secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,611
Mtoto unang'aa kama taa....pole japo hujasema changamoto gani
umetisha...
Mtoto unang'aa kama taa....pole japo hujasema changamoto gani
Afadhali amefuta post yake watu hawajui kuna madaktari wamepata huu ugonjwa wakiwa wanatoa huduma.Mamlaka za juu zilishasema Corona sio tishio, vipimo vyetu ni fake, na kila mtu achape kazi kwa kwenda mbele. Nahisi Daktari asingeweza kuikwepa COVID.
Kumbuka tu, hata kama utachukua hatua zote za kujikinga kwa 100%, bila jamii inayokuzunguka na mamlaka husika kuchukua hatua, bado COVID itakupata.
Magufuli kaamua kuua wananchi wake huku yeye kajificha Chato. Sasa hata kupima hatupimi tena. Tumesingizia mashine ni mbovu. Bahati mbaya vifo havifichiki.TANZIA
Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
asa ina mahusiano gn apoMtoto unang'aa kama taa....
umetisha...
Pole mkuu, serikali inahusikaje?TANZIA
Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
Hakuna uhusiano wwte ni sifa tu nimekupa..asa ina mahusiano gn apo
Sioni cha ajabu hapo,!Kwa maelezo hayo ya Tanzia, kuna kila sababu kufikiri na kuamini kuwa huyo Daktari bingwa huenda amepigwa na COVID mpaka mauti kumfika!
Poleni wafiwa.
Poleni wafiwa.Magufuli kaamua kuua wananchi wake huku yeye kajificha Chato. Sasa hata kupima hatupimi tena. Tumesingizia mashine ni mbovu. Bahati mbaya vifo havifichiki.
okay worry outHakuna uhusiano wwte ni sifa tu nimekupa..
hongera kama pic ni yako....
Umejuaje wakati vipimo ni feki??