Dk. Mwaka afungua kampuni, ni ya vifaa vya afya, urembo na usafi

Chezea JJ Mwaka wewe, sasa anasambaza vifaa vya afya, urembo na usafi.

Hahahahaaa sasa sio Foreplan clinic tena bali ni kampuni ya foreplan. Hivyo bado foreplan kampuni ipo kama kawaida.

Nimesikia tangazo lake radio magic fm

Bado nina mashaka na huyu mtu...inabidi achunguzwe tena kwani sidhani kama hizo dawa anazosambaza ni nzuri. Huyu mtu ni jipu haswa.
 
TFDA Bongo? Si kuliuzwa ARV feki hapa kinababa wakaota nyonyo ndani ya nyumba sokomoko toddlers hawajui nani mom nani dad?

Pita kule kwa kina Diamond swaiba wenu, maduka ya kuuza dawa za ushirikina yamejazana kibao, sijasikia wakikaguliwa wale. Ubani , sanda, maji maiti, kanzu nyekundu, ubani dhukra, ubani mashtakah, marash muje, yai viza, nazi mbovu, huko wala hamuwachongei TFDA, mgoomvi wenu Dk Juma tu kisa anapiga hela...acheni wivu wa kike!

Vipodozi si ndio vimefanya wengine mmeoana?
Wewe kweli mtoka pabaya,
Hizo combination hatari umezijulia wapi?
 
TFDA Bongo? Si kuliuzwa ARV feki hapa kinababa wakaota nyonyo ndani ya nyumba sokomoko toddlers hawajui nani mom nani dad?

Pita kule kwa kina Diamond swaiba wenu, maduka ya kuuza dawa za ushirikina yamejazana kibao, sijasikia wakikaguliwa wale. Ubani , sanda, maji maiti, kanzu nyekundu, ubani dhukra, ubani mashtakah, marash muje, yai viza, nazi mbovu, huko wala hamuwachongei TFDA, mgoomvi wenu Dk Juma tu kisa anapiga hela...acheni wivu wa kike!

Vipodozi si ndio vimefanya wengine mmeoana?
unanikumbuka mwenye kit wa chama kitukufu dar
 
Asitake kushindana serikali hatafanikiwa kamwe, angetulia Kwanza asome upepo hata kama ana jeuri fulani.!
 
Hii reaction yake sidhani kama inatija sana. Hili linatupa picha kuwa ni kweli kulikuwa na tatizo.kubwa na ndio maana amekubaliana na hali hiyo. Kama alikuwa sahihi na pengine ni.ishu za matangazo ila huduma ni bora kwanini abadilishe biashara tena ndani ya muda mfupi namna hiyo?
 
duuh huyu jamaa ni mbishi na nimpambanaji kweli sio mtu wa kulia lia. mahatma gandhi aliwahi sema

'mta nifunga mta nipa mateso ya kila namna hata kuharibu mwili huu lakini kamwe hamuwezi kuyafunga wala kuyazuia mawazo yangu'

kila la kheri mwaka
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom