The East African na ajenda chafu dhidi ya Tanzania

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,931
31,176
Eight people were wounded, one seriously, in a bomb blast in a restaurant late Monday in the northern Tanzanian town of Arusha, police said Tuesday.

"No one died but eight people were wounded, one is in a serious condition," top Tanzanian police officer Issaya Mngulu told AFP.

"It was an improvised explosive device thrown through a window."

The attack took place at an upmarket Indian restaurant popular with foreigners and wealthy Tanzanians in the centre of town.

It was not clear if any of those wounded were foreigners.

The floor of the restaurant was covered in blood, with overturned chairs amid broken glass, an AFP reporter said.

No one has claimed responsibility, but two people have arrested following the attack, Mngulu said, saying both were Tanzanians but giving no further details.

Arusha is a key town for Tanzania's tourist industry, a major source of foreign currency for the eastern African country.

Visitors come to the city before travelling onwards to the iconic snowcapped peak of Mount Kilimanjaro, Africa's highest mountain, as well as to the Serengeti national park, famed for its great migration of wildebeest, one of nature's most spectacular wonders.

The attack is the latest blast in Arusha.

Three people were killed and 60 wounded in June 2013 in Arusha when a grenade was hurled into a political rally by an opposition party.

A month before, attackers wounded 30 when an improvised bomb exploded in a Catholic church in Arusha.

My take,

Kweli nimeamini Kenya na vyombo vyake vya habari vina ajenda mbaya na Tanzania.Kenya imetokea milipuko ya kutisha Kenya lakini The east african hawakuwahi kutoa habari na madhara yake lakini mlipuko wa Arusha tayari wameweka habari hiyo haraka sana bila shaka huu ni mkakati wa Kenya wa kuharibu soko la utalii Tanzania
 
Kwanza nianze na kuipongeza serekali ya Tanzania ingawa uamuzi wa kulifungia hili gazeti linalomilikiwa na Mungiki umechelewa sana.Gazeti la The East African limekuwa likitumika kutimiza ajenda chafu dhidi ya maslahi mapana ya Tanzania.Wakati naandika kuhusu ajenda chafu ilikuwa July 9 2014 nashukuru sana serekali ya Tanzania kwa kuchukua uamuzi huo unaowakilisha maslahi ya waTanzania wote.

Nakala: meningitis Kambalanick bagamoyo Askari Kanzu hbuyosh platozoom Geza Ulole msemakweli crabat baro @MK254 ...............................
 
Kwanza nianze na kuipongeza serekali ya Tanzania ingawa uamuzi wa kulifungia hili gazeti linalomilikiwa na Mungiki umechelewa sana.Gazeti la The East African limekuwa likitumika kutimiza ajenda chafu dhidi ya maslahi mapana ya Tanzania.Wakati naandika kuhusu ajenda chafu ilikuwa July 9 2014 nashukuru sana serekali ya Tanzania kwa kuchukua uamuzi huo unaowakilisha maslahi ya waTanzania wote.

Nakala: meningitis Kambalanick bagamoyo Askari Kanzu hbuyosh platozoom Geza Ulole msemakweli crabat baro ...............................
mimi huwa hawa-post chochote kinachowakosoa ndo maana huwa na print na kuleta makala humu ndani na maoni yangu! Waandishi wao wako wengi humu ndani kusoma ninachowakosoa! wapuuzi kwelikweli..Nasubiri kujua lini KQ itakuzuiwa kuja Tanzania maana wameizuia Fastjet kwenda Kenya! :msela:
 
unataka kutuaminisha kuwa serikali imechukuwa ushauri wako! na huyo mungiki ni nani? acha lugha ambazo zina mwelekeo wa chuki na ubaguzi.
 
Serekali imechukua ushauri wa waTanzania wengi mimi nikiwemo.Ikiwa wewe ni mTanzania basi bado una safari ndefu sana hili gazeti limekuwa na ajenda chafu dhidi ya Tanzania kwa muda mrefu sana na inafikia wakati unashangaa chuki waliyonayo dhidi ya taifa letu nitakupatia mifano michace labda unaweza kuelewa ni kwanini siku ya leo furaha yangu itakuwa kubwa kuliko siku nyingine.

Mosi The East African liliandika habari ya uchonganishi na Rwanda kwamba muda wa waasi wa FDLR wakujisalimisha na kuweka silaha chini umekwisha Tanzania na South Afrika hawataki kuwapiga.Ikumbukwe serekali ya Dar ilishaweka msimamo wake wazi wasingeweza kuwapiga FDLR kwasababu wamejichanganya na Raia iwapo wangewashambulia uwezekano wa kuwauwa raia wasiokuwa na hatia ungekuwa mkubwa.

Pili East African wakaja na habari nyingine ya kizushi eti Tanzania inakwamisha viza ya utalii ya pamoja EAC.Tanzania ilishatoa msimamo wake kwamba mapato yatokanayo na viza ya pamoja lazima yawekwe wazi (mgawanyo) ikumbukwe Tanzania inapokea watalii wengi kuliko ncho zote za EA hasa ikizingatiwa wingi wa vivutio vilivyopo Tanzania.Katika viza ya pamoja hilo halikuzingatiwa kabisa sasa iwapo Tanzania ingekubali kuingia kichwa kichwa ingeambulia hasara kubwa.Visa ya pamoja mpaka leo imedoda kabisa hakuna mtalii utamdanganya katika dunia ya leo kila wakifanya juhudi za kuiza wanaulizwa tukiinumua tunapanda lima Kilimanjaro,tutaiona Ngorongoro,tutaona Simba wanaopanda miti (wapo Manyara tu),wakulizwa tutaona Serengeti wanabaki wakikodoa macho hawana majibu watalii wanauliza sasa hiyo EAC viza bila hivyo vivituo ni kituko wakenya kuona hivyo wakakimbilia kuzuia magari ya Tanzania JKIA maana kila mtalii akishuka anakimbilia Tanzania Rwanda aende kufanya nini kuangalia mafuvu ya binadamu ! Ukweli mchungu Viza yao imedoda haina wateja hili gazeti la East African wanalikwepa wanakimbilia kuandika uongo.

