Dah Yani unajitengenezea minyororo mwenyewe unajifungaChained by their principles a slves....waache wajifungie sheria zao
Ukristo haukuanzia uarabuni, Usikariri.Mimi sio muumini wa Hadithi (maana zipo zinazopishana ,hazina ukamilifu)
kwanza kitu kimoja umesahau,Dini zote hizi mbili ukristo na uislamu umeanzia huko uarabuni,hivyo mitume hawakuwa na lugha ambayo wangeweza kutumia kuwasilisha kwa watu wao isipokuwa kiarabu..na Neno lilipaswa lifike duniani KOTE Sasa Kama anaenda kueneza neno la Mungu sehemu ambayo hawaijui lugha ya kiarabu anawasiliana nao vipi!?wàtajua vipi kuhusu Mungu Kama lugha hawaitambui!?
haihitaji kuwa na elimu kubwa kujua Mungu ANATAKA Nini kwa binaadamu hili NDIO kubwa..let's ask ourselves why!? and not how!??
na kwa hyo Aya uliyoitoa Bado haijaelezea kwamba Mungu anataka aombwe kwa kiarabu ,Bali ujumbe wake ufike kwa lugha hiyo ,ingekuwa mtume mzaramo Basi angemwambia azungumze nao kizaramo
YeahDah Yani unajitengenezea minyororo mwenyewe unajifunga
ahsante kwa usahihisho,Basi hao uliowataja wote want ndani ya Quran na wote walishushiwa neno la Mungu,je walizungumza kiarabu au kiebrania!??au mkiona mtume kwenye,au KUSIKIA mtume mnajua Muhammad peke yake!?Ukristo haukuanzia uarabuni, Usikariri.
Yesu hakuishi Uarabuni na wala hakuongea kiarabu. Mitume na manabii(ambao na nyinyi mnadai mnawatambua) kama kina Musa, Daudi, Suleiman etc HAWAKUONGEA KIARABU, Waliongea Kiebrania, Lugha yao ya taifa lao la Israel.
... make your facts straight


kina nabii Issa,Mussa,Ibrahim Hawa NI waarabu na walimuomba Mungu kwa KIARABU...Sasa huyo Mungu unaemjua wewe sio wa waislam....Mungu wa waislam anasikia kiarabu TU na ukitaka kumuomba inabidi umgeukie umuangalie upande wa Mecca pale kwenye kibla.
Ni biashara halali au haramu?Ktk vitu ndugu zangu waislam hawataki kuvisikia ni kuwaambia hijja ni biashara na chanzo cha mapato cha saudi arabia $20.5 bil jamaa wanaingiza kupitia hijja.
Bado kuna uvunaji wa a lot of tons za mawe ambazo huzivuna na kuzitumia kujengea miundombinu ya taifa lao kupitia ibada ya kumpiga ibis na mawe... ww hujiuliz toka watu wameaanza kurusha mawe ile sehemu haijai tu na kama inajaa yale mawe hupelekwa wapi?
!! Akili mtu wangu !!
Una ushahidi?kina nabii Issa,Mussa,Ibrahim Hawa NI waarabu na walimuomba Mungu kwa KIARABU...
Na mawe ya kumpiga shetani huwa mnayatoa wapi?Waislamu gani hao unao wazungumzia wewe hawataki kulisikia hili ulilo liandika, bali sisi Waislamu tunakushangaaa wewe kwa namna ulivyo kuwa mjinga.
Hija wetu sisi ni ibada na ni ibada ambayo ipo hata kabla Saudia si yenye kutajika. Ibada ambayo kwenda kwake tunapata malipo toka kwa Allah na kutii amri yake.
Kwahiyo hata wapate mapato zaidi ya hayo, sisi tunaenda kufanya ibada.
ni kweli kabisa. Peponi (makazi ya mapepo) lugha ni kiarabu.
Nyanoko nalo limetokana na kiarabuShimboni, Wabheja kulumba, mayo etc yametokana na nini?

Allah ni nani hadi ajifunze kijerumani?Hivi sifa ya kwanza ya kua muislamu ni kusifia kiarabu ama ni nini?
Naona kama uislamu na ujinga ni kama samaki na maji.
Unasema hakuna kabila wala dini yoyote ambayo haitumii maneno ya kiarabu, unaweza kunionyesha mameno ya kiarabu kwenye lugha ya kichina ama kijapani? Ama unaweza kunipa maneo ya kiarabu kwenye kigiriki?
Unasema lugha ya kiarabu iko kwenye lugha zote Duniani halafu unatolea mfano kiswahili na kingereza, hizo ndio lugha za Dunia?
Wewe taahira hujui kua china ina namba zake mona hadi kumi ama kwa kua umekaririshwa msikitini na wajinga wenzako basi unakuja kuleta huo ujinga hapa.
Cha kukushauri, mwambieni allah ajifunze lugha nyingine, Dunia imebadilika sana abadilike, ajifunze hata kijaluo ama hata kisambaa au kijerumani.
keep ya head up brother and think straight...Kama Mungu wa waislamu husikia KIARABU TU kina nabii I ,Mussa , Ibrahim ,Daudi na wengineo ambao hawakuzungumza KIARABU walimuabudu Mungu kwa lugha gani!?Una ushahidi?


(ambao nyinyi mnadai mnawatambua)Ukristo haukuanzia uarabuni, Usikariri.
Yesu hakuishi Uarabuni na wala hakuongea kiarabu. Mitume na manabii(ambao na nyinyi mnadai mnawatambua) kama kina Musa, Daudi, Suleiman etc HAWAKUONGEA KIARABU, Waliongea Kiebrania, Lugha yao ya taifa lao la Israel.
... make your facts straight
shetani anadanganya sana watu.
Mm mambo ya dini nilishaachana nayo toka nijue yaliyo nyuma ya dini.!!! Na nmekuwa nikiishi vzr sana sina ubaguzi wa kuwabagua watu kwa dini zao, kabila zao wala tamaduni tofauti na huko nyuma nilivyokuwa mfia dini...!!!
Sasa hapo ukimuuliza ushawahi kwenda peponi ukakuta watu wanaongea kiarabu atakwambia mtume kasema!!! Ujinga mtupu
Kweli cadinaly.Mm mambo ya dini nilishaachana nayo toka nijue yaliyo nyuma ya dini.!!! Na nmekuwa nikiishi vzr sana sina ubaguzi wa kuwabagua watu kwa dini zao, kabila zao wala tamaduni tofauti na huko nyuma nilivyokuwa mfia dini...!!!
Sasa hapo ukimuuliza ushawahi kwenda peponi ukakuta watu wanaongea kiarabu atakwambia mtume kasema!!! Ujinga mtupu
Kwani Mungu wa waislam ndiyo Mungu wa akina Ibrahim??keep ya head up brother and think straight...Kama Mungu wa waislamu husikia KIARABU TU kina nabii I ,Mussa , Ibrahim ,Daudi na wengineo ambao hawakuzungumza KIARABU walimuabudu Mungu kwa lugha gani!?
na nikupe faida BABA WA IMANI KWA WAISLAMU NI NABII IBRAHIM,JE ALIZUNGUMZA KIARABU!?
NDIO MAANA NILIKWAMBIA MUNGU WA WAISLAMU ANASIKIA LUGHA ZOTE SIO KIARABU TU,KIKUBWA UFUATE ANAYOTAKA UFUATE NA KUYAACHA ALIYOKATAZA HAYA MENGINE NI BINAADAMU TU NA MASLAHI YAO
MWALIMU WAKO ALIPATA TABU SANA KUKUFUNDISHA![]()
Anasali kwa Ambwene-hapo Mbunguti mkuu.Huwa unaenda wapi?