Dk. Mwaka afungua kampuni, ni ya vifaa vya afya, urembo na usafi

Huyu ndio mfano halisi wa mtu mpambanaji, angekuwa mtu mwingine angekaa ndani mwezi mzima anaugulia maumivu, ila yeye kasonga mbele, kama hivyo vitu anavyouza havina tatizo namuunga mkono na namtakia kila la kheri!
 
Hii reaction yake sidhani kama inatija sana. Hili linatupa picha kuwa ni kweli kulikuwa na tatizo.kubwa na ndio maana amekubaliana na hali hiyo. Kama alikuwa sahihi na pengine ni.ishu za matangazo ila huduma ni bora kwanini abadilishe biashara tena ndani ya muda mfupi namna hiyo?
Itakuwa alishajiandaa mda mrefu, maana serikali ilianza kumfatiliia toka mwanzoni mwa mwaka huu
 
Hii reaction yake sidhani kama inatija sana. Hili linatupa picha kuwa ni kweli kulikuwa na tatizo.kubwa na ndio maana amekubaliana na hali hiyo. Kama alikuwa sahihi na pengine ni.ishu za matangazo ila huduma ni bora kwanini abadilishe biashara tena ndani ya muda mfupi namna hiyo?
Mkuu kuna shida kati ya mwaka na kigwa
Alikua anamtafuta sana kaja kumpatia kwenye matangazo redioni na kwenye tv
 
Jilas pipo neva win. Wee kaa Lumumba piga dili za buku 2 mwenzio Mwaka huyoooo anazidi kupiga hela...mmemzuia asiwape uzazi, sasa anawapa urembo.

Shikamoo Dk Mwaka!
Uzazi?? Alikuwa mchungulia nyuchi za akina mama.... Kwanza anashule gani?? Udakitari ni taaluma mtu lazima ukae class... Mbona hakuna ma engineer wa kienyeji?? Mnafanyia maigizo afya zetu ....?? Nchi hii kweli
 
Hii reaction yake sidhani kama inatija sana. Hili linatupa picha kuwa ni kweli kulikuwa na tatizo.kubwa na ndio maana amekubaliana na hali hiyo. Kama alikuwa sahihi na pengine ni.ishu za matangazo ila huduma ni bora kwanini abadilishe biashara tena ndani ya muda mfupi namna hiyo?
"Kitanda usichokilalia huwezi kujua kunguni wake"
 
Chezea JJ Mwaka wewe, sasa anasambaza vifaa vya afya, urembo na usafi.

Hahahahaaa sasa sio Foreplan clinic tena bali ni kampuni ya foreplan. Hivyo bado foreplan kampuni ipo kama kawaida.

Nimesikia tangazo lake radio magic fm

Vyombo vya serikali vinatakiwa kuangalia jambo hili kwa makini. Kama kweli huduma alizokuwa anatoa huyu jamaa kupitia clinic ya fore- plan zimethibitika kuwa na mapungufu na akafungiwa, halafu anafungua kampuni baada ya siku moja basi serikali inachezewa
 
Hivyo ulitaka abaki nyumbani analialia njaa?
 
Km VP ahame nchi kwani lzm bongo anaweza kufanya kazi vzr sn hapa bongo watu ni jealous sn.
 
Huo ni ubunifu wa kibiashara anastahili pongezi
Haaa Huyu Jamaa Anajua Sana Kusoma Nyakati
Yaani Hadi Hapo Tayari Serikali Inabidi Ianze Upya
Mchakato Hadi Ije Kumfungia Tena
Ila Anastahiri Pongezi Maana
Ni Janjajanja Primary School
Imefaulisha Wanafunzi Wote Japo Hawajui Kusoma Na Kuandika.

Serikali Ifanye Bila Hasira
 
Back
Top Bottom