Sababu huku hapakuwa na haja hiyo.rudia sijakupata mkuu
Sababu huku hapakuwa na haja hiyo.rudia sijakupata mkuu
Katib Mkoa kuna Sanaa ya utawanyikaji wa watu ambayo ni somo refu kidogo halitakiwi kuwa kwenye position ya reply Bali uzi kamili. Ila kwa ufupi tu ni kwamba;samahani huku kwetu ni mtume gani alishushwa?
Mimi siyo kwamba nafikiri bali majibu ninayo ya kwanini mitume hawakuanzia huku kwetu.
Sasa wewe ndiyo ujibu swali nililo uliza huko juu.
Kumbe ww ujui kitu wazungu nao wanaruka na fagio, nao wanatoa kafara kama huku ila.tu wanafanya siri sana ili waonekane wao hawafanyi ushirikina.Wewe umesikia wapi mzungu akiruka ndani ya ungo???, Muafrika anaruka ndani ya ungo kwa kutumia sayansi ya giza yenye masharti ya kishenzi, utasikia ukitaka kuruka ndani ya ungo kwanza umuue mama yako au baba yako au nduguyo wa karibu, pili unapotaka kuruka lazima uwe uchi tatu lazima ufumbe macho hadi mwisho wa safari yenu, nne lazima iwe ni usiku.
Sasa angalia sayansi ya mzungu, ipo wazi na hakuna madharti ya kishenzi kama ya Muafrika, kinachofanya ndege ya mzungu ipae angani ni Bernouli principle, lazima kuwe na hewa, lazima ndege itumie injini nk, vyote hivyo vipo wazi kwa kila mtu anayetaka, huo ni mfano mmoja ninaokupa ili uone utofauti kati ya African culture vis a vis European culture.
Katika kila umati Allah alituma mitume, wapo mitume ambao Allah amewataja/amemuhadithia mtume SAW (ndani ya Qur'an) na wapo Mitume ambao hakuwataja, na duniani wamepita mitume zaidi ya laki moja na ushee, hadi huku Africa mitume walikuwepo kwa ajili ya makabila nk.
Sababu huki hapakuwa na haja hiyo.
Binafsi nasali kwenye kaburi la babaaangu cuz nawaonea sana huruma walokole na waislamu wanavokomaa na vitu ambavyo sio vya kwao
Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
Kwanini hujiulizi kila siku watu wanakufa, na hawaishi... ?
Pili, ongeza umakini nilisema walikuwa wanaona ya kuwa na watoto wa kike ni mkosi, hili mosi, pili wakafika mbali na kuwaua watoto hao, ulipo kuja Uislamu ukakataza mila hizo.
Kwenye Dini yangu ya Uislamu.Umeyapata wapi hayo majibu?
Swali zuri. Mitume hutumwa kwa watu ambao wamechupa mipaka katika kufanya maovu, na hao ambao mitume wametumwa kwao wamekidhi hili, waarabu walichupa mipaka, mayahudi kadhalika na mfano wao.Kwa nini hapakuwa na haja hiyo?
Kwenye Dini yangu ya Uislamu.
Swali zuri. Mitume hutumwa kwa watu ambao wamechupa mipaka katika kufanya maovu, na hao ambao mitume wametumwa kwao wamekidhi hili, waarabu walichupa mipaka, mayahudi kadhalika na mfano wao.
Jibu liko hapo hapo, tatizo hauko makini, mpaka wanawake wanazaliwa na kuzaa watoto wa kike, ujue uzao ulikuwepo na kulikuwa na taratibu za kuwauwa watoto hao.Hawaishi kwa sababu wanazaliwa wengine na wengi wao wanakua kufukia hatua ya wao kuzaa pia. Sasa waarabu waliwezaje kuendeleza kizazi chao ikiwa watoto wao wa kike walikuwa wanauwa katika utamaduni wao?!
Swali zuri. Mitume hutumwa kwa watu ambao wamechupa mipaka katika kufanya maovu, na hao ambao mitume wametumwa kwao wamekidhi hili, waarabu walichupa mipaka, mayahudi kadhalika na mfano wao.
Jibu liko hapo hapo, tatizo hauko makini, mpaka wanawake wanazaliwa na kuzaa watoto wa kike, ujue uzao ulikuwepo na kulikuwa na taratibu za kuwauwa watoto hao.
Bila shaka umeelewa sasa.
Kwanza nakusahihisha, Uislamu umegawanyika sehemu kuu mbili, moja Uislamu wa Ujumla ambao huu upo hata kabla ya nabii Ibrahiim. Uislamu khasa (maalumu ambao amekuja nao mtume).Dini yako ya uislamu iliyoanzia Uarabuni ndio imekuambia sababu ya Waafrika kutohitaji mitume Waafrika?
Mingi sana, hakuna watu walio kuwa wana vitimbi kuwazidi hao, wao walikuwa wakiletewa mitume wana waua, wakifanyiwa miujiza wanakanusha, mpaka wakawa wanaletewa vyakula toka mbinguni lakini mwisho wa siku wanakadhibisha na kutenda maovu, bali waliwafanya binadamu wenzao kuwa ndiyo miungu na mfano wake.Mipaka gani ambayo waarabu na wayahudi walichupa lakini Wazungu, Waafrika, Wahindi, Wahindi wekundu na Wachina hawakuchupa?
Kwanza nakusahihisha, Uislamu umegawanyika sehemu kuu mbili, moja Uislamu wa Ujumla ambao huu upo hata kabla ya nabii Ibrahiim. Uislamu khasa (maalumu ambao amekuja nao mtume).
Bila shaka kabisa,Waafrika hatukufikia makosa na uovu ambao walikuwa wanafanya watu weupe. Kwahiyo kila jambo lazima liwe lina mwanzo wake kisha lina tangaa.