Dini zinavyoharibu watu akili

Dini zinavyoharibu watu akili

Achana na bidhaa za kuuzwa. Kuna fee inalipiwa ya utalii kwenye hija packages. Ni sawa na mgeni anavyokuja serengeti ama mlima kilimanjaro

Mbona unajikanganya hapo!!!--- Mahujaji sio mtalii, kama mtu atakwenda kwa ajili ya utalii baada ya kufanya Hijja huyo anapaswa alipe hiyo kodi ya utalii na hilo sio kosa, tofautisha kati ya utalii na Hijja.
 
Lowassa alisema elimu, elimu, elimu nu tatizo la wa Tanzania. Kweli alikuwa sahihi

Embu bishana kwa fact kwamba serikali ya saudi arabia haipati mapato ama faida za kipesa kupitia Hija.. kama dini ni ya Mungu na Hijja sio biashara kwa nini wanachaji watu pesa nyingi kwenda kuhiji? Why nchi ya saudi arabia ipate mapato ya watu wa Mungu. Serikali ya Saudi inakusanya mapato ya watalii wanaokuja Hijja kisha inanunua silaha na kuua waislamu wenzenu yemen, syria , kashoggi etc

HAYA BISHANA NA ARTICLE HIYO NA FACTS ZA WAISLAM WENZAKO WALIOWAHI KWENDA HIJA

Pilgrimage is essential to Saudi Arabia’s economy and worth $12 billion annually. Currently, it makes up 20 percent of Saudi Arabia’s non-oil GDP, and is only expected to grow with the rise of more luxury hotels around the holy mosque.

Hajj pilgrims are also required to buy a Hajj package ranging anywhere from $1,000 to $20,000 or higher depending on hajj fees, accommodations, distance and the like.

Hajj packages used to cost three to four thousand dollars only five years ago,” says Issam Qaddoura from Canada.

“Now they cost at least $10,000. A flight from my city to Jeddah only costs a $1,000. Why is it so expensive? It would be cheaper to go on my own, but I can’t. Something is wrong with the pricing.

In late April 2019, Libya’s most prominent Muslim Sunni cleric, Grand Mufti Sadiq al Ghariani, called for all Muslims to boycott the Hajj—the obligatory pilgrimage of Muslims to Mecca.

In a minority view, he claimed that anyone who carried out a second pilgrimage was doing “an act of sin rather than a good deed”.

The reasoning was simple. Saudi Arabia’s economy supplies arms and militarily attacks Yemen, and is indirectly implicated in Syria, Libya, Sudan, and Iraq.

Ghariani emphasised that investing in the Hajj would “help Saudi rulers to carry out crimes against our fellow Muslims”.

But Ghariani isn’t the only cleric who’s taken a stance against the Hajj. Yusuf al Qaradawi, one of the most prominent and highly acclaimed Sunni scholars and a vocal critic of Saudi Arabia, made a fatwa in August 2018 which called for consciousness towards spending on the pilgrimage.

Saudi Arabia’s King holds the honorary title of ‘Custodian of the Two Holy Mosques’, handed down for generations. In today’s times, some pilgrims see the title as less than honorary, and more an iron grip on profit at the expense of religious legitimacy.
 
Anahoja gani..kama sio wenda wazimu umemjaa..atwambie neno mbona hicho kiswahili au kichina nacho kimetokana na kiarabu.

Uislamu ni utamaduni wa waarabu..yeye mmatumbi kaingizwa chaka..kwa kufanyiwa mental slave and brainwash.

#MaendeleoHayanaChama
Huna hoja ila ni kutukana tu.
Kiarabu ni lugha ya Kisemiti inayotumiwa na watu milioni 206 kama lugha ya kwanza,na milioni 246 wa ziada kama lugha ya pili.Kuna lahaja nyingi,
Kiarabu ni mojawapo ya Lugha rasmi ya Umoja wa Mataifa .
Kama lugha ya dini ina athari na taathira kubwa juu ya lugha nyingi duniani na juu ya ustaarabu na utamaduni wa watu na makabila tofautu tofauti walio waislamu.
Ni lugha yenye utajiri wa misamiati,ufasaha mkubwa wa misemo na udhibiti mkubwa wa sarufi na naha.
Ni lugha iliyokusanya aina nyingi za mithali na mafumbo,na ina utamaduni mkubwa wa nyimbo,mashairi na misemo,nayo inakubaliwa na watu wengi duniani kuwa lugha yenye utamu wa matamshi na uzuri wa lafudhi.
Lugha hii inatumika Afrika,Asia,Ulaya,America ya kaskazini na kusini.
Kiarabu,kiebrania,kiaramu,kiamhari,kiashuri,kifinisia,kibabili, zote zina asili ya lugha ya kisemiti.
 
Ukiwa mjinga utaelimishwa..ila ukiwa mpumbafu ni tatizo kwa jamii..shida huna akili na uliyonayo kidogo imevurugwa nanwaarabu.

#MaendeleoHayanaChama
Kiarabu,Kiebrania,Kiaramu,kiamhari,kiashuri,kifinisia,kibabili ni lugha za asili moja ya lugha ya Kisemiti.
Kwa hiyo lugha hizo zote,zipo kwenye lugha kuu zote za dunia.
Kuwa na hoja,ukitukana unaonekana,huna hoja.
 
Lowassa alisema elimu, elimu, elimu nu tatizo la wa Tanzania. Kweli alikuwa sahihi

Embu bishana kwa fact kwamba serikali ya saudi arabia haipati mapato ama faida za kipesa kupitia Hija.. kama dini ni ya Mungu na Hijja sio biashara kwa nini wanachaji watu pesa nyingi kwenda kuhiji? Why nchi ya saudi arabia ipate mapato ya watu wa Mungu. Serikali ya Saudi inakusanya mapato ya watalii wanaokuja Hijja kisha inanunua silaha na kuua waislamu wenzenu yemen, syria , kashoggi etc

HAYA BISHANA NA ARTICLE HIYO NA FACTS ZA WAISLAM WENZAKO WALIOWAHI KWENDA HIJA

Pilgrimage is essential to Saudi Arabia’s economy and worth $12 billion annually. Currently, it makes up 20 percent of Saudi Arabia’s non-oil GDP, and is only expected to grow with the rise of more luxury hotels around the holy mosque.

Hajj pilgrims are also required to buy a Hajj package ranging anywhere from $1,000 to $20,000 or higher depending on hajj fees, accommodations, distance and the like.

Hajj packages used to cost three to four thousand dollars only five years ago,” says Issam Qaddoura from Canada.

“Now they cost at least $10,000. A flight from my city to Jeddah only costs a $1,000. Why is it so expensive? It would be cheaper to go on my own, but I can’t. Something is wrong with the pricing.

In late April 2019, Libya’s most prominent Muslim Sunni cleric, Grand Mufti Sadiq al Ghariani, called for all Muslims to boycott the Hajj—the obligatory pilgrimage of Muslims to Mecca.

In a minority view, he claimed that anyone who carried out a second pilgrimage was doing “an act of sin rather than a good deed”.

The reasoning was simple. Saudi Arabia’s economy supplies arms and militarily attacks Yemen, and is indirectly implicated in Syria, Libya, Sudan, and Iraq.

Ghariani emphasised that investing in the Hajj would “help Saudi rulers to carry out crimes against our fellow Muslims”.

But Ghariani isn’t the only cleric who’s taken a stance against the Hajj. Yusuf al Qaradawi, one of the most prominent and highly acclaimed Sunni scholars and a vocal critic of Saudi Arabia, made a fatwa in August 2018 which called for consciousness towards spending on the pilgrimage.

Saudi Arabia’s King holds the honorary title of ‘Custodian of the Two Holy Mosques’, handed down for generations. In today’s times, some pilgrims see the title as less than honorary, and more an iron grip on profit at the expense of religious legitimacy.
Hija ni uchumi wa dunia nzima.Kuanzia hujaji anapoanza safari yake,katika nchi anayotoka.
Kuanzia usafiri,malazi,mavazi,kula,kulala na kodi za serekali husika,mpaka ticket ya ndege,kwenye International Airport ya nchi yake,mote humo analipia na kuingiza mapato ya nchi.
 
Elimu elimu × 100, 000, what good is it then??!!😏

let it be so then who is to blame??, The Saud Government or the pilgrims ??, The pilgrimage is one of the worships prescribed in the Holy Qur'an for Muslims.

Bado huna hoja ya ku discredit Hijja.

Ni chuki na husuda ndio inakutafuna tu.
 
