Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

Dah mimi nilijua jamaa ni Gynecologist, kumbe ni mganga wa jadi!!!

Kweli mjini shule, Ahsante naibu waziri HKigwangallah kwa kwenda kujiridhisha juu ya utabibu wa huyu msanii
 
labda shida kubwa kwa dk mwaka beizake ziko juu sana sio kumsaidia mtanzania wa chini kama waganga wa asili wa kawaida uwezitofautisha waloliondo 500/30"000 za mwaka hapo unalipa 10"000 za kadi dawa unaandikiwa tano bill zinatoka perdiem ya mbunge mmoja wa katiba ukijumlisha mns uwe na laki nne+ kwenda kwa mwaka m sishangai hilo gari kwa bei zake uwezo anao..waangalie tu hizo.sehemu zingine na wambane kwenye bei ..yuko kwa ajili ya wananchi wote..kama anaponya basi abanwe bei zishuke.aendelww..

Ila mkuu mbali na yote hayo mwisho ya siku wote hao wanakua na malengo ya upigaji tu baada ya kumaliza kufanikisha malengo yao.
Mfn. Mzuri kuna yule jamaa mwingine sijui alipotela wapi (Dr. Ndondi) huyu jamaa alikuja kwa kasi ya kimbunga na kauli mbiu ya tokomeza Vitambi, alivyokua akikiponda kitambi utatamani kujificha uvunguni mwa kitanda kama unacho. Ila kuna siku nilikutananaye nilicheka sana, yeye sasa hivi ndio anakitambi ka "kirobatumbo" sasa hapa tujifunze nini?
 
Hii nchi ina majungu sana Babu wa Loliondo alisababisha maafa sana ila sababu alikua anafanya kwa uwezo wa roho mtakatifu hakuna shida ila huyu mganga kilichomponza ni JUMA alafu ana wake 2 kuonyesha msisitizo na amefanikiwa sana ingawa ndio anazingua baadhi ya mambo ila utaratibu uliotumika sio

Mkuu umefika mbali tusifike huko.
 
Kuna watu wengine wanamusiki na waganga mitishamba wanajiita Maprofessor bilakuona ndani ya darasa. Mtindo huu ukome unawahamasisha watoto wasisome.
 
MAKOSA YAKE NI HAYA:_
(i) Registration yake ni ya tiba asili ambayo imekwisha muda wake
(ii) Kumkimbia Muheshimiwa naibu waziri
(iii) amekiuka miiko kwani alikuwa hajitangazi kama mtoa tiba wa asili, HIVYO WENGI WALIOKWENDA KWAKE WALIAMINI NI MGANGA WA HOSPITALI-MEDICAL DOCTOR

Walikulalamikia wewe au we ndo ulipeleka taarifa, au ni waziri kaku call?
 
kuweni na akili timamu, hivi kwa kweli, mtu mwenye cheti kama hicho hapo anafaa kuitwa doctor somebody? mnajua maana ya doctor? hivi mtu kama huyu akienda kwenye nchi za watu wenye akili (ambao sio kama ninyi mnayemtetea) atajiita doctor? ....wanatakiwa wapigwe marufuku kujiita madoctor waitwe WAGANGA WA JADI. upuuzi mtupu huuu, na ni waongo kuliko hata shetani. wanachukua advantage matatizo ya watu.

kwani "mganga wa jadi" kiiengeleza anaitwaje
 
Sasa ni kipi hasa kilimkimbiza? Si angevuta subira akamvutia hizi nyaraka? Au hajiamini?

Alienda kuchimba mizizi,
isitafsiriwe kuwa alimkimbia kigwagwala.

kama wanadhani anakosea wangemuita kwenye vikao vyao awape ufafanuzi wa kwa vipi ana intergrate miti shamba na ct scan ( spelling uuuuuwiiiii)

Halafu kama kigwagwala alipewa mtonyo na magu kuwa dokta mwaka anaichezea mahepe ct scan ya muhimbili ili yeye apige hela kupitia cy scan yake basi asingeenda na waandishi wa habari kibao namna ile na mikamera utadhani majombora ya osama.

majini hayapigwagi picha.

Mtakoma na Mikurupuko yenu.
 
Dah mimi nilijua jamaa ni Gynecologist, kumbe ni mganga wa jadi!!!

