Dini zinavyoharibu watu akili

Dini zinavyoharibu watu akili

Kwani Mungu wa waislam ndiyo Mungu wa akina Ibrahim??
Mungu wa akina Ibrahim aliitwa Yahweh Elohim sio Allah.
Kuna Ibrahim wawili...Ibrahim wa kwenye Quran ambaye ni muarabu na Ibrahim wa biblia ambae ni muisrael.
Kuna ISSA wa Quran ambae hakufa, na Kuna Yesu wa biblia alieuliwa.

Lakini keep in mind Hawa characters wa kwenye Quran (kina ISSA,Ibrahim,suleman) wameandikwa Miaka zaidi ya 600-2000 baada ya wahusika kufa.
Na wameandikwa na jamii ambayo hata haikuinteract na wahusika.

Kwahyo Quran ikidai wahusika walikuwa ni waarabu....hizo ni baseless claims.
YESU MUNGU!!
 
Mungu hakusema ufunge macho ili uombe na kulia, ni mbinu zao tu ili wazidi kukunyonya. Karl Marx angefufuka angewacharaza viboko wanaofunga macho na kuomba, kwake ni kupoteza mda wa uzalishaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom