Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,948
Sasa kama unajua kabisa hawakutajwa wewe umejuaje kama walikuwepo Afrika na hizo nchi ulizo zitaja ? Mboba huna umakini kabisa ? Au umeamua kukisia tu ?
Wewe nani amekwambia hao ambao hawakutajwa ndiyo walikuwepo huku Afrika ? Sasa hapa ndipo utakapo ona swali langu lina mantiki au halina ? Bila shaka utakuwa umeandika ili kujifurahisha, na ulitakiwa uishie kule kule na uaingetaja nchi ili uwe salama. Ila kwa kuja tako chini, hapa unatakiwa utuwekee ushidi. Nasubiri huo ushahidi.
Popote pale ambapo waliishi watu (umma) Allah aliwapelekea waonyaji, na huku kwetu Africa watu walikuwepo na wao walistahiki kupata muongozo kutoka kwa Allah, sisi Waafrika hatukulaanika au hatukuwa kama wanyama tushindwe kuletewa elimu ya Muongozo wa kumjua Allah.
Qur'an inasema katika kila umma humo alipita Muonyaji na huku kwetu nyimati za watu mbalimbalii zilikuwepo, pia Qur'an inasema kumwambia mtume (saw) sio mitume wote kahadithiwa habari zao.
Au unataka kusema katika zama za kina nabii Nuhu, Ibrahimu, Luti, Salehe, Suaibu, Zakaria (as) huku Africa, America, China, Australia, Mashariki ya mbali, India nk, hakukuwa na watu waliohitaji Muongozo wa Allah???.
Soma Qur'an na historia kwa Kutafakari.