Dini zinavyoharibu watu akili

Dini zinavyoharibu watu akili

Wewe ni mshabiki wa kidini wala huna nia ya kujifunza ukweli bali upotoshaji ili kukidhi nia yako ovu na ushabiki tu.

Umeuliza ni nani aliyeleta uchawi mimi nakakutajia sifa zingine kadhaa za mleta uchawi na kwa kifupi nikasema ni yule aliyeleta kila aina ya uovu, hapo nikadhani utakuwa umemjua mleta uchawi ni nani na jina lake ni lipi, kwa mtu yeyote mwema mwenye elimu ya dini bila shaka angalijua mleta Uchawi ni Shetani kinyume chake umekurupuka na kunukuu aya ambayo hata hukuisoma au umeamua kupotosha kishabiki ili ukidhi haja na nia yako ovu dhidi ya Allah na Quran, sasa tuangalie hiyo aya uliyoleta inasemaje juu ya yupi alileta/ alifundisha uchawi na katika hilo leo unasutwa kwa uongo wako.

Aya (2:102) inaanza kwa kusema;

"Na wakafuata yale waliyozua MASHETANI kuuzulia ufalme wa Suleiman. Na wala Suleiman hakukufuru bali MASHETANI ndio waliokufuru WAKIWAFUNDISHA WATU UCHAWI----" (2:102) Qur'an.

Sasa hapo ni wapi imeandikwa kwamba Allah(apishe mbali) alituma Malaika Haruta na Maruta kufundisha uchawi ??!!

Uwe japo na uoga kidogo moyoni mwako juu ya Mungu unapoamua kusema na kusambaza uongo, Uongo unakomaza roho ya kishetani kwani Uongo ni kazi ya Shetani.
2:102...wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil.
 
Wafuasi wa dini wote hawanaga akili.

Just imagine jitu halifanyi kazi linaamini kwenye miujiza na baraka za ibrahimu wa uongo.

Majitu yanaacha madawa ya kitabibu na kukimbilia tiba za kipuuzi za hao manabii uchwara.

Jitu linamkashifu mwenzake kwa kumuita kafir&mpagani kisa dini iliyokuja kwa meli, kuna wale wapumbavu mpka waliofikia kuwatukuza wanadamu wenzao kwa kuwaita taifa teule, uteule sijui ni upi huo wakuuwa raia wasio na hatia, na kuna mpka wameaminishwa kuna miji mitakatifu huko uarabuni.

Huo wote ni upumbavu na ukosefu wa akili, washika dini wengi ni vilaza na masikini wa kutupwa, hiyo ndio main target ya waliotunga dini yaan kuhatibu akili na kuwagawanya watu ili watawalike vizuri
Kidogo nimeanza kuelewa sasa 😂 kwanin wamisionari walikuja Kama watangulizi wa kikoloni. Ila niwaombe kuhusu dini kila mmoja ana Imani yake inayomtangulia baada yake tukifanya Mambo na hivyo kuhusu Aya Mambo yatatupotezea wakat bure na wanao endelea kusema hii ni Bora kura hii bado hawajakomaa kiakili na fikra wewe ni mwafrika na ni mtanzania kutoka uko ndani ndan unapataje ujasiri wa kusema hii ni bora alafu sio kwenu sijui wana uhakika gan?
Bwana Ugm bin champion 🤝 Mambo ya dini ni mficho mtupu ila nikuombe Iman yako ya kweli iweke moyon mwako ata wakikuita kafir jua everyone has power of selection na kuamin kile anacho ona sahih Kama wanaamin Ivo all the best na iyo Imani.
 
Uongo unakomaza roho ya kishetani kwani Uongo ni kazi ya Shetani.
Huwa unasoma maandiko Yako au una type tu , Allah karuhusu mpaka uongo , Kuna uongo wa takiya , Kuna uongo wa mke na mume wote kawaruhusu kusema uongo na Kuna uongo kwenye vita karuhusu na uongo kwenye kuwadanganya watu ili wapatane

Soma
"it is not lawful to lie except in three cases: Something the man tells his wife to please her, to lie during war, and to lie in order to bring peace between the people."Jami` at-Tirmidhi 1939
 
Unajua Kwa Nini umekata Aya ? Allah aliwatuma harut na marut kwenda Babylon kufundisha watu uchawi embu bisha hilo kwanza

Mimi nikadhani utapinga hiyo aya japo nimeiandika nusu!!--- nimeiandika nusu kwasababu sehemu hiyo ndio muktadha wa mada, wewe umeongopa kwamba Allah ndiye aliyeleta uchawi kupitia Malaika Haruta na Maruta kinyume chake aya inasema ni Shetani ndiye aliyefundisha/aliyeleta uchawi, kama nimeongopa basi wewe andika aya yote tuisome ili tuthibitishe kama nimesema Uongo.
 
Haruti na Maruti walikuja kufundisha nini?
 
2:102...wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil.

Unanishutumu mimi kwa kuandika aya nusu!!!, je wewe hapo umefanya nini??--- hebu abdika aya yote ili ufundishwe "the subject matter" ya hiyo aya, wewe unadhani Qur'an "inashikwa na kila mtu??" (grasping its meanings by everyone)?? لا يمسه الا المطهرون inashikwa na watu waliotakasika.
 
Haratu na marut walitumwa na Allah kifundisha nini?
 
Huwa unasoma maandiko Yako au una type tu , Allah karuhusu mpaka uongo , Kuna uongo wa takiya , Kuna uongo wa mke na mume wote kawaruhusu kusema uongo na Kuna uongo kwenye vita karuhusu na uongo kwenye kuwadanganya watu ili wapatane

Soma
"it is not lawful to lie except in three cases: Something the man tells his wife to please her, to lie during war, and to lie in order to bring peace between the people."Jami` at-Tirmidhi 1939

Unakimbilia vitu usivyovijua??!!🤣🤣-- hebu soma hapa chini uone Wakristo wenzako wenye akili wanachosema::-

Screenshot_20220807-212042.png
 
Haratu na marut walitumwa na Allah kifundisha nini?

Andika aya nzima hapa na tuisome ndipo tutajua walikuja kufanya nini, kwanini tuandikie mate na wino upo!!😏
 
Unakimbilia vitu usivyovijua??!!🤣🤣-- hebu soma hapa chini uone Wakristo wenzako wenye akili wanachosema::-

View attachment 2317392
😂😂😂😂😂😂 Hapa tunanukuu vitabu

Soma
"it is not lawful to lie except in three cases: Something the man tells his wife to please her, to lie during war, and to lie in order to bring peace between the people."Jami` at-Tirmidhi 1939
 
Andika aya nzima hapa na tuisome ndipo tutajua walikuja kufanya nini, kwanini tuandikie mate na wino upo!!😏
Ni rahisi sana , harut na marut walitumwa kufanywa nini???
 
😂😂😂😂😂😂 Hapa tunanukuu vitabu

Soma
"it is not lawful to lie except in three cases: Something the man tells his wife to please her, to lie during war, and to lie in order to bring peace between the people."Jami` at-Tirmidhi 1939

Kwani Hicho kitabu kimeshushwa na Mungu??-- na ndio maana hata mimi in the same line of thinking nimekupa hiyo nukuu kutoka katika maandiko ya mkristo mwenzako anayezungumzia Lie, untruth, falsehood and deception ni kitu gani na ni wakati gani vinakuwa ethical na unethical ??--- msome kwanza huyo ndugu yako Mkristo mwenye akili ndipo upate nguvu ya kuhoji mambo ya "jirani yako".
 
Ulisema muongo ni shetani muhammad amethitisha muongo ni Allah
 
Haujui Koran umekuruhusu kusema uong.?
Soma
"it is not lawful to lie except in three cases: Something the man tells his wife to please her, to lie during war, and to lie in order to bring peace between the people."Jami` at-Tirmidhi 1939
 
Ni rahisi sana , harut na marut walitumwa kufanywa nini???

Ni rahisi sana, andika aya yote ndipo tutajua walikuja kufanya nini!!-- mbona wakati mwingine huwa unanukuu aya za Qur'an na hadithi kirahisi!!!, vipi unashindwa nini kuleta aya hii ya (Qur'an 2:102) ili sote tuisome??, kumbuka ukiiketa yote tutamjua nani ni muongo kati ya mimi na wewe, halafu ukishikwa Uongo mimi nitakutumia shs 10, 000/= ili ukanywe kahawa kujiliwaza.
 
Wazungu na Waarabu waliwaweza sana waafrika mambumbumbu kwenye suala la dini. Mtu leo hataki kuitwa Machibya eti anaona ni jina la kijinga/kichawi anaona ni vyema kuitwa Peter au Hassan. WTF
Yaan mtu unamuuliza Kati ya Babu yako na yesu/Muhammad nani ameokoa maisha yako Anakwambia yesu/Muhammad. Utadhani hao jamaa walichukua jembe kulima ili familia yao ipate msosi na kuishi. Yaani dini hizi ni ujinga mkubwa sana kuwahi kutokea kwenye jamii yetu.

Yaani jitu halina hata sehemu Moja ya ku acknowledge Babu zake. Sijui linadhani limejileta Duniani.
 
Ulisema muongo ni shetani muhammad amethitisha muongo ni Allah

Kwakuwa unamtusi Allah basi mimi najiepusha nawe ili mimi nisiwe ndio sababu ya wewe kuendelea kumtusi, naogopa hasira na adhabu yake.
 
Back
Top Bottom