Disturbing photos from the 'Gongo la Mboto' blasts

Inauma sana. Halafu hamna kiongozi ambaye anaonekana kushtushwa na mkasa huu.
 
Mkuu CPU thanx for more PICs, Very Sad indeed mtu unakua mtumwa kwenye nchi yako? Inauma sana asee
 
we jeykeywaukweli, you must be having some mental problems, ndo mana hat JK mwenyewe ameshindwa kuonyesha angalau sura ya MAJONZI badala yake akatabasamu wakti watanzania wanaomboleza vifo vya wapendwa wao na upotevu wa mali zao! UJUI KOSA NI LA NANI????:A S 13:. JUHUDI CAMP(G/MBOTO) ILILIPUKA 2005, IKAJA MBAGALA, WEZI WENZIO WAKAHAIDI "HAITATOKEA TENA"...UJAONA TU HAYO YOTE HAWAKUPASWA KUCHUKUA TAHADHARI YOYOTE?? KA VIONGOZI WAKO PALE KWA MASLAHI YA WANANCHI HATA MCHEZA MDUNDIKO ANAPASWA KUSEPA! lakini pengine usemayo ni kweli make WAKO PALE KUJAZA MATUMBO YAO! GOOOOOOOOOOOOSH!:blah::blah::blah:
 
Mkuu nchi yetu haina kitu kinachoitwa uwajibikaji. Nina uhakika kwenye hili hakuna atakayewajibika, na atakayewajibishwa.

Haiingii akili hata kidogo kutuambia kuwa walifanya ukaguzi siku 3 zilizopita na kuona kuwa kuko salama.

Ni bira wasichukuliane hatua lakini watuambie ukweli wa tukio lenyewe, otherwise tutajua wenyewe.
Mkuu kuwajibika kupo kama Kiongozi wa nchi anakua serious katika issue muhimu....!!
Lowasa alijiuzuli si kwa kupenda ila tu kwa sababu Mkwere alitaka iwe ivyo..!!
 
Waziri wa Ulinzi!!! Ulinzi gani huu wa kulipuana na mabomu? Akiendelea kuwepo atafanya kazi gani sijui! nchi hii kwakweli heri yenu mliopo nje bora hata msirudi!
 
Waziri wa Ulinzi!!! Ulinzi gani huu wa kulipuana na mabomu? Akiendelea kuwepo atafanya kazi gani sijui! nchi hii kwakweli heri yenu mliopo nje bora hata msirudi!

Ulinzi kwa viongozi wakuu wa nchi tu
 
Kuhusu hiyo picha ya mwisho ambayo Presidaa anamlisha mtoto......

_51307977_kikwete_ap.jpg


Niliona hii incidence live kwenye TV, MTOTO HUYU ALIPOLISHWA uji na JK alikataa katakata kuunywa... sijui huwa watoto wanahisi nini:mad:...

Nadhani kuna hali ya instinct mtoto anaipata anapoona mtu ambaye si mzuri kwake!


Kwa walioona watanisaidia kutafsiri ile hali!
Nikweli PJ, hata mimi niliiona Channel Ten niliipenda sana
 
Kosa la nani kwanini Mwinyi?

Whoever!!!! But I understand and believe... this will never go unpunished!!!! One day... Soon or later...... the culprits will be brought to justice!!! I strongly believe that!!!!.... So go on... make funny out of that calamity.... lakini ukumbuke hiyo itakuja tu!!!! Kama si katika ulimwengu huu... basi ule ujao!!.....
 
dah, wanandugu na watanzania wote poleni sana. Huyo huenda ni mzazi/mke/dada/shemeji/rafiki au mtegemewa wa watu.
Kifo kibaya sana maskini kilichompata. Mw'Mungu ampe mapumziko mema, Akiendelea kutunusuru na majanga haya.

Kama ilivuokuwa kambini mbagala, lazima kutakuwa kuna kauzembe kambini Gongo la Mboto. Hali hii ikiachiwa, next patalipuka hata pale Magogoni... kuna kambi ya jeshi vile vile na Tipper pale.

inawezekana mwenye huo mkono hajafa kwani jana walionyesha mmama yuko muhimbili mkono wake ulikatika
 
jamani jamani jamani jamani!!!!!!

Sielewi huyo Dr. Mwinyi anaishi nchi gani. Huwezi kuona hali hii halafu unasema kuwa huna mpango wa kuachia madaraka. Watanzania hatuwezi kukubali uzembe wa namna hii. Wasipowajibika basi wananchi hatuna budi kuwawajibisha. Huo uwezo tunao ila ila tunaghilibiwa na tabia ya mazoea. Huwezi kuzoea hali hii, watu wanapoteza maisha yao kwa sababu ya uzembe ya baadhi ya watu fulani.

It's time for Mwinyi, Mwamunyange kuwajibika. Watanzania wenzangu, poleni kwa haya majanga yanayoweza kuzuilika.
 
Sielewi huyo Dr. Mwinyi anaishi nchi gani. Huwezi kuona hali hii halafu unasema kuwa huna mpango wa kuachia madaraka. Watanzania hatuwezi kukubali uzembe wa namna hii. Wasipowajibika basi wananchi hatuna budi kuwawajibisha. Huo uwezo tunao ila ila tunaghilibiwa na tabia ya mazoea. Huwezi kuzoea hali hii, watu wanapoteza maisha yao kwa sababu ya uzembe ya baadhi ya watu fulani.

It's time for Mwinyi, Mwamunyange kuwajibika. Watanzania wenzangu, poleni kwa haya majanga yanayoweza kuzuilika.
Watanzania sisi ni waoga kuchukua maamzi, Dr Mwinyi kusema hana mpago wa kuachia madaraka siyo ticket ya kumfanya aendelee kuwepo pale na mtu kama mwinyi kumgoa nikazi ya saa tu kama watu wakiamua....Mubarak pia alisema haondokie lakini kaondoa atakuwa mbwa mdogo kama yeye....
 
Kosa la nani kwanini Mwinyi?

I can't believe you said so. I guess na wewe ni mmoja wao.
Dr. Mwinyi aliwahi kutoa kauli ya kuwa atawajibika kama kitu kama hicho kitatokea tena. Yeye na viongozi wenzake katika wizara yake hakika hawakujifunza kile kilichotokea kule Mbagala.

Na hata kama hasingetoa kauli hiyo, bado anawajibu wa kuwajibika kwa kushindwa kutatua tatizo hilo ambalo liliwahi kutokea na ku-claim maisha ya watanzania wasio na hatia.

NI WAKATI WA KUWAJIBIKA na KUACHA POROJO.
 
...gongo la mboto imo kwenye radius ndege zinapo descend au kuruka. Imagine tukio hili lingetokea wakati ndege ya abiria au kiongozi ingekuwa inapita eneo hilo...hadithi ingekuwa nyingine saa hii..
 
Waziri awajibike tu kwa manufaa ya umma. Aige mfano wa baba'ke enzi zile waziri wa mambo ya ndani na mauaji ya shinyanga. There's always a second chance Dr. Mwinyi...historia itakuhukumu.
 
Eti wameamua kuwa watgharamia mazishi na matibabu kwa wahanga then watawapa unbani familia zilizofiwa!!
So sad kucheza na maisha ya watu then unakuja na majibu mepesi hivi...!!

Tusidanganywe na ubani au kifuta machozi, Waathirika wote wafungue kesi dhidi ya serikali kudai fidia kamili. Masikitiko ni kuwa hiyo bado ni kodi yetu lakini ndiyo namna ya kuitia adabu serikali ya wazembe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom