Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,083
- 82,772
Bang£Hongera
Mpepe ni nini?
Bang£Hongera
Mpepe ni nini?
Watu wenye maumivu mala nyingi wanapambana mnoo kuyafichaMimi mpaka sasa huwa sijui nini hasa cha kusema au kufanya ninapomuona mtu mwenye maumivu, huwa nakaa tu pembeni na kusuburi kama atataka nimsaidie kitu fulani
Mjani aiseeBang£
Vipi maumivu yanayoonekana, kama vile jerahaWatu wenye maumivu mala nyingi wanapambana mnoo kuyaficha
Kuepuka kuonekana dhaifu
Ukitambua maumivu ya mtu bila ya hata yeye mwenyewe kukwambia
Huyo amefikia kikomo cha kufanya mpe bega lako aegemee
Unaweza hata kumpuliza 😜Vipi maumivu yanayoonekana, kama vile jeraha
ndio maana mna rest in hell mapemaMaumivu ni jambo la kike zaidi, wanaume tunahisi maumivu ila tunafundishwa kutokuyaonesha.
Mbona mnang'ang'ania sana, tunashindana kufa?ndio maana mna rest in hell mapema
nikimuangalia anavyo hangaika nahisi kabisa anasikia maumivu ila nini hasa cha kumwambia ili angalau ajisikie vizuri ndo changamotoUnaweza hata kumpuliza 😜
Au kuweka uso wa huzuni
Yaan kama vile na wewe una fill hizo hisia
Nilijua tu 🤣😀
Wewe ni mtu mzima unaweza kuhisi ukifanya kitu fulani atajisia vizuri kwa sababu unamjuanikimuangalia anavyo hangaika nahisi kabisa anasikia maumivu ila nini hasa cha kumwambia ili angalau ajisikie vizuri ndo changamoto
Utasema mambo ya platinum 😀Ulijua nini?
Mfano mmKusikiliza mziki
Kushirikisha mtu
Good choice
tunaambiana ukweli bwashe kuliko kugugumia ndani kwa ndani bora utafute mtu uteme nyongo hiyo mapema kabla haijageuka sumuMbona mnang'ang'ania sana, tunashindana kufa?
Nakazia hapa, indeed time is the true healer of all the woundsKitu pekee kinachoponya maumivu ya kihisia ni Muda
Jamani 😭Mfano mm
Niliwahi kufukuzwa kazi kisa kutofautiana kauli na boss wangu, na akaanza kunisambazia maneno ya uongo.
Nikahamia department nyingine lkn n hapo hapo kazini, Ila huko napo akaendelea kunisambazia maneno ya uongo zaidi, kiasi kwamba kwa sasa sina msaada wowote naoweza kupata.
Haya maumivu hayawezi kuniisha Hata iweje, hata nijipoze vp Siwez kurecover mana n sehemu ambayo ndio nilipategemea mno 😭
Ameniacha nna maumivu mno, kiasi kwamba sasa hv natangatanga pasipo uelekeo
Imagine hii ishu ilianzia 2024, Ila mpaka now 2026 jamaa bado ananitafuna.Jamani 😭
Hapo maumivu hayaponi kwa sababu hujapata mbadala kiufupi pengo halijazibika
Nani anajua huenda maumivu yako one day yatafika kikomo
Muhimu u mzima kila kitu kinawezekana
Pole Mbaga Jr
PoleImagine hii ishu ilianzia 2024, Ila mpaka now 2026 jamaa bado ananitafuna.
Huu mwaka hapo April ndo amekuja kuniua zaidi.
Hapa nilipo nipo kama fala mana cjui hatma ya maisha yangu.
Aisee, ukisikia mtu amejinyonga, n kwa sababu amekosa option na sio kwamba n mpumbavu.
Ni kweli lakini hapa unaweza ku share experience wengine tukajifunzaNadhani kila mtu hudeal na maumivu kwa namna yake na njia za kudeal na maumivu hutofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.