TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

Mamlaka za juu zilishasema Corona sio tishio, vipimo vyetu ni fake, na kila mtu achape kazi kwa kwenda mbele. Nahisi Daktari asingeweza kuikwepa COVID.

Kumbuka tu, hata kama utachukua hatua zote za kujikinga kwa 100%, bila jamii inayokuzunguka na mamlaka husika kuchukua hatua, bado COVID itakupata.
Afadhali amefuta post yake watu hawajui kuna madaktari wamepata huu ugonjwa wakiwa wanatoa huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANZIA

Ndugu yangu wa karibu Dr. KINABO anayemiliki Dispensary za Avenue hapa Dodoma, amefariki leo asubuhi. Nikiwa mwanafamilia naendelea kuisihi Serikali iwe serious na changamoto inayolikabili Taifa kwa sasa. Mchezo wao ndio mauti yetu. RIP Daktari.
Magufuli kaamua kuua wananchi wake huku yeye kajificha Chato. Sasa hata kupima hatupimi tena. Tumesingizia mashine ni mbovu. Bahati mbaya vifo havifichiki.
 
Pole mkuu, serikali inahusikaje?
 
Magufuli kaamua kuua wananchi wake huku yeye kajificha Chato. Sasa hata kupima hatupimi tena. Tumesingizia mashine ni mbovu. Bahati mbaya vifo havifichiki.
Poleni wafiwa.
Huyu ni Kinabo yupi, yule aliwahi kuwa USA ?
 
Back
Top Bottom