Did Nyerere admit he was a "failure"? Some say "Yes he did"...

HAKUNA MTANZANIA ALIYEKUWA TAJIRI......AMBAYE ANGEWEZA KUMSIFIA NYERERE..... sisi watu wa hali ya kati na duni ndiyo tunamjua NYERERE ni nani kwetu......!
mwalimu you deserve
 
Mkuu mtoa hoja una chekesha. Unataka thread za kumhusu Nyerere zipungue kwa kuanzisha thread inayo mtaja Nyerere???
 
Huyu jamaa kila time hoja zake ni Nyerere tosha basi mwache arest in peace tu hoja zimemuishia za kuchangia maendeleo kutwa Dikteta blah blah

Mwanakijiji he is in love with Nyerere....???????????? (Noun & Pronoun)

Napenda kujivunia kutumia lugha yangu ya taifa, hata hivyo inafaa lugha za kiingeni kwani tunajifunza tokana na makosa, na bora kutumia tools kuhakiki structure maana wengine tumekulia nau tunaishi kwenye usanifishaji wa viambishi vya maneno.
 
Tumuache aendelee huko alikopumzishwa Hoja za marehemu zinazidi kuongezeka kila siku.... hakuna anayeweza kunjibia Mwanakijiji, faizafoxy na wengie watazidi kuongezeka watu wanajifanya wanamjua kuliko yeye alivyokuwa anajifahamu...

Waliokuwa hai wamewashindwa wanangojea wafe wawe wasemaji wao...!

Hawa watu waishio nje ya Tz wanawachosha na kuwapoteza kwenye mada za muhimu ndani ya nchi... Hata marehemu wakizungumziwa japo kwa hoja moja mbili nafuu kwa mbali Jitu unakuta likimaliza moja linaanzisha nyingine then linasema natafuta ya mwaka flan what is this..!

Watu watakuona wa maana kama unaweka hoja za Kutetea Raia wa Tz nini wafanye!
 
Mwanakijiji he is in love with Nyerere....????????????

Napenda kujivunia kutumia lugha yangu ya taifa, hata hivyo inafaa lugha za kiingeni kwani tunajifunza tokana na makosa, na bora kutumia tools kuhakiki structure maana wengine tumekulia nau tunaishi kwenye usanifishaji wa viambishi vya maneno.
Ujumbe umefika Hatuko darasani! ukitoa kibanzi tizama na boriti... Taifa ina lugha rasmi Mbili Jivunie zote.
 
Nyerere alipokuja Dar es Salaam, alikuta TAA ina watu walikwisha changanyika tayari, na yeye alikaribishwa vema tu na wenyeji na wala hawakumbagua.

Mohammed Said katika kitabu chake anatupa picha nyingine kabisa; Nyerere alibaguliwa kwa sababu nyingi tu na ubaguzi ule wa watu wa Dar dhidi ya Nyerere haujakoma kwa karibu miaka sitini sasa. Walikuwa na kinyongo naye wakati ule na wameendea nacho na sasa kinyongo hicho kimepitishwa kwa watoto wao.
 
``I was also more impatient 18 years ago. I set out to build a socialist and self-reliant Tanzania. You ask me, is Tanzania socialist and self-reliant? The answer is no.``

In London, 1985
 
Wakati umefika wa kumfananisha Nyerere na Hitler. Nyerere kaua, kawahamisha watu sehemu zao za kuishi na kuwapeleka vijijini. Hitler alifanya sawa sawa na Nyerere.
 
Wakati umefika wa kumfananisha Nyerere na Hitler. Nyerere kaua, kawahamisha watu sehemu zao za kuishi na kuwapeleka vijijini. Hitler alifanya sawa sawa na Nyerere.

Nani kakuzuia..fanya hivo kwa wakati wako, na wafundishe na wanao. Lakini usilazimishe wote tuwe na uoni kama wako wa chuki za kidini na kikabila.
 
Na hili la Wakurya na Jeshi jamani, tukubali kwamba sisi wengine kwa makabila yetu tuna vipaumbele vya kiasili. Sii kweli Wakurya waliandikishwa kazi hizo na Nyerere wala Mkoloni bali Wakurya kwa jadi wanapenda sana kazi za Jeshi kama Machagga na kilimo cha kahawa na biashara.

Mimi naamini kabisa kwa maumbile Mungu aktuumba kwa sifa tofauti iwe kimakabila au race na kama nilivyowahi kusema Wazungu walichukua Utumwa Wabantu kwa sababu wao walikuwa hodari ktk kilimo hivyo maadam wakati huo Pamba, Miwa na ngano ndio zilikuwa cash crops na ujio wa kina John mtembezi aka Vasco na Speke, Livingston na wengineo ilichangia zaidi wao kujua soko la dhahabu wachapa kazi za kilimo wanapatikana wapi. sawa na wahindi ktk kazi za ujenzi na vyuma..


na ndio maana uklitazama ramani ya Utumwa Afrika utaona imepita tu nchi za makazi ya Wabantu. Hivyo kwa kumalizia mimi naamini kwamba wakati sisi wengine tunashughulika na mambo mengine, Wakurya na makabila jiraniz zao, Jeshini ndio wamekuwa wamekafika..kwao hakuna kazi bora kama Jeshi na hata rolemodel wao ni wanajeshi waliopanda hadi darini ktk vyeo vya jeshi wakati sisi wengine hatuna hata malengo ktk maisha ya mbele..
Amini maneno yangu waulize watoto wa siku hizi wanataka kuwa nani wakikua basi kama sio kiongozi wa Kisiasa kutangullia nipigie simu!
 
Jamani hapa to observe due process /burden of prove on the accuser aka mwanakijiji not on the accused mwalimu.
 
Back
Top Bottom