Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,654
Reaction score
59,077
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.

Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio linaloashiria kuanza kwa mhula mpya wa uongozi utakaodumu hadi mwaka 2030.

Kwenye hotuba yake ya kwanza, Dkt. Samia ameishukuru Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa, vyombo vya Ulinzi na usalama, pamoja na wagombea wenzake wa kiti cha urais kwa namna walivyoshiriki katika mchakato wa uchaguzi mkuu kwa amani

Rais Mteule, katika hotuba hiyo, amesema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria, kwani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewezesha wagombea wote kuzunguka pande zote za Tanzania. Aidha, amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.

Vilevile, Dkt. Samia ametoa ahadi kwa niaba yake na Makamu wa Rais Mteule, Dkt. Nchimbi, akisema "Mimi pamoja na Makamu wa Rais SAN Mteule, Dkt. Nchimbi, tunakwenda kufanya kile tulichoahidi kukifanya ambacho tumekubaliana ndani ya Ilani yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)." Alisema Rais Mteule.

Hafla hiyo ya kihistoria imefanyika, Novemba 1, 2025, jijini Dodoma, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa, wawakilishi wa taasisi za umma na binafsi.
 
View attachment 3496522
Huyu mama sidhani kama yuko sawa kichwani.
 
Huyu muuaji, is going to pay heavy price kwa uovu aliofanya. Acha internet iwe restored sijui ataficha wapi uso wake
 
Ngoma ndiyo ishawaka hivyo , ngoja tuone tutakapoishia ila issue ni ngumu wazee
 
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.
Wakati huohuo anasema kulikuwa na maandamano Dar Mwanza Arusha Kahama Mbeya n.k

Ukweli ni kwamba Tume ya Uchaguzi imepika matokeo ili kumtawaza Malikia.
 
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.

Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio linaloashiria kuanza kwa mhula mpya wa uongozi utakaodumu hadi mwaka 2030.

Kwenye hotuba yake ya kwanza, Dkt. Samia ameishukuru Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa, vyombo vya Ulinzi na usalama, pamoja na wagombea wenzake wa kiti cha urais kwa namna walivyoshiriki katika mchakato wa uchaguzi mkuu kwa amani

Rais Mteule, katika hotuba hiyo, amesema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria, kwani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewezesha wagombea wote kuzunguka pande zote za Tanzania. Aidha, amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.

Vilevile, Dkt. Samia ametoa ahadi kwa niaba yake na Makamu wa Rais Mteule, Dkt. Nchimbi, akisema "Mimi pamoja na Makamu wa Rais SAN Mteule, Dkt. Nchimbi, tunakwenda kufanya kile tulichoahidi kukifanya ambacho tumekubaliana ndani ya Ilani yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)." Alisema Rais Mteule.

Hafla hiyo ya kihistoria imefanyika, Novemba 1, 2025, jijini Dodoma, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa, wawakilishi wa taasisi za umma na binafsi.
View attachment 3496522
Anasema wameweza kusimamia uchaguzi ulio huru, wazi na wa haki

Samia ni kichaa na katili kupindukia kama hii ndio definition yake ya uchaguzi wa haki hana hata chembe ya aibu.
 
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.

Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio linaloashiria kuanza kwa mhula mpya wa uongozi utakaodumu hadi mwaka 2030.

Kwenye hotuba yake ya kwanza, Dkt. Samia ameishukuru Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa, vyombo vya Ulinzi na usalama, pamoja na wagombea wenzake wa kiti cha urais kwa namna walivyoshiriki katika mchakato wa uchaguzi mkuu kwa amani

Rais Mteule, katika hotuba hiyo, amesema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria, kwani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewezesha wagombea wote kuzunguka pande zote za Tanzania. Aidha, amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.

Vilevile, Dkt. Samia ametoa ahadi kwa niaba yake na Makamu wa Rais Mteule, Dkt. Nchimbi, akisema "Mimi pamoja na Makamu wa Rais SAN Mteule, Dkt. Nchimbi, tunakwenda kufanya kile tulichoahidi kukifanya ambacho tumekubaliana ndani ya Ilani yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)." Alisema Rais Mteule.

Hafla hiyo ya kihistoria imefanyika, Novemba 1, 2025, jijini Dodoma, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa, wawakilishi wa taasisi za umma na binafsi.
View attachment 3496522
A bunch of criminals. Faki zem all.
 
Back
Top Bottom