Dini zinavyoharibu watu akili

Dini zinavyoharibu watu akili

Ha ha ha hizi dinii hizi

Imagine ktk mafundisho ya dini Moja ya vitu ambavyo Huwa waislam wanavyo fundishwa ni kwamba lugha ya kiarabu ndio lugha Bora kuliko lugha zote Duniani hivyo basi ni lazima muislam aijue lugha hiyo Kwa sababu ndio lugha Ambayo itatumika kuzungumza siku ya kiama

Na watu Wana Amini Wana weka juhudi na maarifa katika kujifunza lugha hiyo

Masikini hawajui kuwa Wameaminishwa hivyo Ili lugha hiyo ipate kusambaa Kwa wepesi zaidi Duniani na Endapo ikisimbaa na kufika mbali zaidi itakuwa ni rahisi Kwa mataifa ya uarabuni kuweza kujitangaza kimataifa zaidi

Hawajui hata kwenda kuhiji maka ni chanzo cha mapato kwa nchi ya saudi arabia.. watu wanaoenda kuhiji wanachangia pato la taifa la saudi arabia kupitia utaliii wa kidini

Jiulize Mungu gani mbaguzi. Akupe lugha yako ya kabila lako...ila neno lake akuletee kwa lugha ya wengine
Ktk vitu ndugu zangu waislam hawataki kuvisikia ni kuwaambia hijja ni biashara na chanzo cha mapato cha saudi arabia $20.5 bil jamaa wanaingiza kupitia hijja.

Bado kuna uvunaji wa a lot of tons za mawe ambazo huzivuna na kuzitumia kujengea miundombinu ya taifa lao kupitia ibada ya kumpiga ibis na mawe... ww hujiuliz toka watu wameaanza kurusha mawe ile sehemu haijai tu na kama inajaa yale mawe hupelekwa wapi?

!! Akili mtu wangu !!
 
Wajinga ndio waliwao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Waislamu gani hao unao wazungumzia wewe hawataki kulisikia hili ulilo liandika, bali sisi Waislamu tunakushangaaa wewe kwa namna ulivyo kuwa mjinga.

Hija wetu sisi ni ibada na ni ibada ambayo ipo hata kabla Saudia si yenye kutajika. Ibada ambayo kwenda kwake tunapata malipo toka kwa Allah na kutii amri yake.

Kwahiyo hata wapate mapato zaidi ya hayo, sisi tunaenda kufanya ibada.
 
Muislamu, Jifunze Kiarabu Achana na Kiingereza. Peponi Lugha ni Kiarabu tu

View attachment 2309809
SIO PEPONI TU,hata duianini,kanisani unatumia maneno ya kiarabu na umejifunza ,bila kujijua unajifundisha kiarabu,hata neno salama(kiarabu)Habari(kiarabu)Kanisa(kiarabu)Kitubio(kiarabu)Sadaka(kiarabu)Zaka(kiarabu)Kasisi(kiarabu)Toba(kiarabu)nk.Hata hicho kiswahili,ulichoandika,karibia asilimia kubwa ni maneno ya kiarabu.Ukichunguza zaidi,maneno mengi ya lugha nyingi duniani ni kiarabu,kuna maneno au namba za kiarabu.Kwenye science,maneno mengi ni ya kiarabu,kuanzia masomo yenyewe
1:Chemistry-Kemia ni kiarabu
2.Hisabati ni Kiarabu
3.Doctor -Ductour -Daktari ni kiarabu
4.Namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,ni namba za kiarabu.
5.Mhandisi,ni neno la kiarabu
6.Mwalimu ni neno la kiarabu.
7.Darasa ni neno la kiarabu
8.Elimu ni neno la kiarabu
9.sayari ni neno la kiarabu
10.Rais ni neno la kiarabu
11.Waziri ni neno la kiarabu
12 .Wizara ni neno la kiarabu
13.Neno Swahili ni neno la kiarabu
14.Hatari,Furaha,Rafiki,Tafadhali,Baridi,Dhamiri,Kamusi,Huru,Habari,Kata,Msumari,Kitabu,Mahali,
15.Nyakati,:Asubuhi,Dakika,Saa,Wakati,alasiri,Magharibi,Alfajiri,karne,
16 .Juma(weeki),Alhamisi,ijumaa.
17.Tausi
18.Nusu,Robo,Sita,saba,Tisa,Ishirini,Thelathini,Arubaini,Hamsini,Sitini,Sabiini,Themanini,Tisiini,Mia,Elfu,
19.Dini.
20 Msamiati mwingi unaotumika kwenye dini ya kiislamu na Kikristo una asili ya kiarabu:
Ibada
Msikiti
Kanisa
Zaka
Sadaka
MALAIKA
SHETANI
Thawabu
Dhambi
Kasisi
Imamu
Kitubio
21.Mjina ya kamikali,zote yanayoanzia na Al,kama alkaline,alkal,Alkaline,Alkaloid, nk
Hapo ulipo unatumia maneno ya kiarabu ,bila kujijua au unajijua,lakini huelewi.
 
Wazungu na Waarabu waliwaweza sana waafrika mambumbumbu kwenye suala la dini. Mtu leo hataki kuitwa Machibya eti anaona ni jina la kijinga/kichawi anaona ni vyema kuitwa Peter au Hassan. WTF
Angalia post 33,kiarabu hata duniani tumejifunza na kukitumia,Kazini,makanisani,majumbani,mahotelini,kwa mfano neno tamu(ni kiarabu),sahani(kiarabu),sufiria(kiarabu),maakul(kiarabu),rasmi(kiarabu),katiba (kiarabu)Rasimu ya katiba(kiarabu,)Kanisa(Kiarabu,),kitubio(kiarabu),Sadaka(kiarabu),Zaka(kiarabu),Toba(kiarabu),Kitabu(kiarabu),aya(kiarabu),darasa(kiarabu),Kamusi(kiarabu) nk
 
Muislamu, Jifunze Kiarabu Achana na Kiingereza. Peponi Lugha ni Kiarabu tu

View attachment 2309809
Lugha ya kiarabu,ipo katika lugha zote za duniani,na dini zote duniani wanatumia maneno ya kiarabu,kuanzia
1:Wapo wa kiristo wasio waarabu,wanatmia maneno mengi ya kiarabu,bila kujijua au wanajijua,lakini hawajijua kama wanatumia maneno ya kiarabu:
Maneno kama:Kanisa(kiarabu),Kitubio(kiarabu),Toba(kiarabu),Sadaka(kiarabu),Zaka(kiarabu),sadaka(kiarabu)Kasisi(kiarabu),aya(kiarabu),madhabaho(kiarabu),kitabu(kiarabu)
2.Wapo kiristo waarabu,wanatumia biblia za kiarabu,wanatumia kiarabu kwenye ibada zao makanisani.
3.Science,hata uwe kabila au dini gani,lazima utatumia maneno ya kiarabu kwenye science kama Chemistry(kiarabu),kemia.
Chemical,kemikali(kiarabu)zina majina ya kiarabu mfano alkali alkane nk
4.Hisabati(neno la kiarabu),namba kuazia 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 ni kiarabu.Hapa muingereza,lazima atumie namba hizi kwenye,kitabu kiwe cha dini au cha science au cha somo lolote,na asiye kuwa muingereza,akitumia lugha ya kiingereza,lazima atatumia namba hizi.
 
Angalia post 33,kiarabu hata duniani tumejifunza na kukitumia,Kazini,makanisani,majumbani,mahotelini,kwa mfano neno tamu(ni kiarabu),sahani(kiarabu),sufiria(kiarabu),maakul(kiarabu),rasmi(kiarabu),katiba (kiarabu)Rasimu ya katiba(kiarabu,)Kanisa(Kiarabu,),kitubio(kiarabu),Sadaka(kiarabu),Zaka(kiarabu),Toba(kiarabu),Kitabu(kiarabu),aya(kiarabu),darasa(kiarabu),Kamusi(kiarabu) nk
Shimboni, Wabheja kulumba, mayo etc yametokana na nini?
 
Ktk vitu ndugu zangu waislam hawataki kuvisikia ni kuwaambia hijja ni biashara na chanzo cha mapato cha saudi arabia $20.5 bil jamaa wanaingiza kupitia hijja.

Bado kuna uvunaji wa a lot of tons za mawe ambazo huzivuna na kuzitumia kujengea miundombinu ya taifa lao kupitia ibada ya kumpiga ibis na mawe... ww hujiuliz toka watu wameaanza kurusha mawe ile sehemu haijai tu na kama inajaa yale mawe hupelekwa wapi?

!! Akili mtu wangu !!
Hija ni mapato kwa dunia nzima.Kuanzia pale hujaji,katika nchi anayotoka,anapopanda Taxi,bajaji,daladala bodaboda,akaenda kwenye bus,akakata ticket,akapanda bus,njiani akala chakula,kwenye migahawa,wauzaji wa barabarani,mpaka anafika mji wenye Airport ya kimataifa,akalala guest,hotel lodge,akatumia pesa kwa chakula katika mji huo,mavazi,viatu nk.Makampuni ya ndege wanaongeza wafanyakazi,wakataji ticket za ndege wanapata ajira,mbali kodi watakazolipa katika viwanja vya ndege nk
Fikiria ni mapato mangapi,yanayoingia,dunia nzima,na wangapi wanaopata ajira,kupitia mahotel,migahawa,wajataji ticket,wenye vyombo vya usafiri nk,na nikwenda na kurudi.
Na bado kuna hija ndogo(Umra),ambayo inafanyika,mda wowote,bila mda maalumu,kama Hija kubwa.
Aliyeanzisha,ibada ya Hija,dunia nzima,wanatakiwa wamsifu,kwa ktengeneza uchumi wa dunia,bila kubaguwa dini,kabila,utaifa,kwa maana mahotel,Lodge,guest,vyombo vya usafiri,mavazi,viatu ,huduma za hospital,ni za wenye dini tofauti na wasio na dini,makabila tofauti duniani.Na wanaopata hizo ajira na mzunguko wa pesa ni wa dini tofauti na wasio na dini.
 
Mwenye kuweza kujibu hoja za Kikwajuni One tafadhali ajitokeze ili mjadala undelete na siye wengine tuendelee kujifunza.......
 
Back
Top Bottom