Kweli mjini shule, Ahsante naibu waziri HKigwangallah kwa kwenda kujiridhisha juu ya utabibu wa huyu msanii

acha mazarau wewe!!!!! kama ilivyo kuna mkunga wa jadi hata dakitari wa magonjwa ya akina mama wa jadi naye yupo, hizi sayansi za tiba za kisasa zisiwapotoshe akili zenu, maisha yalianza zamani saaaaaaaana.
 
kuweni na akili timamu, hivi kwa kweli, mtu mwenye cheti kama hicho hapo anafaa kuitwa doctor somebody? mnajua maana ya doctor? hivi mtu kama huyu akienda kwenye nchi za watu wenye akili (ambao sio kama ninyi mnayemtetea) atajiita doctor? ....wanatakiwa wapigwe marufuku kujiita madoctor waitwe WAGANGA WA JADI. upuuzi mtupu huuu, na ni waongo kuliko hata shetani. wanachukua advantage matatizo ya watu.

samahani mkuu naomba unitafsirie"NENO MGANGA" KWA KIINGEREZA
 
Naambiwa na mtu hapa rose garden na anakunywa maji

mganga=daktari kithungu
 
Wanaomkubali ni waru wa ajabu sana. Kuonesha kibali cha matangazo sio tatizo. Suala ni kukiuka maadili ya tiba iwe riba za kiasili au la. Kama tiba yako ni nzuri wagonjwa watakuja wenyewe. You don't need to persuade them. If you so ni UTAPELI
 
Hahaaa kuna.miss mmoja alikaa kimaraa akapenda hela akazaa.na mganga wa kienye dk ngi.....huyu kapiga hela mozamboqie wachaa...na udk wake loh..na nyi mnakaa miaka minne mnapoteza muda sibora mwende china kwa halii hii mkirudi mwaka tu mna vogue hahaa dk pdidy sio jina hiyo n no ya gari(plate.no).. Alah..ngoja ncheki umri ...
 
Mi nilitegemea ku?na vyeti vya kusomea udaktari kama anavyo jinasibu kama tabibu bingwa. Anatakiwa awaambie wateja wake ukweli kuwa ni mganga wa kienyeji. Tuvyeti twenyewe twa vibali twa stationary. Kigwangala tumbua hili jipu fasta.
 
Barafu ya moto umeongea kitu cha maana sana,watu wengi humu wanachangia bila kujua pointi ya kufungiwa Dr mwaka ni nini na yeye kaonyesha nini hapo kwenye vyeti, watu wanakimbilia kuchangia bila kuelewa vizuri
 
Alimkimbia vipi wakati alienda kwa makomeo style? Wewe unakwenda ofisini kwa mtu kwa kuvizia huo si uchimvi? Hata mimi ningeondoka zangu tena kwa kupishana nae mlangoni maana hakuna taarifa yoyote ya ujio wake! Wakashtukize muhimbili huko sio kwenye vitega uchumi vya watu.

Pumbavu afya za watu mnageuza vitega uchumi na upewe taarifa iweje kama unafanya huduma sahihi hauitaji kujiandaa ni kitendo cha kuvuta tuu makabrasha na kumziba mdogo huyo aliye kuja kwa kushtukiza lakini ukikimbia maana yake unaogopa kutolea maelezo ya kile unachofanya hasa kama kipo sawa.
 
Msilete siasa, huyu ni dokta wa kutumia mitishamba, iweje atumie baadhi vifaa na taratibu za mainstream medicine ilhali haruhusiwi kutumia sababu hajasomea? Hiyo ndo hoja! Nendeni klinik kwake!
Hivyo vyeti ulivyoweka hapo havijajibu hoja bali kuongeza maswali zaidi.

barafuyamoto;
Acheni kutetea watu wakiisha kulikoroga. Hivi kweli, huyo Dr Mwaka ni mtu wa kumwendea na defender? Mnasema ati alitumia vifaa sijui gani, Kioo ni kifaa cha kuangalizia ugonjwa? Mbona Waganga wengi tu hukitumia? Je, alikuwa anavitumia hivyo vifaa kupimia tofauti na matengenezo yake??
Waziri wako "Alikurupuka" penda usipende. Siteei uganga, ila Kigwangwala wako asianze kukimbizana na waganga, aboreshe hospitali zake. Awazuie wezi wa dawa zake. Atuoneshe kidonge alichokikuta kwa Mwaka cha serekali. Aoneshe spea ya Ct Scan aliyoikuta kwa Mwaka. Zile ni mbwembwe tu. Alikwenda na waandishi wake ambao nao walimtonya Mwaka dakika 10 kabla ya kufikiwa. Kwisha
 
Back
Top Bottom