Disturbing photos from the 'Gongo la Mboto' blasts

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Tumepoteza mali, makazi, wapendwa wetu na wengine tumekuwa na vilema vya maisha. Jana umekuja na mizaha yako badala ya kutafuta suluhisho unauza meno yako. Hizi ni picha zitakazo dumu kwenye kumbu kumbu zetu daima. Huyo dada amekufa vibaya sana. Mwili wake ulitawanywa na mabomu. Ukutani ni moyo wake na mkono na viatu vimetawanyika. Nyama zake zimesambaa kila mahali sakafuni.

Kusaidia Kuzika na rambi rambi hazitotufanya tusahau machungu haya. Acha mizaha adabisha wazembe

Nakulilia Tanzania.

Gongo1.jpg

Gongo2.jpg

_51307856_munition_ap.jpg

_51307454_bus_ap.jpg

Debris and arms were hurled across the Tanzanian of city of Dar es Salaam on Wednesday night after an accident triggered a series of explosions at Gongola Mboto military base.
_51310264_lostchildren_ap.jpg
Tanzania's Red Cross says about 200 children who lost their parents during the confusion of the blasts are being cared for at the city's stadium.
_51307928_smoke_ap.jpg

_51312030_cherehani.jpg

attachment.php

_51307977_kikwete_ap.jpg

Tanzanian President Jakaya Kikwete has visited survivors at Amana hospital in the city.
 
dah, wanandugu na watanzania wote poleni sana. Huyo huenda ni mzazi/mke/dada/shemeji/rafiki au mtegemewa wa watu.
Kifo kibaya sana maskini kilichompata. Mw'Mungu ampe mapumziko mema, Akiendelea kutunusuru na majanga haya.

Kama ilivuokuwa kambini mbagala, lazima kutakuwa kuna kauzembe kambini Gongo la Mboto. Hali hii ikiachiwa, next patalipuka hata pale Magogoni... kuna kambi ya jeshi vile vile na Tipper pale.
 
Huo mkono apelekewe Mwinyi na Mwamunyange wakachemshe supu wanywe, wauaji wakubwa
 
Inatia simamzi inasikitisha mpendwa wako kufa katika hali hiyo bila hatia,
Mungu ampuzishe mahala pema, Amen

Kibaya viongozi wetu wanachekacheka tu, siku inakuja watalia na kusaga meno kwa usaliti wanaoufanya kwetu.
 
Another reason to DEMAND the MoD Dr. Hussein Mwinyi resign or FIRED immediately!

Otherwise....
 
I strongly need and support whoever demanding resignation of General Mwamnyange and Hussein Mwinyi. If they cannot resign the President should fire them, otherwise, we the people should force the President to FIRE THEM IMMEDIATELY
 
And what IF the Pres. Kikwete does nothing?
 
I strongly need and support whoever demanding resignation of General Mwamnyange and Hussein Mwinyi. If they cannot resign the President should fire them, otherwise, we the people should force the President to FIRE THEM IMMEDIATELY

My dearest,

I am afraid resignation is a new vocabulary when accountability is concerned in our culture.
 
kwa hili tukio, inasikitisha kumuona kiongozi wa kaya haonyeshi hata chembe ya uchungu kwa yaliyotokea zaidi ya kuahidi msaada wa mazishi. Hivi nani alikuambia kuzika ni kazi ngumu. Katika hili H Mwinyi asipo resign atakuwa ana roho ngumu sana. Poleni sana wafiwa
 
Itafikia mahala wachovu tuanze kuhoji kwa nini LUGALO hapalipuki?siwatakii kifo wana msasani ila kwa kuwa huko ni nyumbani kwa vigogo ingefaa siku mmoja na wo waonje ladha ya mbagala na gongolamboto. Nadhani siku hiyo Mwinyi na Mwamunyange+Shimbo WANGEIKIMBIA NCHI.

Kikilia LUGALO kielekee Msasani nadhani hata Katiba ingeandikwa haraka ili kuondoa watendaji wabovu waosingizia hizi ni ishu za jeshi so hazina maeleko
 
Tumepoteza mali, makazi, wapendwa wetu na wengine tumekuwa na vilema vya maisha. Jana umekuja na mizaha yako badala ya kutafuta suluhisho unauza meno yako. Hizi ni picha zitakazo dumu kwenye kumbu kumbu zetu daima. Huyo dada amekufa vibaya sana. Mwili wake ulitawanywa na mabomu. Ukutani ni moyo wake na mkono na viatu vimetawanyika. Nyama zake zimesambaa kila mahali sakafuni.

Kusaidia Kuzika na rambi rambi hazitotufanya tusahau machungu haya. Acha mizaha adabisha wazembe

Nakulilia Tanzania.

Gongo1.jpg

Gongo2.jpg

jamani jamani jamani jamani!!!!!!
 
Another reason why I did not vote for CCM in last General Election.

Too bad to be true.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom