculty party basi tu kujiachia! that is when i believed the saying going back to schooling makes u feel 17! manake ukiangalia umri wetu karibia wote wazee, ila tulikuwa kama form 2 flani! Nilicheza karibu kila wimbo (there was a live band, so waliimba zilipendwa za kidhungu na kiswahili, sio reggae, za ngwasuma humo humo, bongo flava! it was a freaking night, by the time tunazimiwa mziki @1.00 am, tulibaki 5 pple tukaamua kwenda club hadi 4 am! kesho yake mwili wote unauma, sauti haitoki bt the whole week nursing my hangover and yet feeling like a sweet 17,lol!! It was nice!
 
aisee, i dragged meself back to school, after easter this year tukapatana tufanye faculty party basi tu kuiachia! that is when i believed the saying going back to schooling makes u feel 17! Nilicheza karibu kila wimbo (there was a live band, so waliimba zilipendwa za kidhungu na kiswahili, sio reggie, za ngwasuma humo humo! it was a freaking night, by the time tunazimiwa mziki @1.00 am, tulibaki 5 pple tukaamua kwenda club hadi 4 am! kesho yake mwili wote unauma, sauti haitoki bt the whole week nursing my hangover and yet feeling like a sweet 17,lol!! It was nice!

King the way umeipaint kama vile nilikuwepo na nikawaona..... It was definately fun (kumbe kuna watu hua huonana?? INAPENDEZA SAANA) and as much as ulikua na maumivu I know for a fact it was worth it and you could do it all over again with NO regret...
 
Rudia... chukua home clip video hata kwa cm.... u-upload, nione kama kweli....lol

ADii kweli kabisa you want to see this !?..

Sitaki malalamiko baadae !! Kwani thread inasema Kujiachia..na kufurahia kabisa.. Mimi na Upload ...lol
 
ADii kweli kabisa you want to see this !?..

Sitaki malalamiko baadae !! Kwani thread inasema Kujiachia..na kufurahia kabisa.. Mimi na Upload ...lol

I DARE you.... Upload tena hapa hapa kwenye Thread.... Waiting patiently.....lol
 
Nakumbuka ilikuwa usiku wa kuamkia mwaka mpya 2011 Bwawani Hotel...wana club yao ipo vizuri...DJ alipiga nyimbo nzuri ila ulipopigwa wimbo wa I wanna fly...Shaggy feat Gary Nesta Pine...nilicheza sana...i still remember the moment as if ilikuwa jana...
 
Sangara nimeipenda hii... For it seems you had fun, after all ilikua New year.... Ila umeacha detail moja ya muhimu... Ulikua unacheza peke yako?? Maana huo wimbo huo....
 
hahaha, u should have seen me wifi,lol! im craving for such fun again, ila this time around i will watch out my shoes,lol! ntavaa yeboyebo!
King the way umeipaint kama vile nilikuwepo na nikawaona..... It was definately fun (kumbe kuna watu hua huonana?? INAPENDEZA SAANA) and as much as ulikua na maumivu I know for a fact it was worth it and you could do it all over again with NO regret...
 
Sweetlady umeona eeeh?? yaani nimeshindwa pata picha... Huo wimbo mie hunibembeleza kulala.... Ngoja lakini alete ushahidi....[/QUOTE..lol.. Tusubiri...

Lakini SweetLady , umesema labda natiksa kichwa ... kaaaribu unapatia na ninahisi kweli unaupenda ..SASA ..Ona Mimi natiksa kichwa ... wewe unakubembeleza ..unganisha iwe picha moja... .Lol!

Mueleze ADii ..Bado anataka ni Upload?? Lol
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom