Mkuu mimi sioni tatizo aingie mpagani nafasi hii ama Mwislamu hata Mkristo, nia ni HUYU jamaa aondoke. Enough is enough, vinginevyo watalazimisha tufike wasikotarajia twende. Wanatutafuta ubaya ambao hatustahili kuonekana nao.
If the president has got balls, he will immediately ACT!
Sijui kama inaweza fanyika TanzaniaAnother reason to DEMAND the MoD Dr. Hussein Mwinyi resign or FIRED immediately!
Otherwise....
Nimekuwa najiuliza maswali mengi sana lakini sipati majibu, napata kizunguzungu then wakati mwingine natokwa na machozi tangia watu walivyouwawa Arusha mpaka leo, saa zingine napata hasira nyingi sana labda tusaidiane haya maswali ndugu ndugu za tuyatafutie majibu kwa pamoja:-
- Hivi inawezekana vipi nchni maskini kama hii kiongozi wake badala ya kununua madawa ya kuuwa magugu na mbolea kwa ajili ya Wakulima ana nunua madawa ya kumwagia wananchni ili wawashwe, nimejuliza sana kama haya ni matumizi sahihi ya fedha na kama kweli kiongozi wa namna hiyo siyo dictator na Mnyama kuanzia kwenye akili yake hadi matendo?
- Nimekuwa nashangaa sana kwanini Watu kama UWT na Polisi bado wanaweza kumlinda mtu kama EL na kumwona RA anakatiza lakini wao hawapati hasira kama mimi, najiuliza kama kweli hayo majeshi yanauzalendo wowote sipati jibu, Uwa najiuliza hivi kweli hata akija mtu kutoka nje ya nchni akawaonga hawa jamaa kwaajili ya kututawala kama watakuwa na uthubutu wa kupinga au kutetea nchni maana tulikofikia ni nusu utumwa.
- Nimekuwa najiuliza inakuwavipi katika majeshi yote ya JWTZ, UWT, Polisi na nk hakuna Watanzania Wazalendo au huko wanafundishwa elimu gani? sijajua kwanini hawa watu hawaoni kama Tanzania inadhulumiwa na Wachache au hayo majeshi hayana wasomi wa kutosha kuamsha mijadala?
- Nimejiuliza mara nyingi sana kwanini Jeshi litunze silaha kali kama hizi Mbagala na Gongolamboto kwenye ghala kama wafanyabiashara wa silaha lakini sipati jibu, nimejisemea kwanini yasikae ngelengele kule polini lakini pia sijajua?
- Nimejiuliza kama Jeshi linatumika kuuwa raia makusudi au ni ukosefu wa elimu sahihi ya kunza silaha lakini pia sijajua, Nimetafuta kila kona kupekua kama kulipuka kwa silaha ghalani ni kitu cha kawaida lakini sijapata! nimejiuliza kama Askali wetu wana elimu yakutosha juu ya utunzaji wa silaha au la! lakini pia sina jibu.
- Nimejiuliza inakuwaje mtu anag'ang'ania kazi za kiasa wakati hawezi, nashangaa ni kwanini mtu uzembe wake unauwa raia kiasi hiki lakini haonyeshi uzuni hata kidogo! Nimeshangaa kwanini hatukujifunza na yaliyotokea Mbagala lakini pia sijajua
- Nimeshangaa pia kwanini Kikwete alipokuwa Kikosini akipewa taarifa na Mkuu wa kikosi alikuwa hataki kupigwa picha?
Maswali ni mengi haya mauwaji yanauzunisha sana, tuwaombee marehemu wetu, tuombe mungu atupe hekima na ujasiri wa kupambana na hawa wanyonyaji wanaotutawala kimabavu, Kwa mtu Mstaharabu haitaji kuambia jiuzuru, Tayari Mwamunyange na Mwinyi wameonyesha kukosa Ustaharabu mpaka sasa, Tanzania tumerudi nyuma siku za miaka ya 1800 tunahitaji wakina Mkwawa wengine, wako wapi wapigania uhuru zaidi? iwapi maji maji rebellion ya leo?, Mungu tusaidie bado hatujapata uhuru kamili.
Another reason to DEMAND the MoD Dr. Hussein Mwinyi resign or FIRED immediately!
Otherwise....
Hivi kwanini JK huwa anacheka cheka tuuu kama TAAHIRA kila mahali anapokwenda?
Iwe kwenye majonzi, huzuni, furaha, raha etc - yeye pozi lake ni kucheka cheka. Inakera sana
Ndani ya miaka mitatu tatizo lile lile linajirudia - waziri yule yule, mkuu wa majeshi yule yule (?) ila mkuu wa kaya anacheka cheka tu. Baraza la mawaziri halina meno ya kumlazimisha huyu checkbob kuchukua maamuzi sahihi? (haya si maamuzi magumu).
Uzembe uliopindukia sisi tunaita bahati mbaya au ajari. WTF!
jamani jamani jamani jamani!!!!!!
Umesoma kichwa cha thread hii Ama umekurupuka tu?Tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Lazima kuheshimu binadamu, hata kama ni marehemu. It is against civilized standards to place pictures of dead people and/or human parts on newspapers or on the internet.
Naomba sana picha ya kwanza iondolewe. Kuiweka hapa ni kuwavunjia heshima marehemu na ndugu zake.
Tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Lazima kuheshimu binadamu, hata kama ni marehemu. It is against civilized standards to place pictures of dead people and/or human parts on newspapers or on the internet.
Naomba sana picha ya kwanza iondolewe. Kuiweka hapa ni kuwavunjia heshima marehemu na ndugu zake.
It appears many people seem to to be blind of the real cause of all these....the underlying cause is nothing but the institutionalised corruption masterminded by a bunch of greedy politicians known even by kindergatten kids, ganged up by hopeless but selfish CCM stalwarts and their hench men placed in sensitive position in the government circles....with one mission at hand...TO MAKE THE STATE to become both UN - GOVERNABLE and un-popular!!! HOPING that come 2015..the presidency shall be theirs. Thus it may be logical to conclude that exposing these perpetrators and to deal with them accordingly is one of the formidable solution of our current problem!! thats my take!