Dini zinavyoharibu watu akili

Dini zinavyoharibu watu akili

Ni rahisi sana, andika aya yote ndipo tutajua walikuja kufanya nini!!-- mbona wakati mwingine huwa unanukuu aya za Qur'an na hadithi kirahisi!!!, vipi unashindwa nini kuleta aya hii ya (Qur'an 2:102) ili sote tuisome??, kumbuka ukiiketa yote tutamjua nani ni muongo kati ya mimi na wewe, halafu ukishikwa Uongo mimi nitakutumia shs 10, 000/= ili ukanywe kahawa kujiliwaza.
Siitaji pesa Yako maana wengi waislamu wananitafuta kunitoa uhai
Koran inasema harut na marut walikuja kulieta uchachawi unabii Sha maneno ya Allah?
 
Yaan mtu unamuuliza Kati ya Babu yako na yesu/Muhammad nani ameokoa maisha yako Anakwambia yesu/Muhammad. Utadhani hao jamaa walichukua jembe kulima ili familia yao ipate msosi na kuishi. Yaani dini hizi ni ujinga mkubwa sana kuwahi kutokea kwenye jamii yetu.

Yaani jitu halina hata sehemu Moja ya ku acknowledge Babu zake. Sijui linadhani limejileta Duniani.
Ni aibu sana mkuu
 
UKIJUA KWAMBA DINI YA KISLAMU IMEZALIWA NA KANISA LA ROMA HUWEZI KUHANGAIKA NA UISLAMU.
 
Kwa hiyo wewe unamuamini Muhamma mtu asie muadilifu unakataa ushahidi wangu wa Mimi muadilifu
1 , Muhamma alikuwa na matatizo ya akili
2. Muhammad alioa mke wa mtoto wake wa kufikia mpaka akapiga marufuku ku adopt
3. Muhammad alimuoa mtoto Aisha miaka 6
4. Muhammad alikuwa anaua kikatili mfano yule bibi kizee alimfunga kwenye ngamia akamchana katikati
5. Muhammad aliua familia nzima na bwana harusi akachukua mke wa huyo bwana harusi akambaka

Na uchafu mwingi ambao Mimi ata ki nukta sina
Duh...hadithi hizi na uongo wake,ukimsoma mtume wa ndani ya Quran na mtume wa Hadithi ni Wana tofauti kubwa Sana

huyu Muhammad uliyemuandika hapa siye ninayemjua Mimi..kingine huyu alikuwa mtume Kama mitume mingine ,alikuwa binaadamu Kama Mimi na wewe hivyo alikuwa na mapungufu yake Kama binaadamu ila sio kwa hayo ambayo umeorodhesha

Mimi sio muumini wa Hadithi(masimulizi nje ya Quran)
 
Duh...hadithi hizi na uongo wake,ukimsoma mtume wa ndani ya Quran na mtume wa Hadithi ni Wana tofauti kubwa Sana

huyu Muhammad uliyemuandika hapa siye ninayemjua Mimi..kingine huyu alikuwa mtume Kama mitume mingine ,alikuwa binaadamu Kama Mimi na wewe hivyo alikuwa na mapungufu yake Kama binaadamu ila sio kwa hayo ambayo umeorodhesha

Mimi sio muumini wa Hadithi(masimulizi nje ya Quran)
-Kuna visa hapo vipo kwenye Koran
Kuoa mke wa mtoto wake kipo kwenye Koran , na alivyofanya hivyo akapiga marufuku ku adopt watoto ndani ya Koran
  • kumbaka house girl Maria the copt kisa kipo mpaka Allah akashusha Aya akasema kama Aisha na hafs wataendelea kumkataza atasaidiana na Malika kupambana nao
  • Kuna aya pia inaruhusu wanawake waumini wakajitoe kwa Muhammad Bure apige machine
  • Kuna Aya mnaruhusiwa kutembea na watumishi wa kike walioko ndani ya nyumba Yako bila ndoa
 
Wafuasi wa dini wote hawanaga akili.

Just imagine jitu halifanyi kazi linaamini kwenye miujiza na baraka za ibrahimu wa uongo.

Majitu yanaacha madawa ya kitabibu na kukimbilia tiba za kipuuzi za hao manabii uchwara.

Jitu linamkashifu mwenzake kwa kumuita kafir&mpagani kisa dini iliyokuja kwa meli, kuna wale wapumbavu mpka waliofikia kuwatukuza wanadamu wenzao kwa kuwaita taifa teule, uteule sijui ni upi huo wakuuwa raia wasio na hatia, na kuna mpka wameaminishwa kuna miji mitakatifu huko uarabuni.

Huo wote ni upumbavu na ukosefu wa akili, washika dini wengi ni vilaza na masikini wa kutupwa, hiyo ndio main target ya waliotunga dini yaan kuhatibu akili na kuwagawanya watu ili watawalike vizuri
Eti Israel taifa teule wakati hao wateule kila siku wanaua wenzao
 
SIO PEPONI TU,hata duianini,kanisani unatumia maneno ya kiarabu na umejifunza ,bila kujijua unajifundisha kiarabu,hata neno salama(kiarabu)Habari(kiarabu)Kanisa(kiarabu)Kitubio(kiarabu)Sadaka(kiarabu)Zaka(kiarabu)Kasisi(kiarabu)Toba(kiarabu)nk.Hata hicho kiswahili,ulichoandika,karibia asilimia kubwa ni maneno ya kiarabu.Ukichunguza zaidi,maneno mengi ya lugha nyingi duniani ni kiarabu,kuna maneno au namba za kiarabu.Kwenye science,maneno mengi ni ya kiarabu,kuanzia masomo yenyewe
1:Chemistry-Kemia ni kiarabu
2.Hisabati ni Kiarabu
3.Doctor -Ductour -Daktari ni kiarabu
4.Namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,ni namba za kiarabu.
5.Mhandisi,ni neno la kiarabu
6.Mwalimu ni neno la kiarabu.
7.Darasa ni neno la kiarabu
8.Elimu ni neno la kiarabu
9.sayari ni neno la kiarabu
10.Rais ni neno la kiarabu
11.Waziri ni neno la kiarabu
12 .Wizara ni neno la kiarabu
13.Neno Swahili ni neno la kiarabu
14.Hatari,Furaha,Rafiki,Tafadhali,Baridi,Dhamiri,Kamusi,Huru,Habari,Kata,Msumari,Kitabu,Mahali,
15.Nyakati,:Asubuhi,Dakika,Saa,Wakati,alasiri,Magharibi,Alfajiri,karne,
16 .Juma(weeki),Alhamisi,ijumaa.
17.Tausi
18.Nusu,Robo,Sita,saba,Tisa,Ishirini,Thelathini,Arubaini,Hamsini,Sitini,Sabiini,Themanini,Tisiini,Mia,Elfu,
19.Dini.
20 Msamiati mwingi unaotumika kwenye dini ya kiislamu na Kikristo una asili ya kiarabu:
Ibada
Msikiti
Kanisa
Zaka
Sadaka
MALAIKA
SHETANI
Thawabu
Dhambi
Kasisi
Imamu
Kitubio
21.Mjina ya kamikali,zote yanayoanzia na Al,kama alkaline,alkal,Alkaline,Alkaloid, nk
Hapo ulipo unatumia maneno ya kiarabu ,bila kujijua au unajijua,lakini huelewi.
Kutumia maneno ya lugha Fulani sio sawa na kuongea hiyo lugha.
Lugha sio misamiati TU, Kuna mambo ya sarufi pia yanahusika.
 
Lugha zote zimeanza kutoka mashariki ya kati,kiarabu,kiebrania,Kiaramu,kiamhari,kiashuri,kifinisia,kibabili zote ni Kisemiti.
Kumbe na kichina kimeanzia mashariki ya kati? Sikujua hili
Vipi kuhusu kigogo, na chenyewe kilianzia huko?
 
Siitaji pesa Yako maana wengi waislamu wananitafuta kunitoa uhai
Koran inasema harut na marut walikuja kulieta uchachawi unabii Sha maneno ya Allah?
Wanataka kukuua?? Kwanini??
Mimi siamini dini ya amani inaweza kutishia usalama wa maisha yako.
 
Huu ni moja ya mifano jinsi hii dini ina haribu akili za watu.

#MaendeleoHayanaChama
FB_IMG_1661168725429.jpg
 
Mm mambo ya dini nilishaachana nayo toka nijue yaliyo nyuma ya dini.!!! Na nmekuwa nikiishi vzr sana sina ubaguzi wa kuwabagua watu kwa dini zao, kabila zao wala tamaduni tofauti na huko nyuma nilivyokuwa mfia dini...!!!

Sasa hapo ukimuuliza ushawahi kwenda peponi ukakuta watu wanaongea kiarabu atakwambia mtume kasema!!! Ujinga mtupu
Sema una Dini yako umeamua kuifuata,ila umeachana na hizi Abrahamic religious beliefs, umerudi kwenye African religious beliefs , kila watu Wana Imani zao kutegemeana na tamaduni zao.
 
Back
Top Bottom