Hivi sifa ya kwanza ya kua muislamu ni kusifia kiarabu ama ni nini?

Naona kama uislamu na ujinga ni kama samaki na maji.

Unasema hakuna kabila wala dini yoyote ambayo haitumii maneno ya kiarabu, unaweza kunionyesha mameno ya kiarabu kwenye lugha ya kichina ama kijapani? Ama unaweza kunipa maneo ya kiarabu kwenye kigiriki?

Unasema lugha ya kiarabu iko kwenye lugha zote Duniani halafu unatolea mfano kiswahili na kingereza, hizo ndio lugha za Dunia?

Wewe taahira hujui kua china ina namba zake mona hadi kumi ama kwa kua umekaririshwa msikitini na wajinga wenzako basi unakuja kuleta huo ujinga hapa.

Cha kukushauri, mwambieni allah ajifunze lugha nyingine, Dunia imebadilika sana abadilike, ajifunze hata kijaluo ama hata kisambaa au kijerumani.
Kiarabu,kiebrania,kiaramu,kiamhari,kiashuri,kifinisia,kibabili ,zote na nyingine nyingi asili yake ni Kisemiti.Hapo ndio uelewe kiarabu kimeenea sana,kupitia hizo lugha.
Kijerumani pia kina maneno ya kiarabu:
1 .Alcohol neno la kiarabu Al kohol.
2.Dier Giraffe ,asili yake kiarabu zarafa(
3.Kaffe kiarabu kahveh(kahawa)
4.magazin,kiarabu Makhazin
5.Matraze Arabic matrah(airport)
6.Talisman Arabic tiles(magic)
7.Zucker Arabic sukar(sugar)
Spanish words from Arabic
Arabic:Al zayt Spanish active
Arabic Al tun Spanish atun
Arabic Al sukkar Spanish azucar(sugar)
Alburquq albarcoque
Almuhadda almohada(Mto)
Al qutn algodon(cotton)
Zaytunah olive
Habaqah alhabaqa
Kanz Alkaloid
Barri ................Barry
Nk
 
Hija ni uchumi wa dunia nzima.Kuanzia hujaji anapoanza safari yake,katika nchi anayotoka.
Kuanzia usafiri,malazi,mavazi,kula,kulala na kodi za serekali husika,mpaka ticket ya ndege,kwenye International Airport ya nchi yake,mote humo analipia na kuingiza mapato ya nchi.

Na gharama zote hizo kwa muumini wa kweli wa kiisilamu sio kitu kwani ni Allah ndiye anayetoa na kuruzuku basi mtu akitoa pesa kwa ajillu ya kwenda kutekeleza ibada kwa huyohuyo Mungu kuna kosa??!.

Watu wanachukulia suala la Hijja katika mazingira ya kibiashara na Uchumi na wanasahau hekima na kiini cha Ibada yenyewe. Mbele ya Ibada pesa au mali kwa muumini wa kweli sio kitu.
 
Naona unafungua hii thread ya pili ili tu kuukashifu uislamu uislamu unaokoteza vipost vyako uko unatuletea apa aliyekuambia tumeimizwa kujifunza lugha ya kiarabu na kuacha nyingine ni nani?
Sada hata akikashifu utamfanyaj we mama? Mmeshindwa kuomba albadir wamaerkani wanawaua kila siku kama kuki
 
Wafuasi wa dini wote hawanaga akili.

Just imagine jitu halifanyi kazi linaamini kwenye miujiza na baraka za ibrahimu wa uongo.

Majitu yanaacha madawa ya kitabibu na kukimbilia tiba za kipuuzi za hao manabii uchwara.

Jitu linamkashifu mwenzake kwa kumuita kafir&mpagani kisa dini iliyokuja kwa meli, kuna wale wapumbavu mpka waliofikia kuwatukuza wanadamu wenzao kwa kuwaita taifa teule, uteule sijui ni upi huo wakuuwa raia wasio na hatia, na kuna mpka wameaminishwa kuna miji mitakatifu huko uarabuni.

Huo wote ni upumbavu na ukosefu wa akili, washika dini wengi ni vilaza na masikini wa kutupwa, hiyo ndio main target ya waliotunga dini yaan kuhatibu akili na kuwagawanya watu ili watawalike vizuri
Mkuu wewe ni tajiri?
 
Back
Top Bottom