Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 831
Kauli za kina makamba utazijua tu.........!!ccm inahusika vipi hapo....?
Kauli za kina makamba utazijua tu.........!!ccm inahusika vipi hapo....?
It appears many people seem to to be blind of the real cause of all these....the underlying cause is nothing but the institutionalised corruption masterminded by a bunch of greedy politicians known even by kindergatten kids, ganged up by hopeless but selfish CCM stalwarts and their hench men placed in sensitive position in the government circles....with one mission at hand...TO MAKE THE STATE to become both UN - GOVERNABLE and un-popular!!! HOPING that come 2015..the presidency shall be theirs. Thus it may be logical to conclude that exposing these perpetrators and to deal with them accordingly is one of the formidable solution of our current problem!! thats my take!I strongly need and support whoever demanding resignation of General Mwamnyange and Hussein Mwinyi. If they cannot resign the President should fire them, otherwise, we the people should force the President to FIRE THEM IMMEDIATELY
This is too costly to look at!...
Nawalaani sana wanaoendelea kukalia nafasi zao wakati idara zao zimethibitika kufanya uzembe!
Kwanini lakini?
Sadly, no one will be held accountable, hata kwa kutuzuga tu!!!
Mkuu mimi sioni tatizo aingie mpagani nafasi hii ama Mwislamu hata Mkristo, nia ni HUYU jamaa aondoke. Enough is enough, vinginevyo watalazimisha tufike wasikotarajia twende. Wanatutafuta ubaya ambao hatustahili kuonekana nao.
If the president has got balls, he will immediately ACT!
Mkuu mimi sioni tatizo aingie mpagani nafasi hii ama Mwislamu hata Mkristo, nia ni HUYU jamaa aondoke. Enough is enough, vinginevyo watalazimisha tufike wasikotarajia twende. Wanatutafuta ubaya ambao hatustahili kuonekana nao.
If the president has got balls, he will immediately ACT!
Hommie Serikali hii ya huyu Sharobaro lolote zuri watalihusisha na CCM na kusema lilikuwa kwenye ilani yao likitokea jambo baya wanaruka mita mia wanakwambia hapo CCM inahusika vipi nyambafff zao!!!!!Kauli za kina makamba utazijua tu.........!!
The Following User Says Thank You to Domhome For This Useful Post:Mkuu PJ,
Hapo kwenye Red, tatizo siyo wao tatizo ni yule aliyewateua kuongoza idara hizo. Kumbuka Mwl Nyerere kwenye kitabu chake cha "Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania" alisema hivi..... nanukuu "..na iwapo Waziri Mkuu (JSM) atakataa kujiuzuru nafasi yake hiyo ya Uwazi Mkuu, tatizo halitakuwa yeye bali yule aliyemteua yaani Rais (AHM)." Mwisho wa kunukuu. Hata hapa kwa tukio hili la Gongo la Mboto, tatizo halitakuwa kwa Waziri wa Ulinzi na Mkuu wake wa Majeshi bali kwa Rais aliyewateua.
Mkuu PJ, kwajinsi navyomfahamu mkuu wa kaya hii (JK), hana ubavu wa kumfukuza kazi mtu achilia mbali Waziri kwenye serikali yake bali hata Mkuu wa Wilaya tu.
Pengine hatimizi wajibu wake kwenye mambo ya msingi kwasababu labda haya yanayofanyika sasa ni MAKAFARA, na yanamtaka awekimya!!
Iko siku historia itamhukumu...
And what IF the Pres. Kikwete does nothing?
Mi mijitu inayocheza na maisha ya watu sijui naionaje.....nnahasira sana mpaka nataka kupasua hii laptop!! They are Very CRAPHommie Serikali hii ya huyu Sharobaro lolote zuri watalihusisha na CCM na kusema lilikuwa kwenye ilani yao likitokea jambo baya wanaruka mita mia wanakwambia hapo CCM inahusika vipi nyambafff zao!!!!!
Hawezi ku-ACT. Hana sababu ya kufanya hivyo. Anamalizia miaka yake mitano kiulaini kabisa. Hatagombea. Hii ni sababu nyingine nzuri ya kuendelea kuichukia zaidi CCM na serikali yakeMkuu mimi sioni tatizo aingie mpagani nafasi hii ama Mwislamu hata Mkristo, nia ni HUYU jamaa aondoke. Enough is enough, vinginevyo watalazimisha tufike wasikotarajia twende. Wanatutafuta ubaya ambao hatustahili kuonekana nao.
If the president has got balls, he will immediately ACT!
Another reason to DEMAND the MoD Dr. Hussein Mwinyi resign or FIRED immediately!
Otherwise....