Did Nyerere admit he was a "failure"? Some say "Yes he did"...

Hivi Faizafoxy una makengeza au unatazama kwa pozi? samahani lakini kwa swali
 
Nashangaa unamjuwa Nyerere lakini Joan Wicken humjui! ama kweli dunia hadaa na ulimwengu shujaa. Ngoja tuone wanaomjuwa ni nani wajibu hoja yangu. Au hawatoipenda hii ni wataanza kama juu hao walioanza kuififirisha!
Haaaaa haaaa! Ukiona mtu hafahamiki hana umuhimu au umaarufu! Usilazimishe tumfahamu huyo JW!
 
barabara ilikuwa na mashimo wakati hatuchimbi madini lakini alhaji jakaya khalfan mrisho kikwete aliweza kusomeshwa na kutibiwa bure lakini sasa hivi anauza wanyama wetu,eti nasikia yupu shelisheli!jamani kuna watu hata wasemweje sura zao hazijaumbwa kwa aibu,..safari kila siku,.posho kila siku....miaka minne iliyobaki tutakula majani...
 
Mara nyingi huwa najiuliza, hivi yale maamuzi mabovu yote yaliyopeleka kuwatesa raia wa Tanzania yalikuwa ya Nyerere kweli?

Kinachonifanya nijiulize, hivi ni kweli M'Tanzania unaweza kuona raia zako wanateseka na wewe bado umo tu, kuwaswaga maporini wakaanzishe vijiji vya ujamaa?

Hivi unaona watu wako wanadhoofika kwa kukosa milo ya kutosha (sufficient nutrients), halafu wewe M Tanzania mwenzao bado tu unag'ang'ania uzi uleule wa usosholisti?

Hivi unaiona nchi yako inateketea, mabarabara hayapitiki kwa mashimo, hospitali zinaanza kuwa ni mahali pa kupokea misiba na misongamano ya wagonjwa, lakini wewe kama M'Tanzania bado upo tu, unapeleka fedha zako kwengine? "natengeza kwa wenzangu na kwangu kwa poromoka"

Nani amjuaye Joan Wicken?

:wof:.......
 
sasa joan wicken amefanya yapi makubwa mpaka tumfahamu ukilinganisha na Nyerere.
 
Hivi hao watanzania 'walioswagwa kupelekwa maporini' waliswagwa toka miji gani hapa Tz?!
 
Mara nyingi huwa najiuliza, hivi yale maamuzi mabovu yote yaliyopeleka kuwatesa raia wa Tanzania yalikuwa ya Nyerere kweli?

Kinachonifanya nijiulize, hivi ni kweli M'Tanzania unaweza kuona raia zako wanateseka na wewe bado umo tu, kuwaswaga maporini wakaanzishe vijiji vya ujamaa?

Hivi unaona watu wako wanadhoofika kwa kukosa milo ya kutosha (sufficient nutrients), halafu wewe M Tanzania mwenzao bado tu unag'ang'ania uzi uleule wa usosholisti?

Hivi unaiona nchi yako inateketea, mabarabara hayapitiki kwa mashimo, hospitali zinaanza kuwa ni mahali pa kupokea misiba na misongamano ya wagonjwa, lakini wewe kama M'Tanzania bado upo tu, unapeleka fedha zako kwengine? "natengeza kwa wenzangu na kwangu kwa poromoka"

Nani amjuaye Joan Wicken?

Faiza hv kwa nn unapenda kumponda sana mwl? Hv una uhakika kweli mwalimu alikua muovu? Acha hizo chuki dada yangu! Hakuna rais mzalendo tz kama Nyerere! Tunajua kila binadamu ana mapungufu yake hvyo hata mwl alikua nayo bt mwl alionyesha ukomavu wa hali ya juu.
je uzalendo aliokuwa nao mwl Nyerere ni sawa wa Jk? Nakupa homework hii ask ur grandpa akupatie majibu.
 
Soma vizuri post yangu.
 
Watanzania wengine sijui mnafikiriaje! Yaani huyo mwanamke wa kizungu (Joan Wicken) unamfananisha na Nyerere?
Although Nyerere alikua na mapungufu yake (kwasababu hakuwa malaika) but, he is the best president compared to Mwinyi, Mkapa & Kikwete...
 
Mara nyingi huwa najiuliza, hivi yale maamuzi mabovu yote yaliyopeleka kuwatesa raia wa Tanzania yalikuwa ya Nyerere kweli?

Kinachonifanya nijiulize, hivi ni kweli M'Tanzania unaweza kuona raia zako wanateseka na wewe bado umo tu, kuwaswaga maporini wakaanzishe vijiji vya ujamaa?

Hivi unaona watu wako wanadhoofika kwa kukosa milo ya kutosha (sufficient nutrients), halafu wewe M Tanzania mwenzao bado tu unag'ang'ania uzi uleule wa usosholisti?

Hivi unaiona nchi yako inateketea, mabarabara hayapitiki kwa mashimo, hospitali zinaanza kuwa ni mahali pa kupokea misiba na misongamano ya wagonjwa, lakini wewe kama M'Tanzania bado upo tu, unapeleka fedha zako kwengine? "natengeza kwa wenzangu na kwangu kwa poromoka"

Nani amjuaye Joan Wicken?
Wataka tukuelewe kuwa huna akili ya kujua jema na baya wadhania ni nani haswa aliyefanya maamuzi hayo umesimuliwa au ulikuwepo? sidhani kama watu waliteseka na kama walipelekwa maporini walikuwa wanapunguza watu mijini kuondoa misongamano ya watu waio kuwa na kazi za maana kama wewe faiza uliyejiajili JF huku ukimwaga pumba... Unapoongelea vitu vya jamii tizama na wakati pia nchi ilikuwa na nini....
ni kama umepata kazi ya mshahara mzuri una familia mnaweza lala na njaa sababu mshahara wa kwanza hujapokea na unaowategemea kuwaomba mkopo nao hawana kitu.. Nyerere alikuwa na fikra nzuri

Faiza ukiacha ukikojozi utakuwa mwanamke mwenye akili na mstaarabu
 
Watanzania wengine sijui mnafikiriaje! Yaani huyo mwanamke wa kizungu (Joan Wicken) unamfananisha na Nyerere?
Although Nyerere alikua na mapungufu yake (kwasababu hakuwa malaika) but, he is the best president compared to Mwinyi, Mkapa & Kikwete...

Soma vizuri post yangu ni wapi nilipomfananisha na Nyerere?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom