Sasa Waziri Makamba ni bosi wa Balozi Polepole na Dkt. Bashiru, Siasa za CCM na CHADEMA pasua kichwa sana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Jambo muhimu kwenye Siasa na hasa kama Siasa Ndio tegemeo la Maisha yako na familia yako basi heshimu kila mtu.

Siasa za bongo ni pasua kichwa sana yaani ni kama kuwapandisha Kobe juu ya miti.

Kama Membe alitaka kumpa Ubalozi Zitto ina maana Makamba Jr anaweza kumpangia kituo cha Kazi Dr Bashiru.

Ngoja niendelee kuusikiliza Waraka hapa Jumuiya ya Mt Batolomayo.

Nawatakia Sabato njema 😀
 
Jambo muhimu kwenye Siasa na hasa kama Siasa Ndio tegemeo la Maisha yako na familia Yako basi heshimu kila mtu

Siasa za bongo ni pasua kichwa sana yaani ni kama kuwapandisha Kobe juu ya miti

Kama Membe alitaka kumpa Ubalozi Zitto ina maana Makamba Jr anaweza kumpangia kituo cha Kazi Dr Bashiru

Ngoja niendelee kuusikiliza Waraka hapa Jumuiya ya Mt Batolomayo

Nawatakia Sabato njema 😀
Waziri wa Mambo ya Nje hana nguvu nao kiutawala bali kiutendaji (the minister doesn't have administrative powers but functional relationship with ambassadors).

Anaweza kuwapikia majungu tu ila hawezi kuwachukulia hatua
 
Waziri wa Mambo ya Nje hana nguvu nao kiutawala bali kiutendaji (the minister doesn't have administrative powers but functional relationship with ambassadors).

Anaweza kuwapikia majungu tu ila hawezi kuwachukulia hatua
Labda unazungumzia Rwanda

Zitto: Membe alitaka kunipa Ubalozi wa Ujerumani nikakataa
 
Back
Top Bottom