ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,398
- 45,778
- Thread starter
- #21
Uliacha pombe mwenyewe bila shinikizo?Mimi nina maumivu ya kuacha pombe 🍺🍻🍷
Nichukue hatua gani?
tuanzie hapa kwanza
Uliacha pombe mwenyewe bila shinikizo?Mimi nina maumivu ya kuacha pombe 🍺🍻🍷
Nichukue hatua gani?
Kusikiliza mzikiMaumivu kukata kwa siku hiyo hiyo haiwezekani ila unaweza kuyapunguza, mm hua nafanya kitu ambacho kitaniliwaza kwa wakati huo likes kusikiza mziki, kuongea na mtu khs hayo maumivu n.k
Nimeshinikizwa na mwenza wangu 🥹Uliacha pombe mwenyewe bila shinikizo?
tuanzie hapa kwanza
Maumivu sio mazuri, yanaleta magonjwa ya presha, kisukari, figo n.k muhimu upate utulivu wa nafsi.Sina maumivu ya wewe kuniponya
Yes pain is temporary sio mala zote lakiniPain is temporary, nibora upate maumivu lakini upone
subraKitu pekee kinachoponya maumivu ya kihisia ni Muda
Ndio maana umelazimishwa maski😢Nimeshinikizwa na mwenza wangu 🥹
OkkMaumivu kukata kwa siku hiyo hiyo haiwezekani ila unaweza kuyapunguza, mm hua nafanya kitu ambacho kitaniliwaza kwa wakati huo likes kusikiza mziki, kuongea na mtu khs hayo maumivu n.k
Sasa kama hujawahi kuona baba, wajomba na kaka zako wakionesha "maumivu" wewe utajifunza nini hapo?Ila wanaume hii ndio sababu pengine mna RIP mapema kwa kujidai mnajikaza
Kwanini maumivu ni jambo la kike ?
Nimekwambia nina maumivu ?Maumivu sio mazuri, yanaleta magonjwa ya presha, kisukari, figo n.k muhimu upate utulivu wa nafsi.
Maumivu ni hisia ya uchungu au usumbufu ambayo mwili, moyo au akili huipata pale kuna tatizo, jeraha, ugonjwa au emotional stress Sometimes pain is physical and sometimes it’s deep inside the heartMaumivu ni nini?
Maumivu ni hisia ya uchungu au usumbufu ambayo mwili, moyo au akili huipata pale kuna tatizo, jeraha, ugonjwa au emotional stress Sometimes pain is physical and sometimes it’s deep inside the heart
Kuna aina kuu mbili za maumivu
Maumivu ya mwili
Mf:
Kuungua
Kukatwa
Kuumwa kichwa
Kuumwa jino
Kuvunjika mfupa
Maumivu maumivu ya ndani
Mf:👇
Kuachwa na mtu unayempenda
Kufiwa
Kusalitiwa
Kukatishwa tamaa
Upweke
Kukosa kile ulichokuwa unakitamani
Au kua na matarajio makubwa na kitu&vitu na kisha viende kombo hupelekea hisia za maumivu
Unawezaje kukabiliana na hisia za maumivu ulitumia njia gani ?
Umewahi kumsaidia mtu mwenye mauvu fulani ulitumia njia gani?
Hua unajisikiaje ukiona mtu anapitia maumivu?
Umewahi kuumia kisha akatokea mtu akakuongezea maumivu?
Je umepona maumivu yako ?
Au umeamua kuishi nayo?
Nasaha yangu kama unajua huwezi kumponya,kumsaidia anaepitia maumivu basi ni bora zaidi kumuacha na maumivu yake ya kale usimzidishie ,usimuongezee maumivu zaidi
Karibuni😊😊
ShesRise_1 🖐
Sawa usioneshe ila ukiwa peke yako yatoe hadharani na uyazomee😎Sasa kama hujawahi kuona baba, wajomba na kaka zako wakionesha "maumivu" wewe utajifunza nini hapo?
Ukionesha maumivu unadharauliwa.
Dad☺️Nasaha yangu kama unajua huwezi kumponya,kumsaidia anaepitia maumivu basi ni bora zaidi kumuacha na maumivu yake ya kale usimzidishie ,usimuongezee maumivu zaidi🤔
Nilijua tu 🤣😀Platinum mada nzuri sana hii. 😁
Mtu mwenye maumivu ana subra? Au akilala akiamka maumivu yanapungua mpaka inapita siku wiki miezi mwaka anajikuta kapona muda mwingine mpaka kusahausubra
Pole daughterDad☺️
Kwanini Pole 🤔Pole daughter