mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,776
- 81,023
Nani akusikilize? Imeshawekwa kwamba mwanaume dhaifu anadharauliwa, kila mtu anaamini hivi.tunaambiana ukweli bwashe kuliko kugugumia ndani kwa ndani bora utafute mtu uteme nyongo hiyo mapema kabla haijageuka sumu
Mwanaume unatakiwa uweze kila kitu, ukilalamika hata kidogo utaambiwa "wewe ni mwanaume bwana..."
Na suala la kufa mapema ni asili halilazimishwi, kwa wanyama wengi madume hufa mapema.