"Assalamu alaikum" is an Arabic greeting that means "Peace be upon you"

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,418
Inakuwaje muislamu ni kwambia kwa kiswahili amani iwe juu yako.

Cha kushangaza hii dini inatakiwa kuelemisha watu waelewe sio kuongea kiarabu mkajiona dunia mpo pamoja yani kuwa shaekh au muislamu mpaka ujue lugha hiyo ina maana mtataka watu waongee lugha moja.

leo kuna lijamaa naenda kuliuliza maana ya kiswahili hiu salamu.
 
capsule_616x353.jpg
 
Back
Top Bottom