Dio AMEFIWA NA BABA YAKE

Poleni sana Dio, wewe na familia yako.
Mungu awape subira na Marehemu amlaze Pahali Pema - AMIN!
 
Pole sana Dio, Mungu akupe ujasiri ili upite katika hiki kipindi kigumu. R.I.P mzazi wetu mpendwa!
 
Pole sana,Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu na amlaze marehemu mahali pema peponi.Amina
 
inna lillah wa inna ilaihi rajiun.sisi wote ni wa kwake na kwake tutarejea.Nalog off
 
Mkuu pole sana kwa msiba wa baba mlezi. mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peoponi, amina
 
Pole sana Dio. Mungu akupe nguvu kipindi hiki cha msiba! Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani. Amen!

Nakutakia na safari njema
 
Habari za siku ya leo wapendwa nimefiwa na Baba yangu mlezi,na sasa ndio naelekea Kilimanjaro kwa mazishi yatakayofanyika kesho.naomba tuzidi kuombeana.

Rest In Peace Father.Na bila shaka tupo pamoja katika kutakiana kila la Kheri katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Tulimpenda sana lakini Baba wa mbiguni alimpenda zaidi.
 
Pole sana Mkuu,. Mungu akujalie ufike salaam na mazishi ya baba yaende vema. Mungu amjalie baba kupumzika mahala pema, Amina
 
Back
Top Bottom