Disturbing photos from the 'Gongo la Mboto' blasts

Hivi kwanini JK huwa anacheka cheka tuuu kama TAAHIRA kila mahali anapokwenda?

Iwe kwenye majonzi, huzuni, furaha, raha etc - yeye pozi lake ni kucheka cheka. Inakera sana

Ndani ya miaka mitatu tatizo lile lile linajirudia - waziri yule yule, mkuu wa majeshi yule yule (?) ila mkuu wa kaya anacheka cheka tu. Baraza la mawaziri halina meno ya kumlazimisha huyu checkbob kuchukua maamuzi sahihi? (haya si maamuzi magumu).

Uzembe uliopindukia sisi tunaita bahati mbaya au ajari. WTF!
 
What you are seeing on JK's face is not a smile, it is a snarl!

And I think you know what a snarl is all about, especially coming from someone with military background like him!!!!
 
WANANCHI HATUKO SALAMA TENA NA MALI ZETU, KIIO KILA LEO NA MAYATIMA
KUONGEZEKA HIVYO SERIKALI NZIMA IJIUZULU HATA KABLA YA MAANDAMANO
YA KUTETEA 'UHAI WA WENZETU' KUANZA KOTE NCHINI

Mheshimiwa Kikwete kama amiri jeshi mkuu ajiuzulu pamoja na serikali yake. Jukumu la msingi halijazingatiwa; wananchi hatuko salama!! Tusianze kuzungusha kiswahili hapa ni uhai umepotea kwa uzembe!!! Hawa mayatima wanahitaji sauti zetu!!

Hatutaki tena tume kwa hata kule Mbagala chombo kama hicho hakikutusaidia zaidi ya kuwapa wanasiasa na makampuni ya kibiashara kujinadi kwenye kioo cha televisheni mgongoni mwa msiba na damu kwa wengine.

Jukumu la kwanza la kuhitajika uwepo wa serikali katikati yetu NI KUHAKIKISHA USALAMA KILA MMOJA WETU NA MALI ZETU. Kwa mtaji hizi picha nilizoona, serikali nzima ya CCM ijiuzulu mara moja

Mauaji Arusha walitupuuza kana kwamba kuliuaua nzi tu. Kule kwenye mashamba ya mpunga wala hawakujishughulisha kitu kuwajibika mtu. Sasa kama kweli kuna JAMBO AMBALO KIUKWELI KABISA KINATUHITAJI KUANDAMANA MPAKA KUELEWEKE NI KATIKA KUTETEA UHAI WA WENZETU.

Kwa vifo hivi vyote 17 taifa tumepata yatima wangapiii?????????????
 
Inasikitisha sana mungu amlaze pema huyu mama ,lazima viongozi wa jeshi waadhibiwe mwaka haujaisha tangia ya Mbagala tume zimeundwa hamna la maana lililofanyika
 
Mimi nampenda sana rais wetu, maana ni mpole na mnyenyekevu, mwepesi kusamehe, hamaindi vitu vidogo vidogo, hasilikizi majungu, yaani napenda ikiwezekana aendelee hata 2015, maana kwa mawazo yangu si rahisi kuja kupata kiongozi kama huyu tena. nasema hivyo kwa sababu angekuwa kiongozi mwingine mwenye roho mbaya angekuwa ameshawafukuza kazi watu kibao. lakini huyuy ni mtu wa watu
 
Hivi lile Baraza la Usalama la Taifa aliloita JK jana lina akina nani vile? Wameamua nini juu ya hili?

Hili Baraza wakati wa Mbagala liliamua na kufanya nini? Lichukue hatua za kuridhisha vinginevyo tutalibatiza kuwa Baraza la Uuaji la Taifa.
 
Dr. Wilbrod Slaa
Tunafuatilia kwa karibu matukio ya milipuko ya ghala za JWTZ huko Gongo la Mboto. Ni wazi kuwa licha ya madhara ya uharibifu wa mali kutakuwa na madhara katika maisha ya watu na makazi yao. Wakati huu si wa kutupiana lawama na shutuma bali ni wakati wa kuja pamoja kama Taifa kuhakikisha kuwa hali inatengemaa na maisha ya wananchi wetu yanarejeshwa katika utengemau mapema. Poleni wahanga wa GlM

...u, u mahesabu, you must stop that nonsense. Mmezoea kutuaminisha kuwa wavumilivu na watulivu wkt nchi inaenda siko. Kila uchao afadhali ya jana, n its getin to much for the heart n soul! Tumechoka na siasa, we need people's revolutionery power, now or never! Never, 4rever never ever!
 
I strongly need and support whoever demanding resignation of General Mwamnyange and Hussein Mwinyi. If they cannot resign the President should fire them, otherwise, we the people should force the President to FIRE THEM IMMEDIATELY

I CONCUR!!
wE MUST CONDEMN MWINYI AND MWAMUNYENGE WITH ALL POSSIBLE TERMS!! WALAANIWE!!!!!!
TAMKO LITOLEWE AND WE SHALL HOLD A DEMONSTRATION!!
 
I strongly need and support whoever demanding resignation of General Mwamnyange and Hussein Mwinyi. If they cannot resign the President should fire them, otherwise, we the people should force the President to FIRE THEM IMMEDIATELY

Yes indeed! They shoukd be fired. In fact even the president should as well consider his position.
 
'''''
,ikishindikana tuombe vita ya kirafiki na majirani zetu wanaojifanya kupendapenda vita,kama burundi,kongo DRC,Rwanda na wengine ambao tunaweza kupigana nao vita ya kirafiki kuliko yatulipukie wenyewe eti yamekaa sana,je vita ya kirafiki tuombe na nani?

Kwanini tuombe vita na watu wasio ha hatia wakati nyumbani kwetu tunamaadui wengi tunaoweza kuwalipua( i.e. Kikwete, Rostam, Lowassa, Chenge & Co). Badala ya kujifunza nchi nyingine zinahifadhi vipi mabomu yao, tunatoa majibu rahisi rahisi. Kweli Watanzania sijui nani ametuloga.
 
I strongly need and support whoever demanding resignation of General Mwamnyange and Hussein Mwinyi. If they cannot resign the President should fire them, otherwise, we the people should force the President to FIRE THEM IMMEDIATELY

That is not enough!! JK should also resign or be removed from power
 
Mungu wangu, nilipoziona picha hizi wakati wa matukio ITV nilipatwa na mstuko kiasi cha kujiuliza kwa muungwana anayeguswa na ubinadamu na ambaye yuko katika moja ya vyombo vinavyosimamia na kuratibu usalama wetu ni bora kupumzika na kuachia nafasi wengine nao waweze kuleta mabadiliko, ule utamaduni wa tumezoea kufanya hivi iwe ndio mwisho na tufanye mambo kwa misingi na taratibu zenye tija na ufahamu uliojaa weledi na ubunifu wa mbinu mbadala wa kiuongozi.
Mungu atujaze moyo wa kuhurumiana kwani leo kwake lakini kaa ukijua kesho itakuwa kwako.
Msiba huu ni janga la kitaifa bendera inastahiki kuwa nusu mlingoti.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom