Tuambie ni nani ?Kisai na @ Mokaze nani alifundisha uchawi duniani?
Tuambie ni nani ?Kisai na @ Mokaze nani alifundisha uchawi duniani?
Kisai na @ Mokaze nani alifundisha uchawi duniani?
umesahau kuna alkasusuSIO PEPONI TU,hata duianini,kanisani unatumia maneno ya kiarabu na umejifunza ,bila kujijua unajifundisha kiarabu,hata neno salama(kiarabu)Habari(kiarabu)Kanisa(kiarabu)Kitubio(kiarabu)Sadaka(kiarabu)Zaka(kiarabu)Kasisi(kiarabu)Toba(kiarabu)nk.Hata hicho kiswahili,ulichoandika,karibia asilimia kubwa ni maneno ya kiarabu.Ukichunguza zaidi,maneno mengi ya lugha nyingi duniani ni kiarabu,kuna maneno au namba za kiarabu.Kwenye science,maneno mengi ni ya kiarabu,kuanzia masomo yenyewe
1:Chemistry-Kemia ni kiarabu
2.Hisabati ni Kiarabu
3.Doctor -Ductour -Daktari ni kiarabu
4.Namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,ni namba za kiarabu.
5.Mhandisi,ni neno la kiarabu
6.Mwalimu ni neno la kiarabu.
7.Darasa ni neno la kiarabu
8.Elimu ni neno la kiarabu
9.sayari ni neno la kiarabu
10.Rais ni neno la kiarabu
11.Waziri ni neno la kiarabu
12 .Wizara ni neno la kiarabu
13.Neno Swahili ni neno la kiarabu
14.Hatari,Furaha,Rafiki,Tafadhali,Baridi,Dhamiri,Kamusi,Huru,Habari,Kata,Msumari,Kitabu,Mahali,
15.Nyakati,:Asubuhi,Dakika,Saa,Wakati,alasiri,Magharibi,Alfajiri,karne,
16 .Juma(weeki),Alhamisi,ijumaa.
17.Tausi
18.Nusu,Robo,Sita,saba,Tisa,Ishirini,Thelathini,Arubaini,Hamsini,Sitini,Sabiini,Themanini,Tisiini,Mia,Elfu,
19.Dini.
20 Msamiati mwingi unaotumika kwenye dini ya kiislamu na Kikristo una asili ya kiarabu:
Ibada
Msikiti
Kanisa
Zaka
Sadaka
MALAIKA
SHETANI
Thawabu
Dhambi
Kasisi
Imamu
Kitubio
21.Mjina ya kamikali,zote yanayoanzia na Al,kama alkaline,alkal,Alkaline,Alkaloid, nk
Hapo ulipo unatumia maneno ya kiarabu ,bila kujijua au unajijua,lakini huelewi.


naskia shimboni pia ni kiarabuShimboni, Wabheja kulumba, mayo etc yametokana na nini?



allah anawachora tu anajua lugha zote ila huyo allah ana kiburi sana yy mpka umuongeleshe kiarabu ndio anasikiaSure, Allah ashauriwe kujifunza lugha mpya, aendane na Dunia. Abadilike.



Kwa hiyo akileta mtume anaetumia kiswahili basi atalazimisha watu wote watumie kiswahili wakati anajua kabisa kuna makabila mengine, ama hajui kama kuna makabila ama lugh nyingine? Huyo mola ni mzima kichwani kweli? Huyo ni mola ama mura?




dah nacheka kama mazuri ila mambo ya jahazi tuyaache jahaziniAllah ndie alileta mafunzo ya uchawi kwa kuwatuma harut na marut wafundishe watu uchawi Koran 2:102Aliyefundisha uchawi ni yule aliyefundisha Uzinzi, wizi, uongo, kushengenya, kuua nafsi isiyo na hatia, dhuluma, aliyeleta upanga na kuvuruga amani kifupi ni yule aliyeleta kila aina ya uovu,, ---- sasa nadhani utakuwa umemjua.
Koran 2:102 ,Allah kawatuma harut na marut wafundishe watu uchawiSimjui.
Sasa tatizo liko wapi ? Una hoja ?Koran 2:102 ,Allah kawatuma harut na marut wafundishe watu uchawi
Kwa Nini ulidanganya haumjui Alie leta uchawi?Sasa tatizo liko wapi ? Una hoja ?
Kwahiyo sasa wew unasalije km huendi kanisani?Toka nianze kujitambua nimeacha hata kwenda kanisani nina miaka 5 sasa
Atakuwa ana namna yake ya kuongea na MUNGU wake kukingana na imani yake kuhusu uwepo wa MUNGU.Kwahiyo sasa wew unasalije km huendi kanisani?
Sijadanganya, uliuliza swali la kipuuzi. Na hii ni adabu ya kujibu maswali. Unaweza ukaniuliza swali ma ukajua ya kuwa ninajua ila nikakujibu kwamba sijui. Walio kaa kwenye vikao vya kielimu na tena kwa wanachuoni hili wanalijua. Sababu kuna adabu za kuuliza maswali na kujibu maswali.Kwa Nini ulidanganya haumjui Alie leta uchawi?
Tumemaliza Allah kaleta uchawi na uchawi huo ukamdhuru muhmmad mpaka akawa schizophreniaSijadanganya, uliuliza swali la kipuuzi. Na hii ni adabu ya kujibu maswali. Unaweza ukaniuliza swali ma ukajua ya kuwa ninajua ila nikakujibu kwamba sijui. Walio kaa kwenye vikao vya kielimu na tena kwa wanachuoni hili wanalijua. Sababu kuna adabu za kuuliza maswali na kujibu maswali.
Poa.Tumemaliza Allah kaleta uchawi na uchawi huo ukamdhuru muhmmad mpaka akawa schizophrenia
Allah ndie alileta mafunzo ya uchawi kwa kuwatuma harut na marut wafundishe watu uchawi Koran 2:102
Muongo huyo.. Mwenyezi Mungu anaomba Kwa lugha yyt Ila Uwe mnyenyekevu
Sio bipolarTumemaliza Allah kaleta uchawi na uchawi huo ukamdhuru muhmmad mpaka akawa schizophrenia
Unajua Kwa Nini umekata Aya ? Allah aliwatuma harut na marut kwenda Babylon kufundisha watu uchawi embu bisha hilo kwanzaWewe ni mshabiki wa kidini wala huna nia ya kujifunza ukweli bali upotoshaji ili kukidhi nia yako ovu na ushabiki tu.
Umeuliza ni nani aliyeleta uchawi mimi nakakutajia sifa zingine kadhaa za mleta uchawi na kwa kifupi nikasema ni yule aliyeleta kila aina ya uovu, hapo nikadhani utakuwa umemjua mleta uchawi ni nani na jina lake ni lipi, kwa mtu yeyote mwema mwenye elimu ya dini bila shaka angalijua mleta Uchawi ni Shetani kinyume chake umekurupuka na kunukuu aya ambayo hata hukuisoma au umeamua kupotosha kishabiki ili ukidhi haja na nia yako ovu dhidi ya Allah na Quran, sasa tuangalie hiyo aya uliyoleta inasemaje juu ya yupi alileta/ alifundisha uchawi na katika hilo leo unasutwa kwa uongo wako.
Aya (2:102) inaanza kwa kusema;
"Na wakafuata yale waliyozua MASHETANI kuuzulia ufalme wa Suleiman. Na wala Suleiman hakukufuru bali MASHETANI ndio waliokufuru WAKIWAFUNDISHA WATU UCHAWI----" (2:102) Qur'an.
Sasa hapo ni wapi imeandikwa kwamba Allah(apishe mbali) alituma Malaika Haruta na Maruta kufundisha uchawi ??!!
Uwe japo na uoga kidogo moyoni mwako juu ya Mungu unapoamua kusema na kusambaza uongo, Uongo unakomaza roho ya kishetani kwani Uongo ni kazi ya Shetani.