Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,725
- 3,795
ebu fanya kuwasiliana na hao jamaa kuweza kujua
kurupuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ebu fanya kuwasiliana na hao jamaa kuweza kujua
wajinga ndio waliwaolabda shida kubwa kwa dk mwaka beizake ziko juu sana sio kumsaidia mtanzania wa chini kama waganga wa asili wa kawaida uwezitofautisha waloliondo 500/30"000 za mwaka hapo unalipa 10"000 za kadi dawa unaandikiwa tano bill zinatoka perdiem ya mbunge mmoja wa katiba ukijumlisha mns uwe na laki nne+ kwenda kwa mwaka m sishangai hilo gari kwa bei zake uwezo anao..waangalie tu hizo.sehemu zingine na wambane kwenye bei ..yuko kwa ajili ya wananchi wote..kama anaponya basi abanwe bei zishuke.aendelww..
MAKOSA YAKE NI HAYA:_
(i) Registration yake ni ya tiba asili ambayo imekwisha muda wake
(ii) Kumkimbia Muheshimiwa naibu waziri
(iii) amekiuka miiko kwani alikuwa hajitangazi kama mtoa tiba wa asili, HIVYO WENGI WALIOKWENDA KWAKE WALIAMINI NI MGANGA WA HOSPITALI-MEDICAL DOCTOR
*Cc: Wizara ya Afya na wengineo...
![]()
![]()
Kumbe jamaa ame specialise kwenye Miziziology
Dr.Mwaka nimemkubali.
Watu wanakurupuka kumbe mtu ana document zote.
au unataka nibadilishe kabisa, niite MGANGA WA JADI, YAANI TRADITIOAL HEALER.....ndilo jina wanalostahili kuitwa, na sio doctor. madoctor ni wale waliopigika kwenye vyuo kama muhimbili na vingine kwa miaka ya kutosha wakiusoma mwili wa mwanadamu, sio hao wanaosoma certificate ya mitishamba china mwaka mmoja, ndio unamwita doctor?samahani mkuu naomba unitafsirie"NENO MGANGA" KWA KIINGEREZA
wamesoma certificate za mitishamba mwaka mmoja, wanasomea sana india na china. ni traditional healers sawa tu na hao wamasai wanaotembeza mizizi wakidanganya watu kuwa inaongeza nguvu za kiume na kuita wachumba.Ukitaka ugomvi na mwaka hoji waliko somea udaktari wanaujinasibu nao. Hawa jamaa mi nawachukia kwa kutapeli raia wakijiita dr bila kufafanua kuwa wao ni witch-drs. Ndo maana kila siku ukimsikiliza mwaka pointi zake ni mbili tu: "homon imbalance", "kuziba kwa mirija ya kike" mwaka mzima.
Yap, hapo mkuu tuko pamoja. Hawa jamaa nawaita matapeli sababu hujiaminisha kwa watu kwa id ya Dr. H?vyo watu huwaendea bila h?fu wasijue kuwa elimu yao juu ya mwili wa binadamu ni hafifu. Nafahamu watu wengi hawajui utapeli huu.wamesoma certificate za mitishamba mwaka mmoja, wanasomea sana india na china. ni traditional healers sawa tu na hao wamasai wanaotembeza mizizi wakidanganya watu kuwa inaongeza nguvu za kiume na kuita wachumba.
wanatake advantage matatizo ya watu hasa wanawake wasiozaa, wakijua kuwa yupo kwenye tatizo hivyo akimtajia dau lolote analipa, na wanachuma pesa nyingi sana kwa masikini wa kitanzania. hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuamini kuwa mtu aliyesoma certificate ya mitishamba mwaka mmoja atakuwa sawa na mtu aliyesomea udaktari muhimbili au ifakara au bungando etc miaka saba. ni mjinga tu anaweza kumsifia huyo jamaa na wenzake wote.
kuna mdudu mwingine anaitwa rahabu sijui anajifanya anatibu vidonda, kuna mwingine yule wa mashahidi wa jehova mwenye wake wawili anajifanya anatoa dawa ya kusukutua halafu jino linapona bila kung'oa, anawakamata wengi sana. kuna umuhimu serikali iwatafutie jina hawa jamaa, ili wasichanganye wananchi. kwasababu wananchi wanaamini ni madoctor, wanaenda pale wanapigwa pesa na kupona hawaponi.
Hata mimi ningemkimbia, utakujaje bila kutoa taarifa? Hii ni ofisi yangu si ya serekali hayo mambo ya kuviziana pelekeni huko kwenye ofisi zenu, huku ukija utoe taarifa haijalishi wewe waziri au nani.Sasa ni kipi hasa kilimkimbiza? Si angevuta subira akamvutia hizi nyaraka? Au hajiamini?
Ukipata jibu naomba unistue...sijui hata alikimbia nini! Na wasaidizi wote mbio...!!
Hata mimi ningemkimbia, utakujaje bila kutoa taarifa? Hii ni ofisi yangu si ya serekali hayo mambo ya kuviziana pelekeni huko kwenye ofisi zenu, huku ukija utoe taarifa haijalishi wewe waziri au nani.