Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,071
Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu.
Watanzania wa sasa wanataka kwanza Haki zao, Demokrasia ya kweli na katiba mpya bora zaidi, halafu mengine yoyote yafuate.
Watanzania wa sasa wanataka kwanza Haki zao, Demokrasia ya kweli na katiba mpya bora zaidi, halafu mengine yoyote yafuate.