Dk. Mwaka afungua kampuni, ni ya vifaa vya afya, urembo na usafi

Sasa kaingia kwenye 10 za TFDA
TFDA Bongo? Si kuliuzwa ARV feki hapa kinababa wakaota nyonyo ndani ya nyumba sokomoko toddlers hawajui nani mom nani dad?

Pita kule kwa kina Diamond swaiba wenu, maduka ya kuuza dawa za ushirikina yamejazana kibao, sijasikia wakikaguliwa wale. Ubani , sanda, maji maiti, kanzu nyekundu, ubani dhukra, ubani mashtakah, marash muje, yai viza, nazi mbovu, huko wala hamuwachongei TFDA, mgoomvi wenu Dk Juma tu kisa anapiga hela...acheni wivu wa kike!

Vipodozi si ndio vimefanya wengine mmeoana?
 
Chezea JJ Mwaka wewe, sasa anasambaza vifaa vya afya, urembo na usafi.

Hahahahaaa sasa sio Foreplan clinic tena bali ni kampuni ya foreplan. Hivyo bado foreplan kampuni ipo kama kawaida.

Nimesikia tangazo lake radio magic fm

Nimepita pale leo nikakuta bango limeandikwa "Foreplan Company (T) Limited" kama kumbukumbu zangu ziko sahihi...
 
Back
Top Bottom