Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
- #361
Asante sana kwa maelezoWalitumia biashara ya utumwa.na pembe za ndovu kueneza uislam ukiwa muislam hukamatwi utumwa. Afterall ukoloni siyo njia pekee ya kueneza dini ya mtu. Waarabu ndiyo wakoloni na mabeberu wa muda mrefu Afrika kuliko wazungu, hapo Zanzibar kabla ya mapinduzi kiongozi wa visiwa alikuwa mbantu au mwarabu? Mwarabu masultani toka Oman wakoloni tu kama wazungu. Wajamaica hawakuwa na makoloni Africa lakini dini ya urastafari imeenea toka Mwakaleli Mbeya hadi Kibosho Moshi.