Dio AMEFIWA NA BABA YAKE

Dio AMEFIWA NA BABA YAKE

Asanteni wote kwa kuwapamoja kwa wakati huu,na washukuru wanajf wote kwa salam za pole nasema asanteni sana,
namshukuru Mungu tumezika salama na kesho tunaanua tanga.
 
Duh... Pole sana Dio...Mungu akupe nguvu..Kumbuka tuko wengi tuliopoteza wazazi...RIP Mzazi..
 
Pole sana dua na sala zetu kwenu wote, R.I.P mzee
 
Baraka za mwenyezi kuzikutangulie mkazike salama na urudi salama. R.I.P.mlezi wa mwenzetu.
 
Pole sana Dio. Mungu aendelea kuwatia nguvu na kuwafariji wote. Poleni sana.
 
Pole dio
mungu akupe ngv
kipindi hiki kigumu
by the way naenda
kwenye misa ya mzee wangu alitutoka
zamaani sana about 23
)23 years ago
 
Back
Top Bottom