Tatu gazeti hili limekuwa likiandika habari nyingi za Kenye huku likibeba jina la EA vibaya.Ikiwa 95% ya habari ni kuhusu Kenya basi libaki huko huko Kenya.

utetezi wako una mashiko swali la kujiuliza ni kwamba, kwanini gazeti lichapishwe kwa muda wote huo bila kisajiliwa?. pili si kweli kwamba kila kinacho andikwa na the east african kina negative attitide na gvt. tatu sababu ambazo gvt ime rely ni weak kuliko sababu ulizo ziainisha. kimantiki sababu ulizo sema zinaweza kuwa ndo sababu za kulifunga gazeti hilo la usajili ni changa la macho.
 
Mkuu David Thomas nakubalina na wewe suala la kusajiliwa ni hoja dhaifu sana haina mashiko bila shaka huo ni udhaifu wa serekali (watendaji) kuanzia awamu ya pili hadi hii awamu ya nne haiwezekani gazeti lisambazwe kwa muda wa miaka 20 bila kusajiliwa halafu leo unakurupuka na hoja hiyo nadhani huko ni kutukosea adabu waTanzania.

Mimi ni mfuatiliaji na msomaji mzuri wa TEA mara kadhaa nimekuwa nikishangaa jinsi linavyoandika habari zake linapokuja suala la Tanzania sijui ni kwanini hawakutaka kujifunza toka kwa ndugu zao wa Uganda East African Business Week wanaandika mambo ya maana sana bila kuingiza ushabiki wa kitaifa unaweza kutembelea web ujionee mwenyewe Home - East African Business Week Newspaper: The region’s leading business newspaper

Pili Yapo matukio makubwa yanayotokea katika nchi za EAC ambayo ungetegemea yangeandikwa au yangeripotiwa kwa usawa lakini kwa mshangao unashangaa jinsi yanavyochezewa chezwa hasa kama jambo lenyewe ni neema kwa upande wa Tanzania.Sikatai serekali kukosolewa la hasha ukitembelea mabandinko yangu utajiobnea mwenyewe.Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hii ni habari kubwa hasa ukanda huu TEA liliripoti ujenzi huu kwa ufinyu mkubwa hapo hapo wakatumbukiza habari ya ujenzi wa bandari ya Mombasa wakati habari ilihusu bandari ya Bagamoyo.

The East African ilikwepa kuzungumzia kipigo walichotoa TPDF huko Congo DRC kwa M23 kwakuwa serekali ya Kigali haikupendezwa na uwepo wa majeshi ya Tanzania Congo ambako kulikuwa kunazuia uporaji wa madini kulikokuwa kukifanywa na serekali ya Kagame.Utashangaa gazeti hilo hilo liko mstari wa mbele kushinikiza TPDF waichape FDLR pamoja na serekali ya Tanzania kutoa sababu zinazopelekea kuchelewa kuanza kwa zoezi la kuwachapa FDLR.Hapa TEA wanachofanya ni kuifuraisha serekali ya Kigali sasa wewe kama mTanzania ni lazima uone na kukemea ujinga wa TEA.Ifahamike TPDF haiwezi kuanza operation dhidi ta FDLR bila serekali ya Kabila kutia saini hilo TEA hawalisemi kabisa tena hawataki wasomaji wake wafahamu ukweli huu.

utetezi wako una mashiko swali la kujiuliza ni kwamba, kwanini gazeti lichapishwe kwa muda wote huo bila kisajiliwa?. pili si kweli kwamba kila kinacho andikwa na the east african kina negative attitide na gvt. tatu sababu ambazo gvt ime rely ni weak kuliko sababu ulizo ziainisha. kimantiki sababu ulizo sema zinaweza kuwa ndo sababu za kulifunga gazeti hilo la usajili ni changa la macho.
 
Last edited by a moderator:
Ukiifuatilia TEA katika mgogoro wa serekali ya Kenya kuzuia magari ya waTanzania JKIA utashangaa jinsi walivyo hovyo.Tanzania na Kenya wana mkataba unaozuia magari kubeba watalii kuingia katika mbuga za wanyama katika nchi jirani.Wageni wakiingia Tanzania watapelekwa katika mbuga za wanyama na magari ya waTanzania vivyo hivyo kwa Kenya.

Serekali ya Kenya kwa maksudi ikazuia magari ya waTanzania kubeba watalii uwanja wa ndege wa JKIA.Sasa jiulize tangu lini uwanja wa ndege umekuwa mbuga ya wanyama ?.utashangaa zaidi TEA ilishindwa kuandika hili kwa ufasaha utadhani jambo lenyewe gumu sana kueleweka !Ingekuwa ni Tanzania imezuia magari ya Kenya Kilimanjaro International Airport ungeshangaa kichwa cha habari TEA.
 
Back
Top Bottom