Dk. Mwaka afungua kampuni, ni ya vifaa vya afya, urembo na usafi

Uzazi?? Alikuwa mchungulia nyuchi za akina mama.... Kwanza anashule gani?? Udakitari ni taaluma mtu lazima ukae class... Mbona hakuna ma engineer wa kienyeji?? Mnafanyia maigizo afya zetu ....?? Nchi hii kweli
Ndio akili yako ilipoishia, kwenye kuchunguliwa. Kwa hiyo wewe mtu aliyekaa class umempa ruksa ya kukuchungulia sababu ya madarasa eti?

Kapewe mizizi ule upate akili. Tiba mbadala haiishii kwenye kuzibua mirija ya uzazi tu, hata ya ubongo. Ulipogusia maigizo nilidhani umeanza kupata akili, shida ni kwamba hujui umesimama juu ya nini, acha nikudokeze: FUNGUA RADIO CLOUD, UTASIKIA MATANGAZO YA LUPIMO SANITARIUM CLINIC...YULE ALIYEFUNGIWA PAMOJA NA DK MWAKA, BADO YUPO HEWANI ANAPIGA MZIGO NDIO UTAJUA HILI SUALA LILIKUWA LINALENGA MTU NA SIO TATIZO
 
Km VP ahame nchi kwani lzm bongo anaweza kufanya kazi vzr sn hapa bongo watu ni jealous sn.
Hii kampuni yake ameshaisajili kwenye moja ya nchi jirani
Foreplan sio tu ilikua inajishuhulisha na kutibu tu bali ilikua inafanya shuhuli mbalimbali
Hii ni kwa mujibu ya tangazo lake linalosikika kwenye radio
 
Hiyo kampuni imefunguliwa ndani ya saa 24?
Kwa mujibu wa tangazo lake ilikuepo ila ilikua inajishuhulisha na mambo mbalimbali ila watu tulimjua kupitia clinic zaidi
Na pale bungoni kapageuza kua ofice ya kampuni yake hiyo ya foreplan
 
Vyombo vya serikali vinatakiwa kuangalia jambo hili kwa makini. Kama kweli huduma alizokuwa anatoa huyu jamaa kupitia clinic ya fore- plan zimethibitika kuwa na mapungufu na akafungiwa, halafu anafungua kampuni baada ya siku moja basi serikali inachezewa
Nakubaliana na wewe mkuu,reaction yake ndani ya kipindi kifupi ni kutunishiana misuli na wenye maamuzi nina hakika hiyo kampuni haitadumu.
 
Maskini Mwaka anaponzwa na kazi yake iliyo kubalika, jamaa wale wanaouza dawa barabarani mbona hawakamatwi wafungiwe pia? unakuta dawa zimewekwa chini kama nguo za mmachinga wala hawasumbuliwi? Maendeleo ya Mwaka ndio yanayowaumiza wakiona ule mjengo wake na magari anayomiliki pamoja na wake wawili wenye afya safi na urembo wa garama roho zinawaume, maana wenyewe hata huyo mke mmoja kumremba ni shida.
 
Chezea JJ Mwaka wewe, sasa anasambaza vifaa vya afya, urembo na usafi.

Hahahahaaa sasa sio Foreplan clinic tena bali ni kampuni ya foreplan. Hivyo bado foreplan kampuni ipo kama kawaida.

Nimesikia tangazo lake radio magic fm
Ataifanya kinyemela
 
Chezea JJ Mwaka wewe, sasa anasambaza vifaa vya afya, urembo na usafi.

Hahahahaaa sasa sio Foreplan clinic tena bali ni kampuni ya foreplan. Hivyo bado foreplan kampuni ipo kama kawaida.

Nimesikia tangazo lake radio magic fm

Vyombo vya serikali vinatakiwa kuangalia jambo hili kwa makini. Kama kweli huduma alizokuwa anatoa huyu jamaa kupitia clinic ya fore- plan
Hivyo ulitaka abaki nyumbani analialia njaa?
Kwa hiyo aendelee kutoa huduma za kimagumashi kuepusha njaa?
 
Vyombo vya serikali vinatakiwa kuangalia jambo hili kwa makini. Kama kweli huduma alizokuwa anatoa huyu jamaa kupitia clinic ya fore- plan zimethibitika kuwa na mapungufu na akafungiwa, halafu anafungua kampuni baada ya siku moja basi serikali inachezewa
Kosome katiba ya nchi vizuri...... kila mtu ana haki ya kufanya kazi halali na kujipatia ujira ww ulitaka akae bila kazi ili akupige mizinga.....!!!?
 
Baada ya kufutiwa usajili wa Foreplan Clinic, Dr mwaka kaipiga chenga shamba la bibi na kuja kivingine kwa kusajili jina la Foreplan Company ltd, nakuendeleza matangazo kama kawa.

Kuzaliwa mjini tu ni tayari upo form 6.
Huu ndo ugonjwa wa kutosoma TREADS za nyuma! Yani hii ishu inaandikwa hapa maratatu tatu badala ya kuleta mpya unatuletea za nyuma tu! Hii hata maramoja moja kwa ziku pitia! Au tatizo MB
 
Ukimjua adui yako vzuri utapambana naye tu hadi ushndi. Mwaka anawajua wabaya wake na silaha zao. The man has become an international figure now, fight him here atapaa tu kule nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom