KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,756
- 2,998
Alimpokonya Nani huku Afrika? Wacha kuleta propaganda za Kanisa lenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alimpokonya Nani huku Afrika? Wacha kuleta propaganda za Kanisa lenu
Kweli kabisaHizo dini zote zilikija kwa nia ovu, hakuna kupepesa macho wala kuficha ficha ukweli.
Hizo takataka mnazoita zimeletwa na Mungu, mngejuwa ni mamilion mangap ya waafrika wasio na hatia walikufa kwa kulaazmishwa kushika, mneachana nazo.
Mambo mengi mabaya ya dini mnayaficha na kuyafunika, wakat wa kujua kweli ni sasa, ufike muda tuache kung'ang'ania tamaduni za wageniView attachment 2081508
Umejitahidi kuelezea ila umesahau kwamba umedefine maendeleo kwa mlengo wa wageni kwa jamii za kiafrika maendeleo hayakua kuwa na umeme wala maghorofa ilikua kugundua sanaa nyingine za ufinyazi kugundua njia mbalimbal za tiba kama miti na sanaa nyingine za kitabibu kwa maana hio kama wagen wasingekuja tusijue kuna umeme hakuna ambae angelalamikia kizaHata baadhi ya Mila zetu za Kiafrika ziliua mamilioni ya watu.
Waliozaliwa wakiwa vilema au kama walikuwa kasoro yoyote ya kimaumbile.
Waliuawa na wakunga mala tu baada ya kuzaliwa.
Ndio maana ni nadra sana hadi sasa kumwona Arbino Mmasai au Kilema kwa kuendeleza mila za Kiafrika za Kizamani.
Sio hilo tu baadhi ya Mila za Kiafrika ziliwatoa kafara watoto wachanga na hata watu wazima ili kuilizisha Mizimu yao.
Kuuana kwa kurogana lilikuwa jambo la kawaida kabisa ndio maana jamii nyingi za Kiafrica zilikuwa zenye Elimu duni na maendeleo hafifu kufikia hadi kuwa katika mfumo wa Ujima hadi
Karne ya 19.
Wavamizi na Wakoloni pamoja na baadhi ya desturi zao kuto kufaa katika Jamii za Afrika lakini ziko baadhi ya Tamaduni zao ambazo zimeleta mapinduzi makubwa ya Kimaendeleo katika Jamii za Kiafrika.
Mambo kama Utawala Bora, Elimu, Dini, Mapinduzi ya Viwanda na Teknolojia, Siasa, Uchumi Nk. Yaliweza kuitoa Jamii ya Kiafrika toka kwenye Giza la Umaskini na Vita vya Kikabila na kuiingiza katia Mwanga wa Maendeleo na Demokrasia.
Kwa kuhitimisha Afrika imenufaika zaidi kwa kurithi Desturi za Wakoloni na Wavamizi kuliko hasara iliyopata.
Ahaa...!Umejitahidi kuelezea ila umesahau kwamba umedefine maendeleo kwa mlengo wa wageni kwa jamii za kiafrika maendeleo hayakua kuwa na umeme wala maghorofa ilikua kugundua sanaa nyingine za ufinyazi kugundua njia mbalimbal za tiba kama miti na sanaa nyingine za kitabibu kwa maana hio kama wagen wasingekuja tusijue kuna umeme hakuna ambae angelalamikia kiza
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Huu ni uzushiNi kweli
kuna yale ma caravan routes and trades.
Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali.
Hayo maisha ya ujima umeyajua kupitia elimu ya mkoloni root cause hapa ni ujio wao ndo umebadili hio fikra yako rejea kisa cha watu waloishi mapangoni bila kugeuka nyumaAhaa...!
Nadhani wewe utakuwa kama sio Msandawe basi ni Mhadzabe ambaye hadi sasa umechagua kuishi katika maisha ya Ujima kwa kufikiri kuwa Maendeleo ni kile anacho ona wewe kuwa kinafaa.
Na sio kile kinachorahisisha maisha yako.
Ila kwakua wewe inaonekana una thamini vitu vya wakoloni, kwa kumiliki simu yao ya Android huku umevaa lubega lwako la kitambaa cha wavamizi wa kihabeshi, ukaachana kabisa na lubega lwako ĺwa magome ya miti, basi inawezakana kabisa kuwa wewe ni Mmasai.
Binafsi namshuru sana Mkoloni kwa kunipa Elimu ambayo hadi sasa imebadilisha maisha yangu sana.Hayo maisha ya ujima umeyajua kupitia elimu ya mkoloni root cause hapa ni ujio wao ndo umebadili hio fikra yako rejea kisa cha watu waloishi mapangoni bila kugeuka nyuma
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Aliaga jukwaa muda mfupi baada ya kipenzi chake jiwe kutwaliwa.Infantry kama upo hai njoo kwenye kubilo lako hili ndugu yangu amepigwa ban ndefu HAIKUBALIKI