Dini zinavyoharibu watu akili

Dini zinavyoharibu watu akili

Ha ha ha hizi dinii hizi

Imagine ktk mafundisho ya dini Moja ya vitu ambavyo Huwa waislam wanavyo fundishwa ni kwamba lugha ya kiarabu ndio lugha Bora kuliko lugha zote Duniani hivyo basi ni lazima muislam aijue lugha hiyo Kwa sababu ndio lugha Ambayo itatumika kuzungumza siku ya kiama

Na watu Wana Amini Wana weka juhudi na maarifa katika kujifunza lugha hiyo

Masikini hawajui kuwa Wameaminishwa hivyo Ili lugha hiyo ipate kusambaa Kwa wepesi zaidi Duniani na Endapo ikisimbaa na kufika mbali zaidi itakuwa ni rahisi Kwa mataifa ya uarabuni kuweza kujitangaza kimataifa zaidi

Hawajui hata kwenda kuhiji maka ni chanzo cha mapato kwa nchi ya saudi arabia.. watu wanaoenda kuhiji wanachangia pato la taifa la saudi arabia kupitia utaliii wa kidini

Jiulize Mungu gani mbaguzi. Akupe lugha yako ya kabila lako...ila neno lake akuletee kwa lugha ya wengine
MUNGU hana lugha asiyoisikia ndiyo maana tunamuomba katika lugha tofauti, ndiye aliye tujalia mgawanyko wa hizi lugha, Baada ya kuchukizwa na ujenzi wa mnara wa Babel, acocording to the Holly Bible
 
Ktk vitu ndugu zangu waislam hawataki kuvisikia ni kuwaambia hijja ni biashara na chanzo cha mapato cha saudi arabia $20.5 bil jamaa wanaingiza kupitia hijja.

Bado kuna uvunaji wa a lot of tons za mawe ambazo huzivuna na kuzitumia kujengea miundombinu ya taifa lao kupitia ibada ya kumpiga ibis na mawe... ww hujiuliz toka watu wameaanza kurusha mawe ile sehemu haijai tu na kama inajaa yale mawe hupelekwa wapi?

!! Akili mtu wangu !!
Na unaitwa Mohammed. Bure kabisa
 
-Kuna visa hapo vipo kwenye Koran
Kuoa mke wa mtoto wake kipo kwenye Koran , na alivyofanya hivyo akapiga marufuku ku adopt watoto ndani ya Koran
  • kumbaka house girl Maria the copt kisa kipo mpaka Allah akashusha Aya akasema kama Aisha na hafs wataendelea kumkataza atasaidiana na Malika kupambana nao
  • Kuna aya pia inaruhusu wanawake waumini wakajitoe kwa Muhammad Bure apige machine
  • Kuna Aya mnaruhusiwa kutembea na watumishi wa kike walioko ndani ya nyumba Yako bila ndoa
NAOMBA unisaidie hizo Aya,sikuwahi kukutana na haya Mambo toka nianze jifunza Quran na dini kwa ujumla....na kuhusu kuwaingilia wafanyakazi wa kike hyo hata kwenye Bible ipo,lakini ndani Quran ktika Surat nnisai imesisitiza mkubaliane nao na uwapatie mahari yao

UKINIPATIA HIZO AYA ZINAZOELEZEA MAELEZO YAKO UTANISAIDIA KUUJUA UKWELI ZAIDI
 
Kwahiyo MUNGU wenu hasikii kimang'ati,kisukuma,kichaga,kimasai,na lugha za Watu wengine? Kwa hiyo MUNGU huyo Allah aliiumba waarabu tu? Haitaitaji Akili kubwa Sana kuielewa hii
Allah ANASIKIA lugha yoyote duniani na ukimuomba kwa lugha yyte atakusikia..achana na story za vijiweni

Allah anaangalia ndani yako ,haongopewi kwa unachosema ama kufanya!!huyu ndiye Mungu wa waislam
 
MWENYEZI MUNGU NI MWENYE KUSIKIA NA MJUZI WA MAMBO..

SIKUMBUKI MARA NGAPI IMEANDIKWA HIVI NDANI YA QURAN,MARA MIA HATA ZAIDI!!
Unafahamu kuwa hata mbwa anasikia kuliko binadamu?
Lakini haelewi hata kiswahili?
Hilo fungu la kusema Mwenyezi Mungu ni mwenye kusikia halijitoshelezi Kwa hii mada tunayozungumzia.
Maana fungu lenyewe lilishuka Kwa kiarabu likiwaelekeza waarabu kina Mohamed. Kwahyo Allah ni mwenye kusikia kiarabu. NDOMAANA MISIKITINI HAWASWALI KWA KISWAHILI/KIINGEREZA

Weka hata Hadith Moja ikionesha watu wengine wakiswali Kwa lugha tofauti na kiarabu.
Maana Kipindi cha Muhammad kulikuwa na wayahudi,wapersia pande hizo za Mecca.
Sasa lazima Kuna wasio waarabu waliamini uislam,,Vipi Hawa hakuna Hadith wakiswali Kwa kiyahudi?

Au Kuna Fungu specific linaloonesha kuwa Allah habagui lugha yoyote?
Maana mafungu ya kuonesha Allah anapendelea kiarabu TU yapo mengi TU.
Na sababu ya kupendelea kiarabu Allah alisema ni kwakuwa uislam aliushusha kwaajili ya watu wa Mecca na vihunzi vyake (waarabu)

"Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Miji (Mecca) na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni"
 
Mimi sio muumini wa Hadithi (maana zipo zinazopishana ,hazina ukamilifu)

kwanza kitu kimoja umesahau,Dini zote hizi mbili ukristo na uislamu umeanzia huko uarabuni,hivyo mitume hawakuwa na lugha ambayo wangeweza kutumia kuwasilisha kwa watu wao isipokuwa kiarabu..na Neno lilipaswa lifike duniani KOTE Sasa Kama anaenda kueneza neno la Mungu sehemu ambayo hawaijui lugha ya kiarabu anawasiliana nao vipi!?wàtajua vipi kuhusu Mungu Kama lugha hawaitambui!?

haihitaji kuwa na elimu kubwa kujua Mungu ANATAKA Nini kwa binaadamu hili NDIO kubwa..let's ask ourselves why!? and not how!??

na kwa hyo Aya uliyoitoa Bado haijaelezea kwamba Mungu anataka aombwe kwa kiarabu ,Bali ujumbe wake ufike kwa lugha hiyo ,ingekuwa mtume mzaramo Basi angemwambia azungumze nao kizaramo
 
Dini zote zilianzia uarabuni na mitume waliongea kiarabu? Yesu aliongea kiarabu?
Kina nabii Ibrahim na Mussa walikuwa waarabu? Waliongea kiarabu?

Kwahyo wewe unaamini Mungu anataka binadamu wote tuongee kiarabu?
 
wewe Sasa unataka league,nadhani MAELEZO yangu yanajitosheleza Mimi nimesimamia wapi kwenye suala la Lugha ya kuongea unapomuomba MUNGU...Mungu ANASIKIA lugha zote ,Mungu NI wa viumbe wote bila kuangalia dini,kabila,utaifa Wala jinsia...huyu ndiye Mungu wa waislamu ninayemjua Mimi huyo unayemtafuta wewe au unayemzungumzia simfahamu....
TUKUTANE KWENYE MABANDIKO MENGINE HAPA NIMEISHIA HAPA.
 
Ha ha ha hizi dinii hizi

Imagine ktk mafundisho ya dini Moja ya vitu ambavyo Huwa waislam wanavyo fundishwa ni kwamba lugha ya kiarabu ndio lugha Bora kuliko lugha zote Duniani hivyo basi ni lazima muislam aijue lugha hiyo Kwa sababu ndio lugha Ambayo itatumika kuzungumza siku ya kiama

Na watu Wana Amini Wana weka juhudi na maarifa katika kujifunza lugha hiyo

Masikini hawajui kuwa Wameaminishwa hivyo Ili lugha hiyo ipate kusambaa Kwa wepesi zaidi Duniani na Endapo ikisimbaa na kufika mbali zaidi itakuwa ni rahisi Kwa mataifa ya uarabuni kuweza kujitangaza kimataifa zaidi

Hawajui hata kwenda kuhiji maka ni chanzo cha mapato kwa nchi ya saudi arabia.. watu wanaoenda kuhiji wanachangia pato la taifa la saudi arabia kupitia utaliii wa kidini

Jiulize Mungu gani mbaguzi. Akupe lugha yako ya kabila lako...ila neno lake akuletee kwa lugha ya wengine
Chained by their principles a slves....waache wajifungie sheria zao
 
wewe Sasa unataka league,nadhani MAELEZO yangu yanajitosheleza Mimi nimesimamia wapi kwenye suala la Lugha ya kuongea unapomuomba MUNGU...Mungu ANASIKIA lugha zote ,Mungu NI wa viumbe wote bila kuangalia dini,kabila,utaifa Wala jinsia...huyu ndiye Mungu wa waislamu ninayemjua Mimi huyo unayemtafuta wewe au unayemzungumzia simfahamu....
TUKUTANE KWENYE MABANDIKO MENGINE HAPA NIMEISHIA HAPA.
Sasa huyo Mungu unaemjua wewe sio wa waislam....Mungu wa waislam anasikia kiarabu TU na ukitaka kumuomba inabidi umgeukie umuangalie upande wa Mecca pale kwenye kibla.
 
Back
Top Bottom