ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,042
- 49,727
Mfanyabiashara Maarufu na Kada wa CCM na shabiki lialia wa Samia Mzee Azim Dewji aliwahi kunukuliwa akisema kwamba Changamoto za upungufu wa umeme na katokakatika vimesababishwa na maendeleo hususani uingizaji wa mitambo na vifaa vingi vya umeme wakati vyanzo havijaongezeka.
Sasa Kwa mujibu wa takwimu za BoT za mwaka 2023 ,Mitambo,mashine na vifaa vya Umeme vyenye thamani ya Shilingi Trilioni 6.9 approximately 7 Trilion Viliingizwa Nchini tayari Kwa matumizi na vyote hivyo vinajitahidi umeme na sehemu kubwa ni mashine za uwekezaji.
Uagizaji wa bidhaa toka nje kwa mwaka 2023:
1. Mitambo, mashine na vifaa vya umeme- Trilioni 6.92.
Mafuta- Trilioni 6.53. Malighafi mbalimbali za viwanda- Trilioni 5.74.Chuma- Trilioni 2.65.
Vipuri- Trilioni 2.36.Plastiki- Trilioni 1.47.
Ngano- Bilioni 9988.Mbolea- Bilioni 9869.
Bidhaa mbalimbali za matumizi majumbani- 873B10.
Magari- Bilioni 806
Just imagine hiyo ni area Moja tuu ya kitambo na vifaa vya Umeme Bado majumba na Biashara, construction sites,Umeme Vijijini, kwenye miradi ya maji,mashule ,Afya ,migodini nk nk.
Watu walitoa mapovu sana na kubisha Kwa hisia bila takwimu kama Mzee alivyoweka huku wakijipiga vigua kwamba eti awamu ya 5 umeme ulikuwa haukatiki.
Mlichosahau kusema ni kwamba Mahitaji ya umeme yalikuwa yanaongezeka Toka 2016 na yakaja kuongezeka Kwa Kasi zaidi kuanzia 2021 baada ya Samia.kufungua Nchi lakini vyanzo vya uzalishaji umeme vilisalia vile vile huku Nchi ikisubiria bwawa.
Sasa Kwa Hali hiyo unatarajia umeme utaacha kukatika? Na unaanzaje kulaumu awamu ya 6 wakati waliotangulia hawakuandaa umeme wa dharula ku cover demand Mpya wakati bwawa linasubiliwa? Na umeme sio kama kujenga madarasa Bali itahitaji mda na pesa ndegu.
My Take
Walaumiwe ambao hawakuandaa umeme kipindi Cha mpito sio walioleta maendeleo Kwa Kasi na kusababisha umeme kupungua.